Search results

  1. M

    Lowassa, Rostam na Chenge waja na Operesheni okoa “mapacha watatu”

    Mimi nataka kuona mwisho wake maana hawa jamaa wanajua sana kudandia hoja za cdma kuhusu ufisadi. Hongera dr kwa kuwaamsha maana bila kuwataja pale mwembechai wasinge amka hawa. Da. Wametutafuna vya kutosha sasa wa Tanzania tunasema basi
  2. M

    Kukemea ufisadi kwamponza Sumaye

    Mimi nafikili tusimubeze pamoja na mambo aliyoyafanya katika utawala wake lakini nadhani anacho sema si cha kubeza yaliyo pita si dwele tugange yajayo kwani mmesahau kama alikwenda kuongeza elimu US? na Miaka ya jana sio ya leo kuna utofauti mkubwa wa uelewa KATI YA KIPINDI KILE NA SASA HATA...
  3. M

    Maendeleo ya CHADEMA Njombe

    Cdm iangalie uwezekano wa kuwa na mwakilishi kwa kuanzia kila kata ya tanzania hii. Vijana wanaoishi mijini wa kila kata hapa nchini waangalie uwezekano wa kuchangia chama katika kata husika ,tuwe na kijana mwenye elimu ya kati asiye mwoga atusaidie kueneza chama. Mimi niko tayari kuanza na...
  4. M

    Maendeleo ya CHADEMA Njombe

    Hongera sana tunataka iringa yote iwe kama kilimanjaro soon, mimi naanzisha harakati jimbo la kilolo prof msolla kwaheli,vijana wachukue nafasi.
  5. M

    Kongamano la Vijana wa CHADEMA vyuo Vikuu DSM-Dr Slaa,Zitto,Mnyika,Marando Kuunguruma

    Dada Regia. TUNASHUKURU KWA TAARIFA HII, KWANI JANA PIA NILIANGALIA KATIKA KIPINDI CHA KIPIMA JOTO PALE ITV WAKATI WANAJADILI KUHUSU KATIBA, KAMA ULIBAHATIKA KUANGALIA NA KUSIKILIZA UTAUNGANA NA MIMI KUONA NAMNA CCM WANAVYO POTOSHA UMA WA WATANZANIA, KWA KUPITIE KADA WAO WA PROPAGANDA TABWE...
  6. M

    Wasifu wa Godbless Lema (MP)

    Labda mlitaka awe amesoma Marekani na kukulia Uingereza na kufanya kazi Canada ndo mngesema cv yake ni safi kwa mjibu wa michelle,hiyo cv ni tosha, hata hivyo ni kijana anaye jua maisha halisi ya machali wa AR kwani angekuwa amesoma Marekani asinge subutu kupigania haki mpaka akapigwa na...
  7. M

    Werema: Nilichoongea ni maoni yangu si msimamo wa serikali

    ISIJE SIKU NYINGINE AKAONGEA AKIWA MJENGONI NA AKASEMA NI MAONI YAKE BINAFSI TENA ANADILIKI KUSEMA NANUKUU mwanafunzi akiwa wa mwisho kwenye mtihani darasani watamwambia ajiuzulu kusoma? SASA AG WETU NI WA MWISHO ANAFANYA NINI SASA JK AMETEUA AG WA MWISHO NINA MASHAKA NA UTEUZI WAKE.
  8. M

    IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

    Kuna siku watu watachukua sheria mkononi hakya mungu inauma sana. Unapoona mambo yanafanyika kienyeji hongera dr kwa ujasiri wako tupate watu kumi kama wewe nchi inabadilika
  9. M

    Tanzania Inamilikiwa na Nani, au Ni mali ya Nani?

    Imani yangu ni kwamba kila jambo lina mwanzo na pia lina mwisho wake tutakuja jua tu mliliki wa nchi yetu tutakuja mpata mzalendo mwenye uchungu wa nchi yetu .na ninaimani atapatikana na hao wanaodhani nchi hii ni mali yao wajue hilo,
  10. M

    Rev. Mtikila yu wapi jamani?

    wewe sio GENIUS BRAIN UNAJIPACHIKA MAJINA YASIYO YAKO HAYO MANENO ULIYO ANDIKA HAYANA MSINGI TAFUTA MANENO MENGINE ETI GENIUS hawezi andika upuuzi huu. Amekaa kimya kama alivyokaa kimya Slaaa, kwani wote hao ni viongozi ambao walihubiri siasa za udini. Na mara nyingi huwa hawadumu kwenye...
  11. M

    Kalenda Zenye Picha Dr Slaa na Wabunge wa CHADEMA

    huo mvuto anao usema ni wa aina gani labda anamaanisha kitu kingine lakini kama ni sura CDM haiko kwa ajili ya kuonyesha sura ila kwa ajili ya ukombozi wa kweli wa mtanzania,:hungry:
  12. M

    Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

    wanaharakati tunakazi ya ziada kupata katiba mpya. kwa staili hii kazi ipo!
Back
Top Bottom