Search results

  1. Aaron

    Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    Kweli dada..shule zetu hizi za mfagio na vidumu sawa kabisa
  2. Aaron

    CHADEMA mtafukuza wangapi? Tazameni mlipojikwaa na sio mlipoanguka

    Tutafukuza woote na upinzani utaisha siku matatizo ya watz yakiisha.
  3. Aaron

    Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

    Ruhusa ya viti maalumu inatolewa na mbowe.
  4. Aaron

    Nayaona maisha mapya bila ruzuku wala kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni

    Uzuri ni kwamba Mbowe anaweza kulisha kijiji chenu kwa maisha yote mtakayokuwa nayo hapa duniani na chenji irudi bila kutegemea ruzuku ya chama.
  5. Aaron

    Bila woga Askofu aivaa Serikali kuacha kuonea Wapinzani, kisa wabunge kupigwa hadi kulazwa

    natamani corona ikiwa inaingia tz ianzie pale kivukoni kuja huku. Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. Aaron

    Hivi ndivyo NIDA inavyoshughulikia Watanzania Wazawa?

    kule. vijijini kwetu wazazi wetu hata hizo namba hawana. na kila siku wanatishiwa kufungiwa laini. wanaishi hawajui kesho yao. tukiwasajilia huku wa namba zetu tunafungwa miaka mitano. asante awamu ya tano. tumenyooka kweli Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. Aaron

    Dkt. Mashinji kuchangiwa faini na chama (CCM)

    Ana pesa zaidi ya hizo mara mia Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. Aaron

    Jeshi Hili la Wanawake Chadema Laweza Kufanya Mabadiliko Makubwa 2020

    wakati nakatiza mitaa ya mlimani jana saa 2 usiku. nilikutana na mmama mmoja akiwa na mtoto umri wake kama miaka 9 hivi wa kike wakiwa wamevalia sare za bawacha wote. wakaniuliza watapata wapi dalala za kwenda kibamba nikawaambia kwa sasa daladala za mbezi zimejaa na ni chache labda mchukue...
  9. Aaron

    Tanroad mnafeli wapi? Daraja siku 3 bado halipitiki?

    ka daraja tu siku tatu. corona ikija si itatumaliza siku mbili. Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. Aaron

    Dar: Philip Mangula aanguka gafla, alazwa ICU. Rais Magufuli amjulia hali

    nawazidi wote Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. Aaron

    Diplomasia imevunjwa: Kuzuia RC Makonda kwenda U.S.A ni kosa la kidiplomasia. Walipaswa kufunga ubalozi wao kwanza. Tutarajie tamko la Rais au Kabudi

    tukimkataa then what next. !?? ule mkopo wa WB mnaoulilia mtaupata wapi!?? Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. Aaron

    Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

    nadhani hii comment inatosha kufunga mjadala huu Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. Aaron

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Suala la NIDA. inawezekanaje mtu analala akiwa hajui hatma ya mawasiliano yake? Yaani watu wanakesha kama wanasubiri mwaka mpya. Hawajui kama watafungiwa au la!! Hii inatisha sana kwa mustakabali wa taifa. Wakati wa kuandikisha wapiga kura na kutoa vitambulisho vya kupigia kura mnafika hadi...
  14. Aaron

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Wakati Naibu Waziri wa Mawasiliano akisema serikali itatumia busara kuhusu usajili wa laini za vidole, ni busara dhidi ya nani au nini? Ina maaana hili suala ni la kisheria hadi watumie busara? Nani alitoa tamko la usajili wa laini kwa njia ya vidole ili hali akijua uwezo wa NIDA? Sent from my...
  15. Aaron

    TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

    vyombo vya habari vimethibitisha Sent from my iPhone using JamiiForums
  16. Aaron

    UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  17. Aaron

    Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    nimetoka kanisani. kufika nyumbani najaribu kupitia kwenye mitandao ya kijamii. nafika jamiiforums ndio nakumbuka kuwa leo ndio sisiemu wanateuana. nilikuwa nimesahau kabisa kama ni leo.
Back
Top Bottom