Search results

  1. T

    I want to talk to the President

    Usisahau kumuomba atuangalie huku maeneo yaaani maji ndio balaah kubwa ununue ndo sh. 500 tapokia utaoghaaaj!
  2. T

    Rais Magufuli aongoza wananchi wa Dar kuaga mwili wa Dk. Didas Massaburi, atoa neno

    Wazo na wosia mzuri kwa watoto. Tuna imani bado nafasi za uteuzi zipo na wataambulia hasa Chamani.Tuko pamoja.
  3. T

    CHADEMA isiposhinda Urais 2015 itakufa

    Slaa anasubiria kupeewa uwaziri ndani ya serifkali iliyojiibia namba za ushindi. kweli na Slaa unaweza kukubali waTanznaia watakueona wa ajabu na usiewataakia mema!!
  4. T

    CHADEMA isiposhinda Urais 2015 itakufa

    Mwelezeni huyo SLAA kuwakwa mtindo walioutumia CCM kwa wizi uliobobea pamoja na yeye kuwaunga tela baada ya kupokea mshiko mzito! HATA yeye angeliingia kwenye kinyanganyiro yote yangebakia kuwa haya haya yaliyotokea asingeliweza kufikisha hata hizo wanazozusha za uongo kwa EL! Na asingelishinda...
  5. T

    Magufuli umeokoka unakubali kubeba mzigo wa dhuluma

    Wasaliti hawa hawana huruma na hawaoni waTanznaia wakitaabika. Huu ni mfumo dume ulioko ndani ya mioyo ya U-CCM na unaendelea kuota zaidi JPM anafuata huoo mkumbo bila kutafakari kwa nini akubali kupokea mzigo hou wa wizi wa namba!! Na nakuhakikishia ilani ya chama ni kulindana hivyo tusitarajie...
  6. T

    Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    January unaonyesha hata ukuu wa wilaya hautakuwa na umuhimu kwako hebu acha kuwalaghai wapiga kura!! yaani kama wao ni vipofu vile!!
  7. T

    Serikali yakanusha Mabasi yaendayo kasi DART ni ya Kichina: "Ni kiwanda kilicho Assemble Mabasi tu"

    Mchina yumo ndani hakuna la kubisha, na tusishangae baada ya muda ndiye atakuwa anaendesha mabasi haya.
  8. T

    Serikali yakanusha Mabasi yaendayo kasi DART ni ya Kichina: "Ni kiwanda kilicho Assemble Mabasi tu"

    tunachokiona hapa ni ukweli mtupu Tanzania mabasi mengi yanayoenda mikoa sasa hivi ni waChina wameyajaza Pugu road. Hivyo tusikatae ni wazi mchina ametawala asilimia kubwa.
  9. T

    NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

    Haya mambo ya kisiasa, inatubidi tuwe makini sana, tukijidanganya hatutafika mbali. Tuelewe kuna mlolongo mkubwa wa vyama na hivi vyma wanahama na kurudi! Tunachotaka ni mabadiliko na mabadiliko hayatakuja kama hatutajielimisha kuna na chama mbadala kuongoza waTanzania, tuendelee kuchekea tu...
  10. T

    kwa matukio ya Arumeru Mashariki angalieni www.chadema.tv

    Hello To all visiting the Jamii forum. i am glad that we have such a nice place to post our concern. This site is very important to exchange and inform our peoples all happens and what is going to be. Tuendeleze wigo la upeanaji habari. asanteni. Tibs
Back
Top Bottom