Search results

  1. UWEZO_WAKO

    Steven Mashishanga: Nashangaa CCM ilivyokuwa kimya na Baraza la Mawaziri kubwa mno

    Na Lilian Lucas, Morogoro | Mwananchi MKUU wa Mkoa mstaafu, Steven Mashishanga, amesema licha ya rais kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, angetakiwa kupunguza idadi ya wizara kufikia 15, ili kupunguza mzigo kwa Watanzania kuwahudumia. Akizungumza nyumbani kwake jana, Mashishanga...
  2. UWEZO_WAKO

    Hamu imepungua CCM: wanukuliwa kusema hawataki tena kugombea urais

    Satanic_Verses nimeipenda hiyo kwenye red, lakini sidhani kama Nape na Chiligati ni Madikteta labda jina jingine lenye kupungua kidogo makali.
  3. UWEZO_WAKO

    Hamu imepungua CCM: wanukuliwa kusema hawataki tena kugombea urais

    Utafiti wa awali unaonyesha ugomvi wa kugombea urais ndani ya ccm umepungua na utazidi kupungua hasa wanachama na viongozi wengi wanapozidi kuhamia cdm. mmoja wa wa makada wa ccm waliohojiwa alinukuliwa na utafiti huu wa kujitegemea akisema...sasa wewe unaniuliza nini wewe huna macho ya...
  4. UWEZO_WAKO

    Huyu ndiye atakayemuondoa bungeni Nimrod Mkono2015...

    Nimeipenda hii, uzuri wa mchezo ni lazima kukabana na mwisho wa siku CDM ichukue Jimbo. Kongi, hebu na wewe weka wasifu wako tuone.
  5. UWEZO_WAKO

    Uwajibikaji wa mawaziri Tanzania

    Mkuu, huo sio mkakati mzuri, hao wabunge ni wanafiki. Wanao uwezo wa hata kumtoa Rais madarakani. Unajua hata kuandaa budget kwenyewe kunagharama zitatumika, kutopitisha budget maana yake hutaki maendeleo yafanyike. Yaani wao wakae tu bungeni wanalipwa wananenepa halafu kazi yao kukwamisha...
  6. UWEZO_WAKO

    Wanachama 1,938 wa CCM, Wenyeviti Watano wahamia CHADEMA

    Weeeeeeeeeeeee, CDM nafasi haziwezi kujaa, hata TLP mkitaka kuhamia CDM njooni.
  7. UWEZO_WAKO

    Kifo cha CCM alaumiwe nani?

    Jamii forum nayo ni muuaji mkubwa wa ccm...kila siku ni kujadili na kuanika ubaya wa ccm na kuwapa mikakati cdm jinsi ya kuimaliza ccm. Kwa kweli Jamii furum imewaunganisha wana_Tz wote duniani na kuwa kitovu cha kujadili na kutoa solutions...nao wanastahili pongezi!
  8. UWEZO_WAKO

    Kifo cha CCM alaumiwe nani?

    vionhozi safi wa ccm wanahama, yeye na Mkama wanasema walikuwa ni mzigo..wamekisaidia chama
  9. UWEZO_WAKO

    Kifo cha CCM alaumiwe nani?

    Ccm angekuwa ni mtu sasa hivi maandalizi ya mazishi yangekuwa yameshaanza, ubongo ukifa ndio mtu ameshakufa hata kama bado anapumua! Ccm imeshakufa ubongo
  10. UWEZO_WAKO

    Kifo cha CCM alaumiwe nani?

    Ccm angekuwa ni mtu sasa hivi maandalizi ya mazishi yangekuwa yameshaanza, ubongo ukifa ndio mtu ameshakufa hata kama bado anapumua! Ccm imeshakufa ubongo
  11. UWEZO_WAKO

    Kifo cha CCM alaumiwe nani?

    Mwalimu alisema msipotenda haki chama hakitasimama....je ni nani hasa wa kumlaumu?
  12. UWEZO_WAKO

    Kabla ya mapambazuko ni mapambano sharti apingwe ni mkoloni hata kama wazo lake ni zuri

    Mnyonge mnyongeni lakini ukweli Arusha imeonyesha kuwa Bengazi ya ukweli. Matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge Arumeru mashariki umefungua ukurasa mpya kabisa wa mapambano dhidi ya haki na uonevu. Huwezi kuamini kilichokuwa kinatokea maana kilichotokea huko huwa ni hatua ya juu kabisa kihistoria...
  13. UWEZO_WAKO

    Kanumba: Sipigi kura, 2015 nitagombea ubunge

    Binadamu hupanga lakini ndio hivyo tena nyota yake imezika ghafla. Uwezekano wa kupata ulikuwepo, CDM mmepoteza mpiganaji. Source Michuzi.
  14. UWEZO_WAKO

    Mbowe aituhumu CCM kukihujumu Chadema

    MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amedai kwamba chama chake kimebaini mpango wa CCM kutaka kukidhoofisha chama hicho bungeni na kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa NMC mjini hapa juzi, Mbowe alidai kwamba chama hicho...
  15. UWEZO_WAKO

    Tanzania daima: Nyaraka feki ni mbinu za kitoto na za kijinga

    KWA siku kadhaa zilizopita, Watanzania wamepokea taarifa za kushangaza za kuwepo kwa habari za kupikwa zinazolenga kuleta uchonganishi na uvunjifu wa amani miongoni mwa viongozi wa vyama vya upinzani. Mwishoni mwa wiki jana, kulitolewa kile kilichodaiwa kuitwa ni waraka ulioandikwa na naibu...
  16. UWEZO_WAKO

    CHADEMA yazidi kutikisa UZINI Zazibar

    Luckman, mimi sioni ni wapi katika maelezo ya Waitara amesema maji yanaweza kupatikana kwa kufanya desalination of seawater!. Ikiwa kasema hivyo ni kweli gharama za kuondoa chumvi kwenye maji ya bahari kuyafanya yafae kwa matumizi ya kunywa, kupikia nk ni aghali, lakini inawezekana...
  17. UWEZO_WAKO

    Ccm imechelewa sana: Ni aibu kwa karne hii

    Kuhusu suala la Nishati nchini, Mukama alisema NEC imeiagiza Serikali kuhakikisha kuwa inapunguza bei za mafuta na hasa ya taa ambayo yanatumiwa na wananchi wengi wenye kipato cha chini. Chanzo mwananchi 26 Nov 2011 KARNE YA 21 BADO WANANCHI WALIO WENGI WANATUMIA MAFUTA YA TAA KWA AJILI YA...
  18. UWEZO_WAKO

    Tamko la kamati kuu ya CHADEMA kuhusu mchakato wa katiba

    Ni kweli anazo taarifa pengine za kutosha kuhusiana na msimamo wao, nafikiri uamuzi wa kwenda kuonana naye si lazima awasikilize lakini ni moja ya hatua ya watu wastaarabu kujaribu kila namna nzuri isiyokuwa na gharama kubwa kabla ya kuchukua maamuzi mengine amabayo pengine ni ya gharama kubwa.
  19. UWEZO_WAKO

    Tamko la kamati kuu ya CHADEMA kuhusu mchakato wa katiba

    Katiba: Chadema yataka kukutana na Kikwete Send to a friend Monday, 21 November 2011 18:42 0diggsdigg Geofrey Nyang’oro na Keneth Goliama CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati ndogo ya watu sita kwa ajili ya kwenda kuonana na Rais Jakaya Kikwete kuwasilisha...
Back
Top Bottom