Search results

  1. T

    Kununua used car show room

    JF idumu! Hata mimi mkuu nilishaweka mawazo ya kwenda show room. Ila kwa michango ya wadau humu ni bora kuvuta subira kuagiza tu kama nitalazimika kusubiri wiki nne. Maana wanasema haraka haraka haina baraka na subira yavuta heri.
  2. T

    Kununua used car show room

    Asante kwa mchango wako. Ukisema uagize unachukua muda gani kutoka kuagiza hadi gari kuwa cleared bandarini assume kuwa hela ya kulipia gharama zote ipo
  3. T

    Kununua used car show room

    Hilo la kubadilisha vipuli nimewahi lisikia. Je naweza jua ni show room zipi ni waaminifu kwa miji ya Arusha na Dar? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    Kununua used car show room

    Wadau naomba kufahamishwa hasara/faida za kununua used car show room ukilinganisha na kuagiza toka Japan. Mfano kwa spacio new model cc 1500. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    Natafuta muombeaji mwenye karama Mafinga Iringa

    Kuna mchungaji hapo mafinga anaitwa Mchungaji Chuma wa TAG. Kanisa lake liko kule chini karibu na kanisa la Lutheran mtafute huyo. Nyumbani kwake ni kwe ile nyumba ya mbunge wa zamani Malangalila
  6. T

    Msaada: Jinsi ya kuifanya simu yangu ya Voda ipokee Laini ya Airtel

    Mkuu nisaidie ya kwangu hii VF685 IMEI 357053067111102. Hiyo garama nitachangia niPM namba yako
  7. T

    Msaada: Jinsi ya kuifanya simu yangu ya Voda ipokee Laini ya Airtel

    Mkuu Slave nisaidie na mimi unlock code ya VF685 IMEI 357053067111102
  8. T

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Mwisho: SM amemaliza kutangaza nia yake
  9. T

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    SM: kwenye reporti ya CAG jina langu halimo, mkienda kwenye wale waliogawaiwa hela la ESCROW mimi jina langu halimo, mkienda kwa wale walioitwa kwenye tume ya maadili jina langu halipo
  10. T

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    SM: naomba wana CCM na watanzania wote wawasukume CCM wanaichague mimi nipeperushe bendera ya CCM
  11. T

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Swali: Uchumi wa sasa hauko kwenye mikono ya watanzania, je unahakikishaje kuwa uchumi ujao utakuwa mikononi mwa watanzania? JIBU: anasema 10% ya mapato ya gesi utawakopesha wananci na wafanyakazi, wakulima na wafanya biashara wadogowadogo
  12. T

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Nitaimarisha, muungano, umoja. uwezo ninao, maarifa ninayo kilichobaki ni wna CCM kunichagua
  13. T

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    SM: naomba ridhaa yenu ili kuhakikisha tanzania ijayo inakuwa na vijana wa sayansi, umeme 75% na kuboresha kilimo na wafugaji Tatizo la wakulima na wafugaji na wakulima ni technologia sio ardhi
  14. T

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    SM: mimi si mtu wa kufanya vitu na kwenda magazetini
  15. T

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    SM: tutapamaba na rushwa kwa kutumia katiba na sheria mapato ya serikali yatakuwa wazi
  16. T

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    SM: Tunamshabikia Yaya Toure, basi vija wetu wlau wapate milioni 10 kwa mwaka. Tutaboreshe michezo yetu
  17. T

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    SM: tutawawezesha wakulima kwa mikopo ya gesi kwa riba isiyozidi 2%
Back
Top Bottom