Search results

  1. B

    Mbunge wa CCM ahoji walimu wakuu kusimamia ujenzi wa madarasa na nyumba za walimu

    Halafu wanakamatwa na kupata misukosuko wakikosea. For sure it is not fair.
  2. B

    MJADALA: Baada ya Spika kujiuzulu ni hatua gani hufuata?

    Ule mhimili wenye mzizi mrefu ukiondoka makamu anatakeover. Huu mhimili wa wananchi sijui labda na wenyewe makamu anatakeover. Nawaza tu mie sio mjuzi. Haya mambo ni kwa zamu. Lisu yeye yupo pale pale. Lema njoo tuwambie zamu ya nani inafuata.
  3. B

    Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hongera kwa kutushukuru Watanzania kwa ushirikiano tulokupa, umesahau kitu kimoja ni KUTUOMBA MSAMAHA KWA ULIYOTUKOSEA kwa kutumia madaraka yako. Huo ndio uungwana, ni hayo tu Mheshimiwa.
  4. B

    Tukiacha ushabiki wa kivyama na Unafiki, Hoja ya Spika haijajibiwa

    What goes around comes around. Lisu naye Alisema wakitumaliza sisi itafuata zamu yao. Wahenga nao Ukila nyama ya binadamu huwezi wacha. Hata kama jobo anahoja kwenye hili ndio muda wa kulipia aliyotenda bungeni. Mungu hajawahi kulala ataendelea kutulipia hapa hapa mpk wasiojulikana pia.
  5. B

    Mwigulu: Tutaendelea kukopa, deni ni himilivu

    Sawa mh lakini tahadhali nayo ni muhimu sana katika mambo haya.
  6. B

    Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

    Watz wana haki ya kuhoji. Kumbuka tuna sheria ya takwimu inapokosewa na taasisi ya urais unategemea nini. Wasaidizi wake wawe makini.
  7. B

    Makosa yanayojirudia kwenye hotuba za Rais yataondoka lini? Kuna kitu hakipo sawa

    Dah dolali zote hizo, basi deni letu ni sitahimilivu. Heri ya mwaka mpya mpya waungwana.
  8. B

    Salamu za Heri: Shoo aonya dhidi ya Uonevu

    Kuzaliwa kwa kundi la wasiojulikana ktk taifa ni aibu kuu kwa taifa letu. Kupotea kwa watu mchana kweupe na viongozi wa kitaif kubeza kupotea huko haikuwa hali ya kawaida
  9. B

    Jaji Werema: Tumepitia magumu awamu ya 5, Katiba Mpya ni muhimu

    Katiba mpya haikwepek taifa lime pita ktk kipindi kigumu sana. Wtu wa aina hiyo hutokea mara kwa mara na huja kulipa visasi kwa wanaoamini walichangia maumivu yao au wapendwa wao.
  10. B

    Swali la tafsiri ya terrorism linasaidia nini kesi dhidi ya Mbowe?

    Kisheria ina maana kubwa sana. Ni kesi nyeti hivyo inahitaji uchunguzi makini toka kwa watu makini. Neno moja linaweza umiza mtu au kuleta maana tofauti ktk report. Hivyo wakili anajaribu kuonyesha mapungufu ya ripoti na muhusika pia ili kuipunguzia credibility ya report husika .
  11. B

    Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

    Ni bahati mbaya sana awamu hii nchi yetu neno UGAIDI tunalitumia kwa urahisi sana ilihari kwingineko duniani likitajwa nchi zinasimama kwa taharuki. Tukio la Hamza mi bado nilipima kama uhalifu mwingine unaoweza kuwa umesababishwa na visa, msongo wa mawazo au tatizo la kiafya. Kumbuka hata...
  12. B

    Wahadhiri wa Vyuo Vikuu na mishahara ya Wabunge na Wakurugenzi Mashirika ya Umma

    Lakini pia kumbuka na mwalimu wa darasa la AWALI na la KWANZA wanaofundisha KKK(kusoma, kuhesabu na kuandika). Usisahau madarasa yale watoto wengine hawajajitambua wanajisaidia humo humo. Huyu mwalimu huyu!!!
  13. B

    Ole Sabaya aangua kilio mahakamani akidai anasingiziwa

    Mkuki kwa nguruwe. .........
Back
Top Bottom