Search results

  1. MKURABITA

    "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    Ningekuwa wewe, ningeomba moods wakanisaidia kufuta huu uzi. Nina uhakika mpaka sasa utakuwa unajuta kwa nini uliamua kuandika haya. Pole sana.
  2. MKURABITA

    Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

    Thubutuuuu. Kwa Bunge hili hili la Ndugai?
  3. MKURABITA

    Kutoka Buguruni, Dar: CUF wajiondoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, watakaochaguliwa hatutawatambua

    🤣🤣🤣🤣 Lipumba anasema kutarajia kupata haki ni sawa na kunyanyua mikono ukitarajia kushika mbingu.🤣🤣🤣 Kweli hapa mikono itaishia kuchoka bure.
  4. MKURABITA

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mwe mwe mwe!!!! Kumbe huku kuna ma likes ya kumwaga!!
  5. MKURABITA

    ARUSHA: Watoto wawili kati ya wanne waliokuwa wametekwa wapatikana wakiwa wamekufa

    RIP watoto. Kuna watu wana roho mbaya sana jamani.
  6. MKURABITA

    AGIZO LA RAIS: Taasisi 200 za Serikali zahamishia akaunti zake BoT kutoka Mabenki ya Biashara

    Baada ya kukamilisha kujaza form za mkopo CRDB hivi karibuni, mkopo uliingia ndani ya siku 2. Labda ndo matokeo.
  7. MKURABITA

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ni muda muafaka kwa CR7 kuondoka Madrid akapumzikie England, vinginevyo ataondoka kwa aibu kubwa zaidi!
  8. MKURABITA

    Hii Ndio Fomu Maalum ya Maombi ya Safari za Nje; Watumishi wa Umma Waangua Kilio!

    Unamtukana bure jamaa. Ni kweli kwamba hii fomu siyo mpya, imekuwepo miaka, tatizo hakuna aliyekuwa anajali na taasisi chache zilizokuwa zinazingatia walikuwa wanafanya kama formalities tu. Nimeshajaza fomu hii zaidi ya mara moja ila hata sikupata feedback na safari ziliendelea.
  9. MKURABITA

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    Kwa matokeo haya tumepeta faida ya kuongeza watalii na kukuza pato la Taifa. Kila atakayechungulia matokeo ya leo, cha kwanza kuona ni 7-0!!! Kisha atatamani kujua zaidi kuhusu nchi yetu. Atakutana na Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro nk. Bravo Mkwasa!
  10. MKURABITA

    Kwanini ISRAEL haishambuliwi na magaidi?

    Mkuu, hili swali unawaonea wana JF, kawaulize HAMAS watakwambia!!!
  11. MKURABITA

    Nyumba inapangishwa ipo Ukonga -Mombasa

    Mkuu, malipo kwa Mwaka!!! Na kama mpangaji atataka kuondoka kabla ya mwaka kuisha kodi ya miezi iliyobaki utarudisha? Nadhani imefika wakati hili swala la kulipa kodi ya miezi sita au mwaka liangaliwe upya. Nchi nyingi kodi ya pango hulipwa kila mwezi maana hata mishahara hulipwa kwa week/mwezi...
  12. MKURABITA

    Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Mzee Sitta amekatwa bila huruma! Naona mwanamke tena kuoongoza Bunge!
  13. MKURABITA

    Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

    Ngassa amekwisha, hamna kitu pale. Ameshindwa kabisa kuisadia timu yake ya Free State ya South Africa. Tangu amejiunga na timu hiyo hajafanya lolote la maana, nilishangaa kuitwa timu ya Taifa!
  14. MKURABITA

    Wanaswa na Pombe zikiwa ndani ya Makopo yenye alama ya Pepsi Saudi Arabia

    Hahahahhaha! Hapa hata watoto watalewa tu, wakidhani ni Pepsi! Imani hizi za kulazimishana!
  15. MKURABITA

    Rais Magufuli akabidhiwa rasmi ofisi ya Rais na Rais mstaafu Dr. Kikwete

    Mara nyingi Raisi wetu ameonekana akiwa kabandika nembo inayoonesha picha ya Africa kwenye koti lake. Kwa nini habandiki nembo ya bendera ya Tanzania??
  16. MKURABITA

    Spika wa Bunge Wakati Huu CCM, ni zamu ya Zanzibar, Je Sitta atakubali?

    Hahahahaha! Mwaka huu kila kigezo watakachoweka CCM atajitahidi kukitimiza ili tu awe Spika! Nadhani hapa atasema babu wa babu yake alikuwa Mzanzibari akahamia bara miaka mingi iliyopita!
Back
Top Bottom