Search results

  1. N

    Muhongo: Mengi anamiliki ardhi yenye ukubwa sawa na mji wa Moshi mara 80

    Kinachomfanya Muhugo asieleweke ni kwa sababu yeye ni Proffesor. Hivi inakuaje watu wanataka Proffesor afikirie kama mtu wa kawaida sasa nini tofauti kati ya proffesor na asiekua proffesor. Raisi alieleza kwa ufasaha gharama zinazohitajika kabla ya kuingiza faida ya biashara wengi wakaridhika...
  2. N

    John Mashaka: Dhamira ya Wachina Tanzania...

    It is good article, however, what Chinese are interested in is very clear is 'win win situation' therefore, it is up to Tanzanian to determine what they want, if they fail to do so, no one to blame. It is very hard for Western to convince African due to failure of fulfilling most of their...
  3. N

    Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

    Ni afadhali kudanganya umri kuliko kuforge vyeti, wangapi wamebumburushwa na vyeti feki na hadi leo bado wanadunda, kama kungekua na haki hasa kusingekua na haja ya kua na naibu waziri tulienae, angeshikiwa bango mpaka akaachia ngazi lakin bado anadunda, twendeni mbele kwa sababu nyuma...
  4. N

    Kasoro usafiri wa treni Dar zirekebishwe sasa

    Unashukuriwa sana kwa utafiti huo mzuri na wa haraka. Ni ushauri wa maana sana na ni kawaida kwamba kitu chochote kinapoanza kinakua na kasoro lakin la muhimu zaidi ni kiasi gani watendaji wako tayari kuzirekibisha kasoro hizo. Ushauri mzuri tunaomba wahusika wauthamini na waufanyie kazi kwa...
  5. N

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Masikini mbavu zangu............ Haaaaaa siwezi.... Hivi hii kitu ilikua kweli au watu manamtania! kweli tumefikia hapa? Sasa mtu kama huyu unategemea ataleta miundombinu gani kwenye elimu? mtu kama huyu kweli anaweza kua na habari hata na hiyo kazi zaidi ya kusubiri mshahara! Inawezekana...
  6. N

    NSSF ya Dr. Dau na udini itajifia karibuni

    Kuna wakati ambapo waislam walilalamika sana madai yao yakaonekana kwamba hayana msingi, ni makosa ya wale waliouanzisha udini kwani hawakujua kwamba athari yake ni mbaya sana. Kimsingi Dr Dau sio mdini ispokua ni mchapa kazi na ulitaka ushahidi ni wazungu kumkubali mpaka kupewa usimamizi ktk...
  7. N

    HOJA MBADALA: Tuhamasishe CCM imsimamishe Membe 2015?

    Kama mko serious na mnataka kumaliza mchezo mpeni nchi mwakyembe
  8. N

    VIDEO: JM Kikwete ndani ya BBC Swahili Tv

    Interview ilikua nzuri tu kwa sababu raisi alijibu naswali aliyoulizwa kahiyo kama kuna tatizo basi ni kwa muulizaji. Kuna mambo mingine sio lazima yeye ayajue kama plastic kutengenezwa kutokana na gas sio lazima ajue kwani yeye sio mtaalam wa mambo hayo. Kumchukia mtu kutusifanye tukachukia...
  9. N

    Ufunguzi wa tawi la CHADEMA UK leo,waislam wamwandikia barua dr Slaa kulalamika.

    Kimsingi hii ilikua ni big mistake ktk swala zima la kiufundi na limetriger vitu vingi sana kwa uchache kabisa ni wasiwasi wa Chadema kuongoza nchi kwa uadilifu. Kuna vitu ambavyo vinawezekana njia moja tu, umeshafanya makosa kubali na jaribu kurekibisha makosa na baadae uombe msamaha. Kimsingi...
  10. N

    Baada ya kuimaliza NCCR, Marando sasa aanza na CHADEMA

    Nilipoona maneno yako haya 'Ninachotaka kusema ni kwamba kama ni taaluma ya ushushushu aliyonayo basi amehitimu kwa mafanikio sana. Ana uwezo wa kumwibulia tuhuma mtu yeyote na kuziweka wazi hata mbele ya halaiki, akazungumza kwa makini na uhakika mdomoni mwake, lakini ukifuatilia baadaye...
  11. N

