Search results

  1. N

    Kikwete alikuwa anaongeza mishahara, kununua mazao, kupandisha madaraja, kuajiri, kulipa penseni kila mwaka hakuna aliewahi kuandamana kumpongeza

    Hatelezi ni ukweli mtupu. Watu walidiriki kusema waislam bwana yaani ni watu legelege hawakutaka kujua wala kutambua amefanya kwa Tz yke. Alibezwa kwa kila jambo
  2. N

    Amekuwa bungeni na waziri miaka 20 ila leo ndio anasema kuwa tulichapwa. Huu si unafiki!!

    Ni Ni kweli yupo zaidi ya miaka 20 jambo la kujuuliza anayoyafanya sasa ndio yanafanywa kipindi cha hiyo miaka 20!? Je amefuraishwa na yaliyokuwa yatendwa kwa hiyo miaka? Je upi ungwana kukuri palipo kosewa!? Au kuficha mabaya yaliyotendeka. Tuache Unafiki na Uzandiki JK ametusiwa na...
  3. N

    Serikali imeninyang'anya korosho zangu

    Uandishi wako ni Too Political oriented. Mkulima anakulazimishje ununue? Anajuaje kama wewe una pesa? Ona majibu yako Ninahaki ya kufanya biashara mahala popte hoja c kufanya biashara popote bali namna gani unafanya hiyo biashara. Lakini uandishi wako ni wa Kusadikika style
  4. N

    Kuongeza mishahara kwa wafanyakazi "pesa hakuna", kurudia uchaguzi na kununua wapinzani, pesa tele. Akili au tope?

    Sikuwa dhania kwamba WAPINZANI ni bidhaaa inayo uzwa ukiwa na hela una inunua tu. Nilijua wanahama kama wahamavyo wanasiasa wengine.
  5. N

    Huenda baadhi wa Watumishi wa umma wakakosa mshahara wa mwezi julai

    Tueleze mchumi nione tofauti ya mchumi na mtaalaamu wa maganda ya korosho.
  6. N

    Huenda baadhi wa Watumishi wa umma wakakosa mshahara wa mwezi julai

    Niko kazini kwa miàka kumi sasa, ajira yangu kwa bahati nzuri haina makandokando ya posho na madili. Nimejenga nyumba nzuri tu mwanangu wa kwanza yupo gredi four nalipa ada kwa mshahara huu wa mwaka 2014 wa JK. By the way kwakua hampendi ukweli ngumu kuelewa ndio maana kwakua uko kwa bro...
  7. N

    Huenda baadhi wa Watumishi wa umma wakakosa mshahara wa mwezi julai

    Tuache unafiki kama huu mshahara wa mwaka 2014 ungekua hauna tija watumishi wangeacha kazi. Wameondolewa walio ghushi vyeti mnapiga mnataka waachwe kuwa watumishi wa kwa mshahara wa mwaka 2014. Usitafute huruma ya JK zama zake kwisha. Tatizo letu tunakopa kupitiliza na kuona kinacho baki...
  8. N

    Ndege ya tatu aina ya Bombardier Kuwasili nchini Mwezi huu

    Mnaomba kweli na kufurahia mambo ovyovyo. Bahati nzuri mungu hana maombi ya ubaya. Piga kazi JPM. Jema LENU ni kuharibikiwa kwa JPM. Mtasubiri sana sio ndege mengi atashinda.
  9. N

    Prof. Ndalichako: Kiama kinakuja wanaotumia vyeti feki makazini

    Tupishe. Huna msingi. Kama unafikiri kupata cheti cha form IV ni rahisi kwa nini ulisoma form Six na degree ukaacha hiki? Kwa sasa utatoka tu hakuna namna. Ukisoma na kufaulu elimu ya Secondary utaomba ajira upya ukiwa na sifa stahiki
  10. N

    Kumbe vyeti feki ni kupunguza wafanyakazi serikali haina pesa, vingine mbwembwe

    Kama hojo ni kupunguza wafanyakazi isingetangaza ajira mpya ya watu 15,000 na hiyo ya watu 52,000 ya 2017/18. Ya wezekana we umedurufu chako Buguruni, na hujui ugumu wa cheti cha form IV. Kwa nini ufoji cheti cha form IV alafu usome degree!? Kama we kipanga risit baba ung'oe chako. Studying...
  11. N

    NECTA yaelemewa na Rufaa za vyeti vyeki, yasimamisha shughuli nyingine zote!

