Search results

  1. M

    Bangi ijadiliwe kwa uwazi na kwa mapana yake

    Bangi ni mmea wa mungu kwa sababu ni mmea ambao binadamu hatengenezi.....ila madawa ya kulevya na viroba ni vtu vya kupigwa vita kwasababu vinatengenezwa na watu
  2. M

    Je, Umeridhika na maisha uliyonayo?

    Asante sana Coach MUSHI kwa somo lako....
  3. M

    Radio za Mbeya zinaongoza kwa kuwanyanyasa wafanyakazi

    Sio kwamba hawataki kuwalipa stahiki zao hao wafanyakazi...media nazo haziingizi pesa za kuweza kuwalipa mishahara
  4. M

    Biashara ya daladala(hiace) Zimbabwe

    utaratibu wa daladala kubeba abilia huko upo vp!?
  5. M

    Biashara yangu imedorora sana, hali hii ni kwangu tu au wote?

    Kwa wale wanao mtegemea Mwenyezi mungu huwa hawawazi kuyumba kwa biashara,ila wale wanaoenda kwa waganga ili wafanye biashara,kazi ikiyumba wanakuwa na wasiwasi labda wamekosea mashariti
  6. M

    Kwa wale waliosoma barua ndefu kama hii naomba tujikumbushie

    kwenye page ya kumi na tisa kuna sehemu inasema "kile ambacho mwanamke wa kizungu anamzidi mwanamke wa kiafrika ktk maumbile ya kimwili ni tofauti ya rangi,na nywele zale ni nyingi
  7. M

    Bei ya pumba na mashudu jijini Dar

    Mimi mwenyewe nipo mbeya, nafuga nguruwe sijawahi kusikia bei ya pumba hiyo. labda utusaidie mbeya sehem
  8. M

    Kama upo Mbeya unafuga nguruwe tufahamiane

    Kama upo upo mbeya mjini tuwasiale ili tujue tunasaidiana vp...naomba kuwasilsha
  9. M

    Msaada Matokeo Game za leo Vpl

    Mwenye matokeo ya game zote za vpl zilizopgwa leo maeneo mbalimbali ya nchi Tujuzane
  10. M

    Msaada Nokia Asha 201 Imepoteza network

    Nina nokia Asha 201 inapoteza network, nimerestor factor bdo inarud kwenye hali ile ile Msaada jaman nn cha Ukiangalia ndo simu ninayotumia
  11. M

    Hodi! Hodi! Wenyewe!

    Shukrani sana ndg
  12. M

    Yusuf Manji amekatwa udiwani Mbagala

    Anayekatwa na Akatwe tu.
  13. M

    Hodi! Hodi! Wenyewe!

    Kwa mdar mrefu nilkuwa napita humu bila kutambulika,tutakuwa pamoja kuanzia leo n kuendelea naombeni ushirikiano wenu
Back
Top Bottom