Kinachonishangaza ni huyu bwana kudai kutokuridhishwa na hatua ya UKAWA kumkaribisha EL ambaye alikuwa hasapoti rasimu ya Warioba wakati yeye kaikumbatia CCM na JPM ambao wameibwaga rasimu ya Warioba.
its true linapokuja suala la kushusha bei tunaletewa maelezo mengi sijui stock ya zamani haijaisha na bla bla kibao. lakini bei ya mafuta ikipanda hatusikii hizo habari za stock ya zamani bado haijaisha na story zingine. pia kama ewura wanaelekeza bei na haifuatwi umuhimu wake uko wapi
haya ndiyo matokeo ya jeshi la polisi kufanya kazi kisiasa, ile intelijensia yao ya kubaini matukio ya uhalifu katika maandamano sasa naamini ilikuwa ni danganya toto ili kutimiza matakwa ya wanasiasa.tofauti na hapo tukio la hawa panyaroad leo lingethibitiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.