Search results

  1. T

    MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Jamani Aga khani ni taasisi yamtu binafsi sio yawaislamu jamani, Huyu Aga khani ni mfanyabiashara tu Hotel za Serena zote zake East Africa, Bank ya DIAMOND yake na biashara zingine nyingi, sasa ebu twambieni Bakwata ina nini?
  2. T

    MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Sisi waislamu tuache kulalama wakristo wakitubagua sisi hatuna kitu wala hatuna shule hatuna vyuo hatuna hospitali hatuna shule nzuri, madamu hawatubagui basi wacha serikali iwape tu.
  3. T

    MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Taasisi za kikiristo zinawahudumia waislamu wote bila ubaguzi sasa kunahaja gani yakulalama kama hawabaguliwi? Vyuoni kwa wakristo waislamu wamejaa Hopspitali ndio usiseme.
  4. T

    MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Waislam wavivu wakufikiri, wanalaumu kuhusu MoU lakini hawaongelei kuanzisha hospitali na vyuo ili wa[pate na wao Mbona Rais alishasema anzisheni then muombe lakini wamebakia kulalama jama Vyuo vikuu kilekile mlichopewa mpaka leo ebu onyesheni uwezo wenu.
  5. T

    Ansbert Ngurumo: Tuwasikilize wahaini hawa wa CCM

    Ama kweli waseminary wanaitesa ccm kweli. Dr. Slaa, Mnyika nawengineo ambao ni matunda ya seminary.
  6. T

    Deo Filikunjombe: Mbunge anayefanya makubwa jimboni mwake

    Wana Ludewa tulikuwa na Mwalyosi alikuwa sio mtoaji, watu wakasema hatufai kwani ni mgumu sana,Leo tupo na Mhe. Filkunjombe mtoji tunasema eti rushwa! Ivi lipi jema mtu afanye?
  7. T

    Deo Filikunjombe: Mbunge anayefanya makubwa jimboni mwake

    Kutoa ni Moyo wala sio utajiri, Mhe. Filikunjombe anaumizwa sana na matatizo ya wana Ludewa ndio mana anaamua kutoa kile anacho weza. Magazeti yaliyo mnukuu siku akikabidhi lile gari la kwanza kuwa kwanini aliamua kutoa gari lawagonjwa na kwanini alitoa Manda? alinukuliwa hivi '' Siku moja...
  8. T

    Mkataba wa miradi ya Mchuchuma na Liganga wasainiwa!

    Mzindakaya hajapata chochote na hakuna aliyehongwa kabisa kwani wachina kungekuwa na hongo hakungekuwa na mizengwe kama ilivosemwa. Kama huko kwingine kuna tuhuma basi lakini mradi wa Liganga hajala. Lakini pia big up kwa Mhe. Filikunjombe kwani alipigana kufana kupona kupambana na akina Jairoz...
  9. T

    Mkataba wa miradi ya Mchuchuma na Liganga wasainiwa!

    Huu mradi una faida kwa Taifa ndio mana watu walitaka kuhujumu kama wanavyofanyaga kwingine. Sasa wameshindwa kuhujumu basi tuwe na Imani kwamba mradi huu utaleta faida kwani 10% hakuna aliyepata. Na Wachina wameonyesha plan zao sio mchezo Ludewa itakuwa the best town in the country. Watu wote...
  10. T

    Mkataba wa miradi ya Mchuchuma na Liganga wasainiwa!

    Nasikia Jk akapigiwa simu akaruhusu usainiwe na mwanasheria abakie na huo ambao ungekuwa original.
  11. T

    Mkataba wa miradi ya Mchuchuma na Liganga wasainiwa!

    Nasikia mwanasheria kaingia mitini na mkataba ulioandaliwa rasmi, ikabidi kopi zilizo bakia. Aibu ya mwaka mbele ya wachina. Nasikia hawajapewa ten % ndio wakaamua kujairo huo mradi.
  12. T

    Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

    Kwa kweli kuhusu mahakama ya Kadhi mimi naona Mhe. Rais yupo sahihi kabisa kusema mahakama yakadhi yaanzishwe na waislamu wenyewe na kuendeshwa nawao wenyewe. Watu wanashindwa kulinganisha vitu kabisa, taasisi zakikiristo kupewa ruzuku ni sahihi kwasababu ya Taasisi zake ni kubwa ambazo...
  13. T

  14. T

    JK aapa kuwatoa kafara wala rushwa: ASEMA WAMEMCHOSHA, ATAKAYEKAMATWA ATAKUWA MFANO

    Hii nchi Magufuli angeshika Urais hata mwaka mmoja tu watu wangenyoka sana manake wanajua kuwa hanaga funikafunika, Minilitamani Jk ampe uwaziri mkuuu ili uozo wa halmashauri upungue.Nampenda magufuli, Mkapa ndio alikuwa anamkubali Magufuli na kumpa ulinzi baaada yawabaya wake kumtisha lakini...
  15. T

    Baraza la Iddi: Mahakama ya Kadhi ni suala la Waislamu wenyewe - Kikwete

    Kawambia ukweli hata mimi nimefurahishwa kidogo, ule mfano wa kuwa mwenzako kaomba kapewa we hujaomba unalalamika kwanini mwenzio kapewa ulimewauma sana. Pia alipaswa kuwambia wanaolalamika waseme ni taasisi ipi ambayo inapewa fungu naserikali then inawabagua wao niiipi? wakati kama shule zote...
  16. T

    Kilwa Road baada ya kumalizika imeanza kuharibika!

    Ukitaka watu wawajibike in amana unataka kumwajibisha mteule wa jimbo la Mkuu wa nchi? Kawambwa ndio tatizo kwani hakuonyesha kukerwa naujenzi wa hovyo wa hii barabara kabisa. Cheki kijana wa kazi alivyoingia tu kitu chamhimu kwanza ilikuwa ni hii barabara fasta alikagua mwenyewe na kuunda tume...
  17. T

  18. T

    Tangazo la Wizara ya Nishati ni kichekesho

    Ngeleja nae ni gamba tu kwani aliwekwa pale na R.A sasa kama alomweka katimliwa yeye atafuatia afadhali ajiudhuru mapema kwan wenda kwenye baraza atakalounda JK anaweza asiwemo kabisa. Watu wanaomfahamu wanasema alikuwaga mwanasheria wake (R.A) baadae akamshawishi agombee ubunge na R.A...
  19. T

  20. T

Back
Top Bottom