Search results

  1. Michelle

    Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

    Ha ha ha haaaaaa kwenye hilo tunakubaliana. Kama ndiye kamshauri hilo basi atosha na niseme kazi iendelee.
  2. Michelle

    Kuelekea Uchaguzi mkuu 2025 Wanasiasa waanza kutumia Swaga za Magufuli mfano kuwa karibu na Wachuuzi na Vijiwe!

    John mjanja hadi unakeraaa. Tumekuelewa. Endelea kunywa maji ya nazi na kusaidia vijana wetu kupata walau mlo mmoja kwa siku.
  3. Michelle

    Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

    Mh. Rais atafute washauri. Aniite nimshauri bure kabisa. Hao waliomshauri avae hivyo akapite karibu na wauza madafu na picha ipigwe akipita tu bila lolote lingine hawamtakii mema. Hata watalii wanafanya zaidi.
  4. Michelle

    Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

    Kuwaelewa watanzania walio wengi ni ngumu na ugumu zaidi ni kuwa wanaamini wanaelewa kila kitu kilichotokea kuliko wahusika wenyewe na hivyo hata Mzee JK angesema nini bado wangeendelea kuamini wanachoamini.Sina baya na Mzee Lowassa ila alikuwa binadamu mwenye mapungufu yake na mazuri yake. Huu...
  5. Michelle

    Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Jifunze kuandika. Hilo ni swali au sentensi? Unachoongea ni neno moja au mawili? Ukimaliza itakuwa mwakani rudi kuendelea na mazungumzo.
  6. Michelle

    Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Unasema Chama halafu unamuongelea Makonda pekee. Makonda si Chama. Yaani wapambe mnakosa hekima ambayo yeye Makonda anayo. Yeye mwenyewe anasema Chama kimeelekeza hiyo ina maana hata uamuzi wa kumuondoa Bashe ikibidi utakuwa ni wa vikao na sio wa mtu. Makonda amewekwa hapo kupitia maamuzi ya...
  7. Michelle

    Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Aliyekuambia maamuzi kwenye chama yanafanywa na mtu mmoja ni nani?
  8. Michelle

    Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Mnamdogosha sana Bashe. Mnamkuza sana Makonda. Msichojua si kila nguvu ya mtu iko wazi na inahesabika kwa wanaohudhuria mikutano ya hadhara ambao tunajua wanajaaje. Mbele ya umma ukiacha hii ishu ya Sukari Bashe ana heshima yake mbele ya wananchi na hata ndani ya chama ambayo hakutumia nguvu...
  9. Michelle

    Akajibu "Baba hatumpi kura kiongozi kwa kumlipa fadhila, tutaangalia sera na Uwezo wake kutekeleza"

    Mimi kwa kweli ni sera na kwakuwa ni wa mtaa huwa nafuatilia mwenendo. Vipi huyo mgombea wa Mjomba alishinda?
  10. Michelle

    Nipeni faraja, nimefiwa na mume wangu mtarajiwa

    Pole sana. Apumzike kwa amani.
  11. Michelle

    Makonda aturudisha 2015-21 :Ya JPM kujirudia. Anahisi kuwa ndiye Rais wa Nchi. Atumia fursa ya Mama kuwa Nje kikazi

    Tanzania ni nchi ya watu wavumilivu sana ila pia wabinafsi sana. Ogopa nchi watu wananaamshwa saa kumi kupandishwa malori kwenda mkutanoni wasikojua agenda wanachojua ni anakuja fulani na wakifika wanapewa 5000 kwa kazi ya kupiga makofi,kuzomea na kushangilia hata upuuzi. Reasoning yetu ni ndogo...
  12. Michelle

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Samahani kwa kusoma vibaya na mindset yangu isiyopenda ukabila. Nimekuelewa vizuri sasa.
  13. Michelle

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Una hoja ila hapo ulipoweka wa "ujasiri wa kisukuma" sasa umeleta ukabila. Na sisi Wazaramo hatupendi ukabila atii. Mchango wa elimu, exposure na mengine aliyoyapitia unaweza kuwa umemfanya alivyo na sio usukuma wake. Ujasiri hauna kabila, Nyerere na Sokoine hawakuwa wasukuma ila ujasiri...
  14. Michelle

    Makonda kawa kituko ziara Kanda ya Kaskazini

    Katibu Mkuu Dr. Nchimbi asilaumiwe kwa hoja za Makonda. Anajua kabisa majukumu yake na huko anakopita kuna viongozi wa CCM wa mikoa hadi matawi,walipaswa kumshauri nini cha kuzungumza huko kutokana na changamoto au kazi nzuri zilizofanywa kama sehemu ya utekelezaji wa ilani ya CCM.
  15. Michelle

    Ziara ya Makonda mikoani inamjenga sana yeye kuliko Chama

    Anaitumia fursa vizuri. Ana malengo yake pia binafsi tofauti na ya taasisi. Kwahiyo anajijenga kote kote. Angeweza ku balance ingekuwa heri ila hizi mimi mimi sijui mimi ningekuwa mwenezi kipindi cha fulani hazimsaidii. Yeye ni Mwenezi chini ya Mwenyekiti Mh. Samia na aende kwa style ya uongozi...
  16. Michelle

    Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

    Pendo jifunze kwa waliokutangulia kuhamia CCM. Tunapenda sana wapinzani wakihamia CCM ila hatusahau kuwa ulichokifanya unaweza kukifanya kwa CCM.Jijenge ndani ya CCM kwa mbinu tofauti na ya kutoa siri za ulikotoka. Jifunze kwa Katibu wetu wa UVCCM. Usihemke ukaongea sana ukaishia kutokuaminika...
  17. Michelle

    Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

    Nawatakia kila la kheri wanaoandamana na naendelea kumpongeza Amiri Jeshi Mkuu na Jeshi la Polisi kwa kuwaacha wafanye yao kesho.
  18. Michelle

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Mpaka kasema kwa umma wa watanzania kuna zaidi ya mmoja. Na tayari ni threat. Wangeweza mtuliza huyo mmoja bila kelele ila kwakuwa wako kwengi CDF ameona liwe wazi.
Back
Top Bottom