Search results

  1. kwamtoro

    DW kiswahili wana maana gani hapa kuhusu Rais wetu?

    Kirusi hichi kinapiganwa kusayansi sii kiimani
  2. kwamtoro

    Kama tunamsifia ni Kipa mzuri kuliko Aishi imekuwaje Penati ya Juzi hakuidaka na Kafungwa Goli ambalo Aishi asingefungwa?

    D Dogo! Acha kupanic, acha kushindana na ukweli. Kama umempenda Manula nenda pale msimbazi ukampose awe bibie kimpira hawezi kumfikia kaseja.
  3. kwamtoro

    Kama tunamsifia ni Kipa mzuri kuliko Aishi imekuwaje Penati ya Juzi hakuidaka na Kafungwa Goli ambalo Aishi asingefungwa?

    Aishii pazia sana kwenye mipira ya mbali. Mtambaa wa panya ndio pazia kabisa. Mipira inayopigwa post ndio tambara la deki kabisa.
  4. kwamtoro

    Hussein Bashe anastahili mikoba ya Waziri Kamili wa Kilimo au Viwanda

    Mimi Omari mgumba ndiye anayefiti.wizara ya kilimo.
  5. kwamtoro

    Nilichojifunza ndani ya mwaka mmoja bila ajira

    Uwezi ukaanzisha jambo lolote ukiwa unaongozwa na akili za kupanic ukafanikiwa. Kazi za shamba na ufugaji zinatakiwa kufanywa kama ongezeko la kipato cha maisha yako. Lazima uwe na biashara au kazi
  6. kwamtoro

    Huu mtindo wa nywele kiofisi unakubalika?

    Kwani nywele zinashika kalamu
  7. kwamtoro

    Wasifu wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Professa Mussa Juma Assad

    Hapo seconday school hakuweka. Kuna watu wakifa muda wa mazishi uanze saa mbili asubui. Maana risala ya marehemu inachukua saa lizima
  8. kwamtoro

    Chama cha Mapinduzi chapita bila kupingwa Jimbo la Hai

    Naona watu wanaikubali sana CCM
  9. kwamtoro

    CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    HUYU ALIYE TEULIWA SIYO BURE, ATAKUWA NI MSUKULE WA JIWE.
  10. kwamtoro

    Wale wote tunaodaiwa na mitandao ya simu tukutane hapa, tupeane ushauri

    Tumekuwa tukiishi kwa wasiwasi sana hasa tukitumiwa pesa tunakimbilia kwa mawakala kama hatuna akili nzuri. mimi kidogo nime-advance, natembea na namba za wakala za kutolea pesa. Ila kuna siku nimesinzia kwenye daladala kushtuka pesa wamezilamba. Sasa nadaiwa laki nne wakinijumlishia riba yao...
  11. kwamtoro

    Ambao hatujasajili ‘laini’ kwa alama za vidole tukutane hapa, tatizo ni lipi au tunachukuliaje hili zoezi?

    KWA WENYE MADENI TIMIZA, NAWAONA NAWAONA MLIVYO WAGUMU KUSAJILI. MNATAKA LINE ZENU ZIFUGWE, WAFUNGE NA MADENI YAKO. KWA MFANO MIMI WANANIDAI LAKI NNE, WAFUNGE TU KWA KWELI LINE YAO
  12. kwamtoro

    Ambao hatujasajili ‘laini’ kwa alama za vidole tukutane hapa, tatizo ni lipi au tunachukuliaje hili zoezi?

    Bujibuji Kwa wanaume haina shida. Watatumia sehemu zao nyeti kujisajilia. Shida ni kwa wamama zetu
  13. kwamtoro

    Ambao hatujasajili ‘laini’ kwa alama za vidole tukutane hapa, tatizo ni lipi au tunachukuliaje hili zoezi?

    Mimi ni mtu wa kwanza kujitangaza hadharani kuwa laini yangu itafungwa. Simu ni mfilisi mkubwa wa pesa zangu. Nataka niishi kama watu wa zamani
  14. kwamtoro

    Kwanini Rais Magufuli anawaogopa sana wapinzani?

    Magufuli sii mwanasiasa, ni mtendaji. Kwa hiyo hana uwezo wa kuvumilia wana siasa. Wapinzani wamsubirie rais mwanasiasa siku akichaguliwa
  15. kwamtoro

    Karibia mtaa mzima Sinza A tumeibiwa

    Mimi utaniibia kwa robbering njiani tu. Kwangu nakukaribisha sana. Wewe utaenda mochwari, mimi kwenye vizingiti vya mahakama
Back
Top Bottom