Search results

  1. Pasco_jr_ngumi

    Udanganyifu unaofanywa kwenye michezo ya kubahatisha na kamari

    ....kuna cku nilitaka kucheza, Biko, nikaona ni ufala kutuma eeehe buku.... si afadhali nkanunue peps baridiiiii
  2. Pasco_jr_ngumi

    Nimempa mimba adui mkubwa wa mke wangu

    umekosea mkuu, ungeomba ushauri kabla ya kufanya kwichi kwichi... mm ningekupa staili bombaa ambazo mngengonoka vizuri na kufurahia mubasharaaa bila mimba mujarabu kujitunga!!!! aaaaaaah
  3. Pasco_jr_ngumi

    Q&A, kwanini kila habari ya Mange ni verified kuliko nyingine?

    jibu Ni rahisi, nyie wenyewe ndio mnampa. mnashindwa pa kusemea. mmebanwa na mkono Wa JPM
  4. Pasco_jr_ngumi

    Uwezekano wa kulipa Trilioni 4 za Acacia versus Trilioni 400 za TRA

    na siku Mkuu wa Nchi akienda ulaya watamtaifisha... chonde usiende baBa Jesca
  5. Pasco_jr_ngumi

    Wanawake wenye waume walevi njooni hapa tufutane machozi

    na wewe uliolewaje na mnywaji, fyuuuuiuu
  6. Pasco_jr_ngumi

    Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

    mbona picha hamna za haoo majambazi !????
  7. Pasco_jr_ngumi

    USHAURI: Serikali irudushe umri wa kustaafu miaka 50-55 au itoe ofa ya kustaafu.

    nipen namba yake, niko 12 years, nataka kustaafu
  8. Pasco_jr_ngumi

    Unamshauri kipi mtu anaetaka kusoma kati ya ACCA au Masters

    ACCA ndio nini??? achen uhuni ....fafanua kirefu
  9. Pasco_jr_ngumi

    Mh Rais kamwe usikubali hili jambo wanasiasa wanataka kukupima na haijawai kutokea

    Ipo siku utatekwa na utakuja kufa ndipo utapojua hii kitu ni kibaya ukiwa kaburini
  10. Pasco_jr_ngumi

    Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Kwani Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonde..... Sielewi kabisaaaaa
  11. Pasco_jr_ngumi

    Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    Nagisi huyu Mpendazoe kaiba vyeti pia.......
  12. Pasco_jr_ngumi

    Kwenu Tundu Lissu, Peter Kibatala, Albert Msando na wanasheria wengine wa vyama vya upinzani

    Vyama Vikuu vya Wafanyakazi vimekaa kimya..... Nadhani vimemezwa na CCM.... Vry Sorry, Only in Tanzania
  13. Pasco_jr_ngumi

    Bodi ya Mikopo (HESLB) imeanza rasmi kukata 15% kwenye mshahara

    Nawasalimu wakuu, Nataka kutoa maoni juu ya anguko la Serikali kwa kushurutisha Watumishi kukatwa 15% 1. Mishahara ya watumishi imeanguka, hatimae ugum wa maisha unaanza , from now! 2. Ukata utaathiri mzunguko wa pesa kwa kiasi kikubwa. Ilitegemewa serikali ikusanye kodi na angalau irudi...
  14. Pasco_jr_ngumi

    Tofauti ya Siasa za Mrengo wa Kushoto, Mrengo wa Kati na Mrengo wa Kulia

    Mlengo wa Kushoto - hawa ni wajamaa ( wanaamini usawa wa jamii, social equality) Mlengo wa kulia - hawa ni mabepari ( wanaamini uwepo wa matabaka, yaan jamii iwe na matajiri na maskini, social stratifications) Mlengo wa Kati - hawa huamini uwepo wa mchanganyiko wa hayo milengo hapo juu
  15. Pasco_jr_ngumi

    Magufuli unasumbua watumishi wa umma. Watakosa motisha.

    ......Kwani kubana watumishi ni moja ya ahadi zake huko alikozunguka kwa kampeni?!!! wacha tuisome Namba..
  16. Pasco_jr_ngumi

    JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

    .......Rais pasua kichwa tu
  17. Pasco_jr_ngumi

    Ukweli mchungu, Zari ndie kamuoa Diamond...

    wivu wa kijinga huo... mwenzako anamkojo..a vizur tu
Back
Top Bottom