nitashukuru sana kama msimamo huu wa chadema utapata nguvu ya kisheria. vinginevyo, tutanuna kwa miaka yote mitano ijayo na kupunguza concentration yetu ya kilichotupeleka mjengoni. lakini nawapa big up my good people of tanzania kwa mshikamano wa dhati kipindi chote cha uchaguzi, utangazwaji wa...
unashangaa!!!!!!!!! kamuulize spika wa bunge, maana baadhi ya wabunge wake wa kike wametinga mjengoni na hizo jamaa unaziita vikuku!!!!! hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! mambo ya utanda wazi hayo!!!!! upo hapo?
sasa hapa umetupeleka majaribuni. nadhani swali hili ni muafaka sana kwa wanandoa wapenda onjaonja!!!!!!! ila labda tu kwa kusaidia kuchangia, nina imani kuwa mke ni mtamu zaidi kuliko beki tatu, kwa sababu mwenye nae anajinafasi kwa raha bila hofu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.