Search results

  1. C

    Mali alizochukua Mkapa na familia yake

    Waheshimiwa wanandugu, mtu yeyote anaegombea uraisi kuna haja ya kumchunguza kwa undani, mafisadi wengine nao tunatakiwa tuwapinge lakini linapokuja suala la uraisi ni picha ya Taifa. Mimi nakumbuka ajenda yetu kubwa ni ufisadi, sasa kwa nini tunakuwa more defensive. Acha ukweli uekwe hadharani...
  2. C

    Jibu la prof Sheriff kwa prof Tibaijuka

    Unajua sisi watanganyika siku zote hatutaki kujibu hoja, ama tunakimbilia matusi, dharau na fitna, badala ya kujibu hoja, tunajifanya kujua sana wakati .........?
  3. C

    Wananchi wa Zanzibar na ‘chaguo la tatu’

    Tatizo ninaloona ni moja tu, ni kutumia mtandao zaidi kuliko uhalisia, Wazanzibari wanasifa/aibu moja tofauti na watanganyika, wao wanataka wakuone, wakupime, ikiwemo kukuuliza na kuwapa jawabu, ili wajue mustakbali wao, watanganyika ni rahisi kuwapiga propaganda na kukufuata, sasa chadema...
  4. C

    Prof. Tibaijuka amjibu Jussa; adai Jussa amepotosha Wazanzibari

    Mr/Mrs?Ms Petu Hapa;3213828]This raise interesting question, who is zanzibarian in the United Republic of Tanzania? One should have thought, any one who is born in Zanzibar or her parents are zanzibaria or one who choose to identify themself with Zanzibar. However, in the context of the union...
  5. C

    Prof. Tibaijuka amjibu Jussa; adai Jussa amepotosha Wazanzibari

    The controversy about the extension of the sea boundary has come at the right time when Zanzibaris have shown that they will no longer be hijacked when their vital national interest are at stake, regardless of party affiliation. It was rather disingenuous for Prof Tubaijuka to try to introduce...
Back
Top Bottom