Search results

  1. O

    Arusha ni giza totoro !

    sija kupata vema,giza kivipi?
  2. O

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Muda wao usha kwisha,ndo maana wana tufisadi kwa kila jinsi ili tupagawe pia tuvisahau vyama pinzani ikiwemo CDM.tunacho taka kujua sisi wana nchi wa TANZANIA,umeme ukowapi.tanzania tupo gizani,whay?
  3. O

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Muda wao usha kwisha,ndo maana wana tufisadi kwa kila jinsi ili tupagawe pia tuvisahau vyama pinzani ikiwemo CDM.tunacho taka kujua sisi wana nchi wa TANZANIA,umeme ukowapi.tanzania tupo gizani,whay?
  4. O

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Haiwezekani ki2,watakuwa wamechemka na kughafilikiwa kisaikolojia.washindwe.mbowe kama kawa hatuwajui wengine.
  5. O

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Ok,HAI.nilipitiwa jazba ni mbaya.@mamzalendo
  6. O

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Mgao wa umeme wilaya ya HAI MOSHI tishio,kwa weeky wanapata umeme mara moja,ofisi zinazo tegemea umeme za fungwa,watu wana lia njaa,mzunguko wa hela wilaya ya HAI MOSHI ni mgumu kwa sasa.kwa wanao tegemea umeme ni, fundi wellding,masecretar,fundi mbao wanao chana mbao kwa mashine na wanao...
  7. O

    Universal electronics service

    Ok,Pamoja tuna wakilisha universal ec.
  8. O

    Universal electronics service

    Cv zangu full setvicat of electronics.gred 1,cbet levor 1.active and pasive components it's okey.plus B+
  9. O

    Universal electronics service

    Tunatengeneza tv,vcd,dvd,mobile phone,vhs deck,computar repear,dish instolation,antena seting,ntc.tupo Arusha moshono mwisho wa vi hiace.
  10. O

    Kiumbe wa ajabu azaliwa wilayani Korogwe, mkoani Tanga

    Aise!mbona sija kupatapata kivile@lyimo
  11. O

    Madini, Almasi Tanzania....

    Hivi?inakuwaje Tanzania tuwe na reslmali kama madini na almasi.na bado nchi iwe maskini?mbuga,milima,bandari,nk.hivi vyote hela zake zinafanyia kazi gani hasa.
  12. O

    Hivi babu ni chadema?

    =0%,tafuteni hoja za maana.sijui nime toka wapi mitaa hii.
  13. O

    Maana ya sharubaro!

    Bwanaeee!namanisha sharobaro,manake mashoga wa ulaya walio kubuhu,ua walio bobea.kwanza comment yako ni negative read.
  14. O

    Maana ya sharubaro!

    Ebwana eeh!!wabongo wana tabia za kuiga na kulipuka.NENO SHAROBARO NI MASHOGA WA ULAYA WALIO KUBUHU,AU WALIYO BOBEA.shit
  15. O

    Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

    Daah babu ni noma,anatisha kama mgao wa umeme,ayayayaa!!msimuonee babu wivu.
  16. O

    Pembejeo za kilimo {VOCHAR}

    Hizi pembejeo za kilimo zinazo tolewa nchini!ni matatizo tupu.mkoa knjaro wilaya ya HAI MACHAME MASHARIKI 50% ya wajane yatima wamekosa.na nimojawapo ya watu wenye mashamba.chakushangaza,30% ya wasio kuwa na mashamba ndo wamepata ruzuku.nauliza je tutafika?ufisadi mpaka kwa wenye viti vs...
  17. O

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Tehe tehe,ndodi anabipu,mpongo mzima babu,habipu wala hatumi sms yeye anapiga dairect.
  18. O

    Mgao wa umeme mk kilimanjaro

    Wadau sijawai kuona mkoa unao sumbua kwa umeme kama mkoa kilimanjaro hasa wilaya ya HAI MASHARIKI.kwa wiki tunapata umeme mara mbili tu mchana,siku zinazo fuata ni usiku na kukatika asubui.sasa nauliza tulio jiajiri na tunategemea umeme familia zetu si watakufa njaa?na umasikini ndo...
  19. O

    Tanesco

    Hivi hawa tanesco wametumwa!!?au ni uleule ufisadi ndo unatufanya sisi wananchi tuishi gizani.kama ndo hivi tumekwisha.
  20. O

    Hello Jamiiforums

    Jamani ccm naona bado wanatumia ubabe usio na maana,kila kitu wao tuu?mpaka umea wanataka kukumbatia,si wache na vyama pinzani nao wawe juu,
Back
Top Bottom