Search results

  1. F

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Maisha ya ujana hana ukiwa na nafasi na hela yana changamoto nyingi ma maswali mengi kuamua kuingia kwnye ndoa na kuuza uhuru wako. nilipofika 35 nikashtuka nikasema maisha ya kambi popote No.
  2. F

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Maeneo hukua kwa awamu Sinza awamu yao 2000 hadi 2010 - ni kweli sasa ni awamu ya Tabata baada ya hiyo Kigamboni inakuja kwa kasi ya ajabu.
  3. F

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Na yeye atupatie vyeti vyake tuvihakiki.
  4. F

    Kuna ugumu gani wa kuacha unywaji wa Pombe?

    Pombe haina tatizo ila tatizo ni anayeitumia.
  5. F

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Hata deni la Taifa nalo ni muujiza ndugu Katibu Mkuu. Hakuna Rais akiyethubutu kukopa namna hii tangu Uhuru 1961.
  6. F

    CCM Hata wakitoa Fomu 1000 hakuna wa kumshinda Rais Samia 2025

    Wambie watoe walau mbili tu afu refa awe netral - ushuhudie.
  7. F

    Serikali yatoa Bilioni 300 Kuanza Ujenzi wa Daraja la Jangwani. Kero ya Mafuriko kuwa Historia

    Umeme tu umewashinda ati kuwa historia.
  8. F

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Pia cha Ben Saanane na Azory Gwanda - pamoja na waliotaka kumuua Tundu Antipas Lissu.
  9. F

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Ulitaka wapayuke payuke kama yule ze Comedy aliyetumbuliwa majuzi kati ndugu.
  10. F

    Kwa hali inayoendelea sasa nchini wananchi wanaenda kwenye mikutano ya kisiasa kusikiliza sera au kuangalia Wasanii?

    Ni kipindi (msimu) wa mavuno kwa wasanii wa Tanzania - hela ya CCM (Taifa) ni nje nje - usipojenga sasa hujengi tena.
  11. F

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia

    Hamis acha uchawa, ongea ukweli - Nzega hatuna shida kweli?
  12. F

    Ujumbe kwa Dkt. Nchimbi - Cheo chako Hukitendei haki

    Bado hamjasemaa, mtasema tu mtasemaaa
  13. F

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Yep, tunasubiri Iran ajibu tena kama yeye kweli ni kidume. Technology ya Islael kwa makombola ya kutungua na kujilinda ni kubwa. Hapa kajaribiwa tu immune system yake.
  14. F

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Keep dreaming...US na Islael watengane. Jana tu US kapiga kura yake ya VETO kuzuia kuundwa kwa taifa la Parestina katika Umoja wa Mataifa kitu ambacho kimekuwa PIGO jipya kwa magaidi wa HAMAS.
  15. F

    Chama kikibadili Mwenyekiti wa taifa aliyekaa muda mrefu kinakuwa Kipya kama ilivyo ACT wazalendo, Bado CUF na Chadema!

    CCM haijawahi kuwa na uchaguzi wa hasa wa Mwenyekiti ndani ya chama chao. Kuna tofauti kubwa kati ya kuchagua na kupitisha, CCM ni wazee wa kupitisha jina. CDM huwa kuna uchaguzi huru na haki - ni mfano wa kuigwa.
  16. F

    Kinana nyoosha maneno Hayati Magufuli hakupora fedha halali za wananchi wema, bali aliwanyanganya mafisadi pesa za umma walizopora

    HIi nchi ni mwenyezi Mungu tu anatusaidia vinginevyo tungekuwa tushapigwa mnada na sisi wenyewe kitambo saana - Mzee wa Nazaleti hakukosea.
  17. F

    Mwita Waitara: Rais Samia Anatosha na Chenji inabaki

    Mule Bungeni alikuwa anakuchekea.
  18. F

    Derby kiingilio tufanye bure. Simba hawaonekani kutaka kuja Uwanja utapwaya sana

    UTo jichanganyeni muingie na matokeo yenu mfukoni - mtajuta.
Back
Top Bottom