    Baraza la wawakilishi Zanzibar latetea matumizi ya bendera ya taifa kwa meli za Iran

    Hakuna uhusianao wa muungano na swala hili ispokua wazungu wanapenda kutisha tu wanakataa kabisa kusoma alama za nyakati. Inaonekana wengi wameshindwa kuielewa na kuichambua barua hiyo ya marekani kama ni barua kweli na sio vitisho tu. Hebu tujaribu kuitupia macho kidogo. Ktk jumla ya maneno ya...
  12. N

    Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

    Inaonekana wengi wameshindwa kuielewa na kuichambua barua hiyo ya marekani kama ni barua kweli na sio vitisho tu. Hebu tujaribu kuitupia macho kidogo. Ktk jumla ya maneno ya kwenye barua yanasema 'Tanzania must stop' kwahiyo kinachotakiwa ni Tanzania kuacha kama imefanya. Ingawaje haikowazi...
  13. N

    Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

    Inaonekana wengi wameshindwa kuielewa na kuichambua barua hiyo ya marekani kama ni barua kweli na sio vitisho tu. Hebu tujaribu kuitupia macho kidogo. Ktk jumla ya maneno ya kwenye barua yanasema 'Tanzania must stop' kwahiyo kinachotakiwa ni Tanzania kuacha kama imefanya. Ingawaje haikowazi...
  14. N

    CEO wa NSSF

    Hao ni binadamu kama binadamu wa kawaida sio malaika, wanaweza kua popote ilimradi hawavunji sheria hiyo picha ya Dr Dau nimeipenda inaonyesha kujichanganya na jamii na kujua kinachoendelea mitaani na vilevile inaonyesha kua ni mtoto wa mjini. Wabongo mnapenda kila kitu aanze Obama.
  15. N

    Sheikh Ponda yuko sahihi

    Idadi ya watu ni muhimu ktk taifa lolote ujitaka kujua faida yake angalia China na inavyokuja juu kiuchumi. Resources zilizopo Tanzania zinaweza kutosha Africa nzima kama zikitumiwa vizuri na kukawa na ktk ugavi muhimu ni kujipanga tu. Kuhusu dini ni muhimu kujulikana kwa sababu karibi million
  16. N

    Mwakyembe ageukwa

    Kuna watu cgungu mzima wamemaliza masomo na hawana kazi hao wafanyakazi ambao wanamgeuka waziri kama kweli wamekasirika waondoke wenyewe na kama wasipoondoke wafanye kazi kwa bidii na wapewe muda maalum ambapo juhudi zao zitaonekana wakishindwa kubadilika fukuza pia. Tumechoka na ubabaishaji...
  17. N

    ATCL saga

    ATCL imekua na story kwa muda mrefu na hakuna maendeleo either kwa sababu ya group au individual, kinachotakiwa ni maendeleo na sio muhimu nani atakuwepo madarakani akiwa chizi au yoyote. Mpaka leo Tanzania tunazungumzia ndege ya kukodisha hivyo ndio vipori vya ufisadi hatuna muda tena wa no...
  18. N

    Mtihani wa Dini Uondolewe kwenye Sylabus na kwenye Mitihani ya NECTA

    Hoja iliyozungumza ni kukosekana utendaji wa haki na uaminifu ambayo muhusika aliaminiwa. hilo ufumbuzi wake sio kuondoa somo la dini, ufumbuzi wake ni kuwajibishwa na kuweka kiongozi muadilifu. Hii ni wakeup call kwa wahusika wajue kile kilichokua kikidaiwa muda mrefu kilikua ni madai ya...
  19. N

    Kikwete alikataa wimbo teule wa EAC kwa kudai ni wa "kikristo mno"

    Let say the story was true, we think that Mr president was right to rise such issue because is a reality. Most of us are trying to deny the fact that religion has became sensitive matter and there is a need to be deat with and not escaping from it as many seem to suggest. If there wasnt a...
  20. N

    Huyu ndiye Waziri wangu wa Sheria na katiba

    Ukitaka kumjua vizuri ni nani Tundu Lisu angalia rank ya Warwick university ambayo ndio amefanya master yake. Sio mambo ya uchakachuaji
Back
Top Bottom