Search results

  1. brightrich

    Swali la leo

    Hayafai hata kumpa mgonjwa maana ataweza kufa kwa hayo matunda. Matunda yapo ila wanayatumia wachache. Utaambulia makapi ya hayo matunda ambayo huwezi kupata juice labda ulambe tuuuu
  2. brightrich

    Kizazi cha diamond platinumz!

    Mbavu zangu mie jamani!!!! Daaah!! Kweli hiki kizazi cha JK ni full majanga.... kwa majibu haya lazima division 5 iongezwe:smile-big::smile-big:
  3. brightrich

    Mabint wa kimarangu

    Hivi huyo mmoja aliyekuacha baada ya kuchacha ndo unafananisha na wengine?????? Wamarangu nawafahamu kuliko wewe, sio wote wenye tabia hiyo, fanya uchunguzi wako vizuri ila nakupa pole kwa yaliyokukuta KALUBANDIKA:shock::A S embarassed::embarrassed:
  4. brightrich

    ulinzi kamili

    Baba Mwanaasha tunamlinda kwa maombi, vitabu vitakatifu vinasema 'Mungu asipoulinda mji, waulindao wafanya kazi bure'.
  5. brightrich

    Wachagga malimbukeni wa mapenzi, wanaua na kujiua

    Nakuunga mkono Kiboje, wabadili msemo, wamachame wanapenda mali kuliko uhai wa mtu, U44444 ni Machame moja alidhulumu mali na huyu Munisi kadhulumiwa....... machame ni watu wa kukaa nao mbali sana, na wanapenda kutawala mali wasizozitokea jasho, kumuua mtu au kumtoa mtu ndani ya nyumba yake ni...
  6. brightrich

    Majina, misemo na maneno kwenye khanga

    MMmmmh huyo atakuwa mwanamke wa Mwananyamala!!! Maana hao kwa misemo ni balaa!!
  7. brightrich

    Hekima inaonekana hata kwa appearance ya mhusika

    haya bwana!! Heri mimi sijasema!
  8. brightrich

    Barua ya wazi kwa sir god

    Hahahahaha! Na bado hayo ni manyunyu, kuna kuja division 6 this soon.:smiling:
  9. brightrich

    ni swaga tu jamani

    He's so cute
  10. brightrich

    wew wasemaje?

    Daaaah is true, kwa upende wa mwanamke inauma sana ila akishaikubali hali mmmmhhhh! you won't believe ni full shangweeee!! kama mlivyoona kwenye picha! englibertm uko sahihi kabisa​:amen:
  11. brightrich

    Elimu yetu na ufunguo wa maisha

    Mmmmmh na hapo wanategema 'Big Result Now' kwa mtindo huu hakuna kitu!
  12. brightrich

    Habari zenu waungwana ujumbe wangu wa leo asubuhi huu hapa

    Daaah hii nimeipenda sana, MAPENZI YAHASHIKILIWI KWA PLASTA, King'asti hili nalo neno! Maana plasta huwa inaishaga nguvu na huchakaa so haina budi kuachia. hahahhaahah!
  13. brightrich

    kauli mbiu ya wanawake wa kizazi kipya

    Jamani, tumshukuru sana Mungu kwa uumbaji wake, hakuna anayependa kuzaliwa hivyo, yote ni uumbaji wa Mungu, sura sio chochote kinachohitajika ni tabia njema na hofu ya Mungu tuu! Acha kumkosoa Mungu kwa uumbaji wake!
  14. brightrich

    wachaga why?????

    Moley Molly- Mbona Majanga??? :help:
  15. brightrich

    Picha: Inawahusu CCM tu

    Ni mbulula na sio Mburula, Arusha big up sana, wameshaona mbali wamechoka kudanganyika, viva Chadema Viva, kwa nguvu ya wananchi tutaweza!!!!!
  16. brightrich

    Natamani kuona picha ya JK akiwa mdogo, natamani kuona ya tundu lissu pia akiwa mdogo!!!

    MMmmmh hauko mbali na ukweli ndugu yangu, waswahili wanasema samaki mkunje angali mbich, inaelekea JK kweli alikuwa mzururaji thehehehehehehehehehe! hauko mbali na ukweli.
  17. brightrich

    Good Example for African Leaders

    Daaaah MD25 umenivunja mbavu zangu, wamwache mzee wa Fastjet jamani!! nasikia magogoni imehania Airport, kazi kwelikweli hapo.
  18. brightrich

    Sarakasi za bungeni

    Mmmmh you make my day, daaah! Nimecheka sana kila mtu was asking me why nacheka hivyo, kweli ndo bunge letu sisi wadanganyika!
  19. brightrich

    Maelefu waliohudhuria mkutano wa mama kikwete

    CCM imefulia!! Ni wazee tu tena wasio na meno! Pole zao! Hao waliopo kwenye picha ni kanga walifuata tu wala sio kingine!
  20. brightrich

    ..nilimsahau but amejileta tena..

    Huyu aliyekuambia jiandae ku R.I.P hajakosea kabisaaaa! wanawake wanaotoka huko machame ni WATATA BALAA!! Hata wanaume wa Machame wanaogopa kuoa kwao!! Na tena una biashara zako binafsi na ajira tu!!! Huyo utadumu nae kwa few years then uta-R.I.P unamwacha anakula bata!!! Stay away from her, she...
Back
Top Bottom