Search results

  1. mopaozi

    Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Unawapangiaje cha kupeleleza? kama una taarifa wapatie siyo kuingilia mambo ya chumbani
  2. mopaozi

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Tumbo kubwa pia limejaza nnya hakikisha unaenda choo haja kubwa walau mara saba kwa siku wengi wamebebelea nnya
  3. mopaozi

    Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

    Ukishajua aliko?
  4. mopaozi

    Utapeli mpya mjini

    Ni vilaza tu watapatikana km mzazi unapaswa kiwa na simu ya mwalimu wa darasa unaazaje kuwasiliama na huyo tapeli
  5. mopaozi

    Gari yangu Toyota Rav4 inakula sana mafuta

    Huu ulaji kidogo saanaaa wazee wa subaru watakutoa baru wao lita 10 km 2
  6. mopaozi

    Vyuma(wasanii) watakao zindua rasmi msimu mpya wa Fiesta Moro

    Why simuoni selemani msindi ziz iz not fea
  7. mopaozi

    Nigeria: Mchungaji apigwa risasi 40 bila hata moja kupenya mwilini mwake

    Imani kali kama ya kinjekitile na vita ya majimaji
  8. mopaozi

    Je, wajua ulaji wa chakula hiki husababisha wanaume kuwa mashoga na wanawake kuwa wasagaji?

    ushoga dar unachangiwa na kiasi kikubwa na kuiga tabia za kimagharibi kupitia filqmu tamthilia mitandao then kuna mabasha wanarubuni vijana wenye njaa na wengine wanajitakia wenyewe
  9. mopaozi

    Kuku Wangu hatagi

    Mchunguze huenda anakula Baada ya kutaga
  10. mopaozi

    Haya wale Walafi, wasiopenda kufanya mazoezi na wanaokurupuka kutumia dawa bila ushauri mmewasikia WHO

    ulaji wa nyama hauna shida kabisaaa ulaji wa miugali miwali miharagwe mikate mihapati na miwanga yootee na misukari ndiyo shida sana na chanzo cha matatizo yooteee watu wa dar ni wavivu sana mtu yuko tayari akae kwenye foleni dakika 50 wakati anaenda sehemu ya kutembea kwa miguu dakika tano...
  11. mopaozi

    Rais Magufuli: Mh. Heche toa mkono mfukoni unapozungumza na mimi, wewe ni kama mwanangu wa kumzaa

    Enzi za mwalimu angechapwa viboko sita hadharani
  12. mopaozi

    Kitu gani ukichanganya kwenye pombe mtu analewa haraka sana?

    Kama ni bia unywe kreti utalewa sana kama konyagi katoni utalewa sana
  13. mopaozi

    Tanzania said nothing about Trump election!

    Wasituchezee kabisa hawa wamarekani tutawachapa wapotee waache viherehere
  14. mopaozi

    Dr Banna: Tamko la Marekani halina sifa kidiplomasia

    Hili tamko la ubalozi wa marekani manzese kwa tumbo
  15. mopaozi

    Nape: Kuhama vyama kunawaumiza wananchi, inabidi tubadili sheria

    Mtu ajiuzulu kwa kuwa mahututi kitandani ili kupisha walio wazima kugombea
  16. mopaozi

    Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Wazo zuri basi na kampuni ya simu iwe moja tu ttcl
Back
Top Bottom