    Walio kuzwa kwenye ouvu utawajua tu hawajifichi. Mulibeza Serikali ya Uhakiki tu hii, hawana hela ndio maana hawaajiri. Uhakiki umekwisha oooh Wakurupukaji tu hawa. Kama ulighushi cheti wapishe walio kisomea, kama uli share cheti muache mwenye nacho adumu kwenye ajira. Jamani jambo liko...
  12. N

    Vyeti feki; serikali imekurupuka bila ya utafiti

    Sikia ndugu yangu usitafute HURUMA kwa vitu ambavyo viko wazi. Kama kweli dada yako amesoma kwa kiwango hicho cha Elimu iliyoitaja, asingekutuma kuandika haya hapa. Ukipoteza cheti Hujapoteza Uhalali wa kiwango cha elimu husika. Nenda Polisi utapewa Loss report then peleka hiyo Loss report...
  13. N

    Uhakiki awamu ya pili Mei 10

    Tuwe tunasoma taarifa vizuri. May, 10 Sio uhakiki mpya unaanza bali majina ya watumishi wenye vyeti feki kutoka katika wizara za Serikali yatatangazwa. Haya yaliyotangazwa awali yalihusu, Mashirika na Taasisi za Serikali na Halmashauri. Kwa hiyo sio UHAKIKI MPYA
  14. N

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Maelezo yako wazi wewe umetishwa nini !?kwenye huo ufafanuzi. Peleka cheti chako halisi. Mbona mie nimesoma huko kwetu Kipatimu na mimehakikiwa niko okey. Tulianza kwa kubeza oooh UHAKIKI mwaka mzima Serikali hii HAINA Hela ndio maana kila kukicha uhakiki. Hapakuwepo na aliyewahi sema...
  15. N

    Rais Magufuli,tunakuwa sugu. Urais wako 'hautanoga' tena!

    Kwa JK mlisema ivoivo lakini hatimae sasa TUMEKUMISI. JPM ndio habari Tz hakuna shilingi ya mteremko
  16. N

    Hivi Nyerere angekuwa hai leo hii bwana huyu angetamba hivi?

    Sikia Nyerere hakua Mungu wala Mtume wa mungu. Hivyo tambua Nyerere sio msaafu au bibilia wa Mustakabali wa Tanzania. Tafakari kidogo baba zetu hawakwenda shule lakini kwa kuona umuhimu tuendako walitupeleka shule. Tumesoma kwa vibatali lakini leo watoto wetu wanasoma kwenye umeme sio kwa...
  17. N

    Zitto: Zambia na Congo ndio wanatumia bandari kwa 73% nashangaa reli inapelekwa kusiko na mizigo

    Hivi kama vipao mbele vya watu kama Zito ni maslai ya Wageni na sio wana wa wanchi. Hatuoni tija ya kuunganisha majiji yetu na wilaya ambazo asafirishaji wa mazao na mahitaji mengine kwa wanachi yalikua shida, leo mtu kama Zito anashangaa kuona Reli inayojengwa ikilenga kunufaisha wanachi wa...
  18. N

    Kuna umuhimu wa kuanzisha Jukwaa rasimi la uteuzi na kutenguliwa

    Muliwahi anzisha jukwaa la Safari za JK mkisema hazikuwa na tija. Na sasa ninyi wenyewe mmeanza kujitekenya na kucheka wenyewe sasa huyu asafiri mahusiano yetu na nyingine zitakuwaje. Topic za sasa nini JPM kafanya na sio tena JPM anatekeleza irani yetu Tz bwana kila mtu mjuwaji. Hizi gia...
  19. N

    Mwakyembe: Joshua Nassari akamatwa akiwa anataka kuingia bungeni na Chupa ya kilevi akiwa amelewa

    Na baada Richmond saga waliendelea kumuandikwa kwenye magazeti na kuhubiriwa kwenye mikutano ya siasa kama fisadi, nukuu chache za walioanzisha pindi Mamvi amechukuwa form ili apitishwe na ccm awe mgombea urais Walisema yafuatayo: Ni heshima kwa mungu kumzomea na kutukana mtu Fisadi Kama...
Back
Top Bottom