Search results

  1. R

    Uwezo wa Mwenyekiti wa chipukizi wa CCM Taifa kujieleza ni mkubwa kuwashinda vijana wengi wa CHADEMA

    Huyo mtt amekekaririshwa hakuna anachojua,siasa za ccm hazi saidii nchi yetu,sana sana ni kutengeneza majizi ya kupora rasilimali zetu,na majizi kuja kulindana.. Kwa kinachoitwa ccm chipukizi kwangu mm naona ni watu kutafutia watoto wao maisha.. Na kuja kulinda maslah ya familia zao,badala...
  2. R

    Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

    Mimi niliwahi kupiga bao zaid 14 ndani ya masaa 24 Ila mpaka leo sijawah kufika nusu yake.. Miaka saba iliyopita,huyu alikua demu wangu alikua anafanya kazi Arusha kuna kipindi miaka ya nyuma kulikuaga na Bagamoyo marathon, sijui kama zile mbio kama bado zipo.. Mimi nilikua naishi dar so...
  3. R

    Pitia hii picha japo kwa dakika 1, kisha uendelee kumwomba Mungu azidi kukupa uhai

    Hizi ni moja ya mbinu zinazotumika kutakatisha pesa...
  4. R

    Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

    Yaani mimi kabisa nikakae nianze kujisemesha kwa rafiki zangu au ndugu zangu eti mwanamke wangu amenisaliti,Niwaambie kina masawe huyu amenisaliti? Aisee kuna vitu vya kuwaambia ndugu lkn si usaliti yaani nikae na ndugu zangu tunajadili ujinga wa mtu? Ode lawe nke isembo indo ndi.. Nke wa...
  5. R

    Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

    Ndio mzee pande zote mbili tulikua tunatambuana.
  6. R

    Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

    Kama ww ni ke basi na wewe ni mshenzi naona unatetea upumbavu.. Hujiheshimu wala kujitambua.
  7. R

    Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

    Mimi siwezi kujiua sabab ya mwanamke ndugu tambua hilo.
  8. R

    Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

    Habar za humu .. Moja kwa moja bila kupoteza muda naomba kutoa mrejesho kuhusu mchumba wangu kuonekana na love bite shingoni.. Siku ile naandika hapa nilikua na hasira kali na isiyo elezeka niliazimia kurud dar ili nikamalizane nae kama nilivoandika pale. Ila baada ya kuleta bandiko langu hapa...
  9. R

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Kwa hiyo kuwa mwanaume ndo uweze kusamehe usaliti? Mwanaume wa kweli ni yule anaetoa adhabu kali ili iwe fundisho .. Yaani anisaliti nimuache tu bila kumpa kash kash yoyote? Baada ya hapo wakanicheke na huyo jamaa yake? No mi siwez subir uchapiwe mkeo na ujue ndo utaelewa nachopitia kwa sasa.
  10. R

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Huyo mwanamke mm ndie niliemtafutia hiyo kazi hapo maana nilikua nafanya kazi hapo kabla sijapata kazi serikalini..So staff wenzake wengi nawajaua sabab niliwah fanya kazi nao ..
  11. R

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Kwa taarifa yako mm si mwanaume dhaifu.. Mwanaume ni kichwa Mwanaume ni mfalme Mwanaume ni dume la simba Huezi kunitishia mm siogopi na huna cha kunifanya huezi toa ushauri pita kimya kimya Unaeza kunitishia kunipiga ww tusichukuliane poa kabisa humu.. mtoto wako tu nyumbani alivunja glass...
  12. R

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Siendi kwake namleta kwangu ..nyumba yangu wanakaa wadogo zangu 2 .. Nishawapa kazi ya kunifanyia huko Arusha ila agenda iliyopo ni mm nibak na huyo mwanamke ili asiwepo wa kutuamulia..
  13. R

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Ukweli mm si mtu wa kumfatilia mwanamke wala kumbana .Na wala sitakagi kujipa mawazo ya kijinga sabab si leo nimeanza nae mahusiano ya Long distance nimekaa Finland kuanzia 2019 hadi niliporudi mwaka huu 2023 January nikakuta tumehamishiwa dodoma ..Mimi ni mtu mzima siwezi kumfatilia mtu mzima...
  14. R

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Kwa hiyo mm ndo nivumilie mwanamke wangu apigwe love bite nipotezee? Kama aliamua kusaliti si angesaliti yaani ndo mpaka ang'atwe shingoni? Huku ni kunikosea heshima na adabu na huu ni utovu mkubwa wa nidhamu .. Aisee lazima apate alichostahili kupatiwa .. Hadi hapa kashavuruga Ratiba yangu ya...
  15. R

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Mkuu haina haja ya uchunguzi. Kwa maumivu niliyo nayo lazima nimuumize zaid yangu ili iwe fundisho kwake asiende kufanyia watu wengine..siwezi kuumia peke yangu namna hii .. Maumivu aliyo nisababishia lazima atayalipia..
  16. R

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Alie niambia ni dada mtu mzima tunaheshimiana sana na ni wale wadada swala 5.. kwa kweli hawez kunidanganya . Na nia yake ilikua ni njema sabab si kitu kizur kimaadili kupigana love bite watu wazima . Na haileti heshima kwa wafanya kazi na wateja wao wanao wahudumia ..nia yake ilikua ni njema...
  17. R

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio? Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha...
  18. R

    Ulishawahi kutoka usingizini na kudhani umechelewa kwenda shule au kazini?

    Mimi iliwahi kunitokea nimelala mchana kwenye saa tisa kuja kuamka saa moja usiku kigiza kama kile cha alfajiri. Kilichonizuzua zaidi nilimkuta bi mkubwa anapika chai. Mimi nikajua ndo kumekucha tena nikaenda nikaoga nikaingia chumbani. Tupia Uniform daa, natoka ndo naulizwa unaenda wapi? Usiku...
Back
Top Bottom