Yes...kama hujawahi ugua chicken pox.. Na huna hao virus hutaweza pata mkanda wa jeshi. Just a caution though. Unaweza kuwa na hao virus from utotoni as ulipata chicken pox japo haikuwa clinically obvious kutokana na immunity yako awali pamoja na strain ya virus...then if that was the case..it...
Kwamba alitumia kwa miezi mitatu???....kwa maana nyingine huyu mama wakati unampeleka hospitali alikuwa na miezi sita ya ujauzito!!!....aliyekuambia kuwa mtoto anakaa hali ya kawaida (kutanguliza kichwa) kama anataka kuzaliwa akiwa na wiki 24 ni nani?....
ukipewa ushauri na mtaalamu na kama...
Jodari,..kwa heshima na taadhima, haya uliyoandika hapa yanakufanya uonekane chizi...
1. Huduma ya upasuaji ama uzazi kwenye vituo vya serikali ni BURE. Wewe kutokana na kutaka 'better' service na utofauti, ulienda kituo binafsi (umesema mikumi). Yes huduma kwenye vituo binafsi ni ya kulipia. Ni...
Kisayansi, sijawahi kuona anal sex as an etiology to fat deposit around the buttocks. If this was the case, then the westerners would have even larger trunks than the bantus. But the reverse is true.
From the anatomical point of view, human pelvis determines the shapes and size of the hip and...
Madaktari wanapewa 100% ya 'mkopo' yes. wanakatwa immediately wakianza kulipwa mshahara (post internship). Tena ni rahisi maana wanakoajiriwa kwingi ni sekta za umma, ama taasisi za tafiti ambazo zote ziko linked na serikali. So hizo propaganda kuwa wanasomeshwa bure si za kweli mkuu!..binafsi...
pole sana kwa wishes zako..mmeshamkosa, ndo hamumpati tena..kawaambie waliokutuma walichemsha kutojua dalili za mtu aliyekufa..sasa kazi kwenu!..mtatajana tu!
hahahaaa...nchi ipi hiyo unayoijenga mkuu?..
ile ya walimu wanaogoma na kuwafelisha wanetu?
ama ile ambayo watu wanazurura na makoti meupe wakiwa wamekata tamaa kututibu?..
labda kuna nchi ya kipekee unayoijenga blaza
hivi wewe una umri gani?...mbona unaropoka matusi kwa watu usiowafahamu..ilihali ukibanwa hernia ndio utakaowakimbilia?...hao unaowaita paka ndio watakaomzalisha mkeo, ndio watakaomuongezea njia na kumshona mkeo..ndio watakaokutia kidole kuangalia kama tezi lako ndilo limezuia mkojo..
we...
Rejao, usikurupuke kijana,..nitajie daktari wa kitanzania unayemjua aliyebariki tiba ya babu wa Loliondo. Nijuavyo mimi, chama cha madaktari kilitoa tamko mapema sana. Pole sana kama huwaamini madaktari wa Tanzania.
Jamani jamani jamani...haya magazeti yetu...why?..why kuupotosha umma namna hii?..
Tofauti ya chanjo (vaccine), na treatment for prevention (matibabu kupunguza uwezekano wa maambukizi) ni muhimu kwa jamii kuelewa. Hamna vaccine (chanjo ya ukimwi) yet, kinachohubiriwa hapo, na kwenye tafiti...
Huyu mbaba si alisema hawezi kumuondoa Jairo kipindi kile?..mbona leo imekuwa rahisi kumuondoa Blandina Nyoni?..
Sista Blandina na Blaza Mtasiwa out
Sista Nkya na anko Mponda wanamsubiri Rais kuwawajibisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.