Search results

  1. bakuza

    Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

    Duh.!!!!!.. Mungu apewe sifa.
  2. bakuza

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Ndiyo utueleze maandiko yanamsemaje huyo mwanamke.
  3. bakuza

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Weka mawasiliano kwa ajiri ya kukutafuta kupata hizo spare parts mkuu.
  4. bakuza

    Mahiga asema Tanzania haitambui Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, baada ya Ndugai kunukuliwa akisema anautambua

    Ubalozi wetu uliopo Israel kuhamia Jerusalem au kubakia Tel Aviv sidhani kama kunatusaidia lolote kama Taifa bali kuwa waongeaji harakaharaka bila kutafakari faida kwa Taida ndiko kutatughalimu.. Hebu chukulia mfano wa Tanzania yetu..mji mkuu wake ni Dodoma lakini sijui kama kuna ubalozi hata...
  5. bakuza

    Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Haya maswali yako kaulize kwa viongozi wako wa dini sisi wengine hayatuhusu,hapa tunaangalia fursa.
  6. bakuza

    Kwa wanachama wa NSSF Hakiki michango yako kupitia namba hii

    Hakuna taarifa ya kubadilika kwa sheria bali ucheleweshaji umeonekana kwa sababu ambazo mpaka sasa haziko wazi.
  7. bakuza

    Kwa wanachama wa NSSF Hakiki michango yako kupitia namba hii

    Kama upo kwa muajiri mpya barua inayotumika ni ya muajiri mpya si yule wa zamani na kama hujawahi kuendeleza michango tangia uachane na muajiri wa zamani basi barua lazima upate toka kwa muajiri wa zamani.
  8. bakuza

    Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    Mh.tutanachotaka kujua ktk mikopo ya benki ni hiki 1.Percentage ya riba ya mkopo 2.Urahisi wa kupata mkopo(Kwa maana ya mahitaji ya viambatisho pamoja na muda wa kupokea..) 3. Ukubwa wa makato yao 4. Muda wa kukaa na mkopo eg.Miaka 3,4,5,6,au 7? Ukitupatia haya kwa ulinganisho wa benki zote basi...
  9. bakuza

    Ufafanuzi kuhus fao la kujitoa mifuko ya jamii ushahidi huu hapa

    Hahahaaaaaaaaaa... wasomi tuna wana njia nyingi za kudai haki..hasa ukitilia maanani kuwa haki haipotei bali yaweza kuchelewa tu.
  10. bakuza

    Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    Better you give the comparison with other banks,which 'll enable anybody to choose the best bank based on the given benefits.
  11. bakuza

    Ufafanuzi kuhus fao la kujitoa mifuko ya jamii ushahidi huu hapa

    Hawa jamaa nadhani wanatuona tuna kauzezeta vichwani vileeeee.Yaani badala ya kutupatia pesa yetu tukajikwamua kwa kuitumia kama mitaji wao wanataka tufe waifaidi.Sitaki hata kusikia hiki kitu masikioni mwangu maana nasikia hasira inanivuka mipaka juu ya unyama huu wanaolazimisha kutufanyia...
  12. bakuza

    Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    Ina maana unalipa riba ya 3,420,000/= yaani karibia asilimia 100 ya mkopo. Duh...!!! hauwezi kuwa mkopo huo.
  13. bakuza

    Simu kuisha chaji wakati inachajiwa

    Tatizo huwa ni charger unayotumia inakuwa imekufa.
  14. bakuza

    Simu kuisha chaji wakati inachajiwa

    Umeonesha uwezo wako wa kukariri maisha..huna tofauti na msukuma anayeenda dukani na kumwambia muuzaji nahitaji suruali ya mifuko mingi ya laki moja bila kujua inaweza ikawa hata elfu 20,000/=
  15. bakuza

    Maneno Machache ya Jaji Mutungi kuelekea Uchaguzi Mkuu, azungumzia suala la Kulinda Kura

    Kinachoonekana humu na kila mahali ni hofu na kukata tamaa kwa wanachama na wapenzi wa chama kinachomaliza muda wake....Kila mahali wamejifanya wasamalia kuomba watu wasilinde kura zao duh..!!Naliona joto linavyokuwa jingi kwao.
  16. bakuza

    Juu ya utumishi wangu kwenye "Taasisi" ile ninapohakikisha treni la EL linatema abiria wake

    Nadhani ni ujinga kuwarudisha watanzania wanakotaka kutoka....siraha yoyote inaweza kutumika endapo una hakika ukiitumia utamshinda adui yako..Hivyo kumjadili mtu hapa haitatusaidia maana urais ni taasisi na si mtu mmoja kama wengi wanavyoamini kinadhalia.Kama Urais ungekuwa ni wa mtu mmoja kama...
  17. bakuza

    Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

    HuAMINI KATIKA mUNGU PIA KAMA NDIYO HIVYO.
  18. bakuza

    Mikopo ya dharura

    Aliyeleta post hii sidhani kama ni mzima pale kichwani labdaaa:noidea:
Back
Top Bottom