Ukweli kwenye maisha kuna watu wanaumiza nafsi za watu!Kuna mtu anakuuuuuumiza, mwingine anaishia tu kusema sorry, mwingine anakuona ndio kwanza unacomplicate maisha, mwingine anakupotezea tu na kuendelea na hamsini zake, ili mradi tu, wewe ndiyo unakuwa umebaki na majeraha ya ndani.Siku zote...
kwa kweli hizi story za maex ni so boring!mi naanza kuwaza labda watu wasiwe wanaachana, wakikwaruzana, wasameheane kisha tu waendelee kuwa wote. Maana wanawaumiza sana wapenzi wapya kihisia!
Jamani salaam zenu wote!
Nimefanya utafiti usio rasmi na kugundua kuwa wanaume wa Afrika waliooa hakuna hata mmoja anaweza kuishi hata siku moja bila mke wake, akiweza ni kwa tabu na kuhangaika.
1. Hawapendi kupika
2. Hawapendi kutandika kitanda, akiamka na net hapohapo, akikaa akinyanyuka...
Baada ya kuwa umechagua kazi uliyo nayo sasa, ungepewa nafasi nyingine, je ungesomea kazi hiyo hiyo au kufanya hiyo unayofanya kwa sasa? Kama hapana ni nini ungependa ufanye na kwa nini? Ni kazi ipi unafikiri inaoongoza kwa kuwafanya wanaoifanya wasiwe na furaha?
1. Anaomba lifti, ukipata pancha anashuka kupanda daladala eti ana haraka.
2. Mtu umemsaidia mpaka akajitegemea, akapata kazi nzuri kuliko wewe, anaanza kusema mmh yani yule hana maendeleo kabisa.
3. Mtu akiona mko vizuri kwenye ndoa ooh, kamtawala.......
4. Mtu anakukopa hela, ukianza kumdai...
Baadhi ya sifa za mtu mwenye stress, ni kujuta, kuwa na mtazamo hasi, na kuangalia mambo ya nyuma. Aliyekuambia ukifika University utapata kazi baada ya wiki moja ni nani? Unapotafuta kazi ya kwanza omba kazi yoyote, hata kuwasaidia watu wanaoreseat masomo uliyosoma shule, ili upate nauli za...
Karucee too bad! I have said so many times, sometimes men,do not know what they want. Ukiwa we unamfanyia hivi, utagundua anatoka na mtu ambaye kule mwanaume ndo anatumwa. Baby kaniletee chips, baby nimassage, baby nenda kariakoo kaniletee chain, baby nivue hill nimechoka sana, vyoooooooooooote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.