Wewe inataka Salma atukanwe siyo haja yako kuweka mlingano mbona hakuulizwa mke wa mbowe kama aliolewa au alizaa kabla ya ndoa? Au kama wapo pamoja na watoto na wanafanya nini hao watoto? HUNA JIPYA
Kaka umechambua kisawasawa kuhusu Chadema. Ila hapa ni vigumu kupata wenye busara kujadili hayo na ndiyo maana hujibiwa mpaka muda huu unaambilia kashfa. Vumilia iko siku wataelewa Cadema nini maana yake na ni ya nani hiyo NGO.
Kaka hawa Chadema hawtaki kuambiwa ukweli lakini mwisho wao umekaribia maana vigogo wao makao makuu maelewano hakuna.
Nilijuwa watakutukana na nimethibitisha hapo juu matusi ya wazi. Siasa ni kazi ya CCM.
CHADEMA wansubiri sifa na wakisemwa watukate. Bhaaass
Hujajua kama hicho chama ni cha wachaga? wewe huwapati kwa kuwa wewe si mmoja wao. watajua unakwenda kujitafutia umaarufu au kuwaingiza mkenge. Jaribu TLP ya Mrema
Wale Vibaraka wameingia mitini walikuwa wamepewa pesa kuwalipa madaktari il wagome kila siku walikuwa wanawalipa 70,000 hadi 200,000 kwa kila siku walizokuwa wameigomea serikali. wanasubiri bingo ingine wawaingie waalimu
Ondoa ujinga wako hapa. Kampeni ni za mgombea wa CCM siyo za Lowasa. Mbona CHADEMA kuna makundi na hamusemi? Kuna kundi la mbowe na kundi la Zito. Dr Slaa yupo kama popo tuu kila kitu yeye anakubali tuu hasa analolisema Bwana Mkbwa Mbowee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.