Search results

  1. vinneboy

    Maswali ya usahili TRA

    vipi kuhusu custom officer mkuu
  2. vinneboy

    Kuitwa kwenye usaili PPF

    nahisi hawaja shortlist maana kwenye website yao hawajaweka majina
  3. vinneboy

    Kuitwa kwenye usaili PPF

    Ni tarehe 28 August.
  4. vinneboy

    PPF Tanzania walitangaza nafasi za kazi mbalimbali mwezi wa sita, je wameita watu katika usahili?

    Nasikia walitoa majina kwenye website yao siku moja kabla ya interview, na nilibahatika kutembelea website yao siku hiyo hiyo kwenye 'news achieve' yao lakini hayo majina sikuyaona. ila kuna mtu alipiga picha hayo majina kama majina mawili ya mwisho.
  5. vinneboy

    Research and planning manager's &Risk manager's candidates .PPF

    wala hapakuwa na link ya kuonesha majina yapo hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. vinneboy

    Research and planning manager's &Risk manager's candidates .PPF

    sikubahatika kuona haya majina kwenye website yao mpaka siku imefika. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. vinneboy

    Bashite/Startv: Waandishi wa habari mjiepushe na utakatishaji habari/taarifa(news laundering)

    Anaumiza wengi.. Ila Hatakuwa mkuu wa dar milele.
  8. vinneboy

    Bashite/Startv: Waandishi wa habari mjiepushe na utakatishaji habari/taarifa(news laundering)

    Mbona vita bado inaendelea kupitia Commission..? Bashite Mimali ya kudhulumu watu kuwatishia kuwaweka kwenye list. Na piaa vyeti feki, dharau, maneno ya kejeli.. Kwa nini watumishi wengine wafukuzwe yeye aachwe.
  9. vinneboy

    Bashite/Startv: Waandishi wa habari mjiepushe na utakatishaji habari/taarifa(news laundering)

    Si anadaiwa 4 B. Ya kodi. Acha atumike ili wapate msamaha
  10. vinneboy

    Family Lawyer

    1. Malipo (mode of payment) ni makubaliano yote uliyosema hapo huwa zipo. 2. Mwanasheria anaye practise sheria ndio atleast yupo Conversant na matters nyingi na uwezo wa kuhandle different matters. 3. Aina ya mkataba Ni makubaliano pia. Yearly au kwa kila jambo linalotokea. Iyo pia ita...
  11. vinneboy

    NHIF Vacancy Opportunities - Directors Only

    Labda Kazi ya kutafuta kazi
  12. vinneboy

    NHIF Vacancy Opportunities - Directors Only

    Izo experience nazipata wapi. Dah
  13. vinneboy

    Wanaume Mna Nyoodo Mda Wa Kuoa,Pozi kibao Mnakuwa Wadogoo Kama Piriton. Hahahaaa!

    yan sikiwepo nlibanwa na vijimajukumu.. lem see wat i can do.
Back
Top Bottom