Search results

  1. K

    Ubahili wa Mpare!

    Mpare mmoja alinunua mbuzi kwa ajili ya kitoweo, akamwambia mpishi, Nuthu ya nyama ipike pilau na nyingine itie kwenye Fritha!, kichwa fanya thupu na miguu fanya mchudh chukuchuku!, Ngodhi uthiitupe tutaifanya mkeka, Utumbo pikia ndithi na mifupa tutawauthia wenye mbwa!, Mkia nitengenedhee...
  2. K

    (Baadhi ya) Waislam wataka DOWANS walipwe haki yao

    Waislam wameitaka serikali iilipe Dowans bil 94 haraka kwa sababu ni haki yao (dowans) kisheria. Nimeyasikia hayo radio free africa ktk uchambuzi wa gazeti la Dar leo saa 05:00pm. Hivi RA ana mkono hadi kwa waislam?. Mbona wanamtetea? Nawasilisha..
  3. K

    Tuongee Siasa na Star TV

    shamba la karanga alifichi mgongo wa nyani.
  4. K

    Mvuta Bangi!

    Bangi noma wkt tukiwa student rfk yangu alikuwa akivuta bangi pembeni ya kijimto flani ilikuwa saa mbili usiku wakati wa prepo, ghafla akaanza kupiga kelele akidai nyuki wanamkimbiza, alikimbia hadi bwenini na kuingia uvunguni mwa deka, alilala uvunguni hadi saa nne usiku alitoka uvunguni baada...
  5. K

    Zitto Mahakamani Kigoma

    Amefikishwa mahakamani leo kwa madai kuwa alimtorosha mtuhumiwa ambaye alikuwa chini ya ulinzi wa polisi. Ila hayo yote yametokana na sakata la umeya kigoma/ujiji.
  6. K

    wami ni kero tupu leo

    Poleni na mungu awarehemu hao marehem.
  7. K

    Uzinduzi wa noti mpya BoT 2010

    Wadau kuna tetesi kuwa leo BOT wanazindua noti mpya. Wenye data zaidi watujuze!
  8. K

    Heri ya Lukuvi Kuliko Pinda

    Ni kweli mkuu anatia hasira sana, yaani yeye anataka sisi wananchi tuichukie serikali halafu yeye aonekane bora au tumuonee huruma wakati yumo serikalini na ndiye mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali. Kwanza PM anatugombanisha na serikali ili wananchi wakasirike, na wakikasirika sijui kama...
  9. K

    Who is Nimrod Mkono?

    Nilisikia kwamba aliwahi kufukuzwa nchini na baba wa taifa JKN miaka ya tisini, na JKN alipofariki dunia ndipo akarudi nchini. Pia juzi kwenye SAGA la DOWANS nimesikia amehusika ktk kesi ya DOWANS kwa kuipeleka kesi hiyo ICC. Nisaidieni wadau huyu m2 binafsi simfaham.
  10. K

    Who is Nimrod Mkono?

    Wadau nisaidieni, huyu mtu (NM) amekuwa akihusishwa na tuhuma nyingi hasa zile za kimataifa kwa kutumia taaluma yake ya sheria.
  11. K

    Re: NDEGE YA RAIS VIPI!!

    Wadau nielewesheni, hivi ndege ya Mh Rais wa JMT ni nzima au ni mbovu? Je mara ya mwisho kufanya kazi ilikuwa mwaka gani? Je Mh JK amewahi kuitumia?.
  12. K

    Chadema kutaka maelezo toka wabunge 10 ambao hawakuja Bungeni wakati wa "walkout'

    Zitto hana tofauti na Lau Masha kwasababu wote wamelewa SIFA za madaka wangali vijana tena wachanga wa kisiasa.
  13. K

    Did Mwalimu die a natural death?

    nasikia kifo cha jkn kilitokana na mkataba ulioingiwa kati ya serikali ya mugabe na serikali ya tonny blair wa uingereza mwaka 1997. Mkataba huo ulihusu reparation iliyotokana na mashamba ambayo wazungu waliwapora waafrika wenzetu wa zimbabwe. Kwamba katika mkataba huo mwl jkn alikuwa shahidi na...
  14. K

    Umri wa kustaafu utumishi wa umma ni miaka mingapi?

    mtumishi wa kuchaguliwa (kupigiwa kura) ni tofauti na yule wa kuajiriwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za utumishi wa Umma. Na hii inatumiwa karibu na mataifa yote ulimwenguni. My take ni bora kuwepo na sheria ya ukomo wa uwakilishi kwa mbunge, may be 4r 10yrs only.
  15. K

    Umri wa kustaafu utumishi wa umma ni miaka mingapi?

    Huyo ni political figure ambao hata akiwa na 100yrs ataendelea kuitwa mtumishi wa umma.
  16. K

    Hvi Shamsi Vuai Nahodha atakuwa anapokea mishahara mitatu?

    Baada ya Nahodha kuteuliwa kuwa mbunga wa JMT atakuwa anapokea mishahara mitatu au posho tatu kila mwezi. Posho au mishahara hiyo ni mshahara wa bunge la JMT, Mshahara wa baraza la wawakilishi ZNZ na mshahara wa 80% ya makamu wa pili wa rais wa smz kama waziri kiongozi mstaafu. Hii imekaaje wadau?
Back
Top Bottom