Search results

  1. Chilipamwao

    Dini na Siasa: Kuna tofauti kubwa kati ya Maaskofu wa Katoliki na akina Kakobe

    Napenda kukujulisha tu kwamba Sir Isaac Newton hakuwa profesa.
  2. Chilipamwao

    Mbunge Goodluck Mlinga asema Prof. Ndalichako hafai kuwa Waziri wa Elimu. Adai yeye, Musukuma na Lusinde wangefaa zaidi

    umekurupuka, amesema kiwango kimeshuka kwa sababu ya ufaulu wa shule za serikali kuwa duni. tulia
  3. Chilipamwao

    Mbunge Goodluck Mlinga asema Prof. Ndalichako hafai kuwa Waziri wa Elimu. Adai yeye, Musukuma na Lusinde wangefaa zaidi

    Wewe mbona unaongea vitu bila utafiti? , unamjua mlingwa? ni mtoto wa waziri marehemu Celina Kombani, awe darasa la saba????????:(:(:(:(:(:( usipokuwa makini kabla hujaandika kuna siku unaweza kujiletea matatizo.
  4. Chilipamwao

    RPC wa Geita (Mponjoli Mwabulambo): Siwezi kuwaomba radhi CCM (Kukamatwa kwa Mbunge Musukuma)

    Actually kama huijui mbeya huwezi kuelewa ukweli mmoja. Wanyakyusa ni wengi sana wanaishi chunya na hivyo kuwafunika kabisa Wabungu wenyeji wa huko. kwa taarifa yenu hata Mbunge wa chunya ni mnyakyusa anaitwa VICTOR MWAMBALASWA
  5. Chilipamwao

    Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    The Roman Catholic faith is simply a CULT
  6. Chilipamwao

    Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    sasa huo mstari mbona hauendani. Kumwita mbarikiwa hakumfanyi kuwa mwombezi na by the way wabarikiwa ni wengi katika Biblia.
  7. Chilipamwao

    Kumbe Lissu alishawahi kuinanga IMMMA Advocates bungeni, alidai ilitumika kuanzisha makampuni yaliyochota fedha za EPA

    Tatizo lenu ndugu zangu wengi ni lile la kujiondoa ufahamu. Hata muuaji anastahili Wakili, mbona hamuelewi? sasa CCM ndio walisaini hiyo mikaytaba na wa makinikia leo mikataba inalindwa kisheria, you should use diplomacy instead of kujifanya mna dola, kesi inafunguliwa uingereza mnabaki ku...
  8. Chilipamwao

    Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    Ndugu yangu, unaweza kunionyesha popote katika Biblia ambapo panataka Bikira maria aheshimiwe kama mnavyo jaribu kuaminishwa??
  9. Chilipamwao

    Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

    mnapowalinganisha hao wawili mkumbuke tu kuwa Diamond ni nyota zaidi ya Ali Kiba, na huu ni ukweli wa mambo
  10. Chilipamwao

    Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    Mambo ya imani yana maajabu yake. mama maria ambaye alikufa milenia kadhaa zilizopita anasaidia kuombea watu????? wow this is interesting, nilisikia redioni mwingine anamwita Mshenga, na ki ukweli it is un biblical na haipo popote kwenye Biblia ila kuna watu walianzisha mapokeo yao wenyewe from...
  11. Chilipamwao

    Mama Sophia Mwakagenda awasha moto Mbeya

    Wow! Ni mfano wa kuigwa
Back
Top Bottom