Search results

  1. J

    Tafakuri: Rais Magufuli hakutafakari kuhusu suala la kurudisha machinga katikati ya mji

    hivi huyu raisi anapoongea waandishi hawawezi muuliza maswali? maana anaongea tu bila hata kufwata sheria duu
  2. J

    Rais Magufuli ampokea Rais wa Zambia, Edgar Lungu

    Amekuja kushukuru mbinu waliomfundisha ya wizi wa kura
  3. J

    Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

    bora ingetuma bahasha na anuani yake tu than aibu
  4. J

    Lema ni shujaa wa siasa Tanzania asiyepigia Goti Watawala

    wapigia magoti ugali mbona wapo wanajulikana ccm
  5. J

    Rais akikosolewa ndani ya chama "anawapoteza",nje ya chama "anawashughulikia"bila huruma,serikalini

    bora ss anatushurikia kwa domo lake ila wengine anawapoteza miccm kimya nyambafu
  6. J

    Video: Mama atoa machozi wakati akiongea na Rais Magufuli

    Kama kweli magu anatatua kero hapo hapo naomba nitatulie kero yangu tunataka katiba ya walioba
  7. J

    Trump atashinda Uchaguzi USA

    mwache ashinde aje atulekebishie mafyatu yetu huku
  8. J

    Ushauri: Rais Magufuli mfutie kesi kijana huyu

    Magu anaogopa kusamehe kesi kwamba watamwambia rusu na katiba ya warioba ni muoga kutumbuliwa ila kutumbua
  9. J

    Mmiliki wa mabasi na malori ya RATCO msaidie rais Magufuli

    Aliomba uraisi ili asaidiwe! kama mgumu ajiuzuru
  10. J

    Mwenye CV ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam aiweke hapa

    kama katiba ya miccm inasema ili uwe kiongozi jua kusoma na kuandika cv unaitaka ya nn pimbi wa eda!
  11. J

    Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

    Mitanzania Bana ni dark country inayofurahia kufungwa goli 5 kwa 1 hata hivi uchumi unapopolomoka tunashangilia duuu kuja kwendelea cc labda shetani aje maana swala la mungu tuliweke pembeni
  12. J

    Dr. John Pombe Magufuli futa punguzo la kodi katika mishahara ya watumishi.

    Tz kuna njaa maprofesa wanashangilia 1100 duu
  13. J

    Ruzuku kwa vyama vya siasa iondolewe Tanzania!

    ww boya la kigogo mwambie afute sherehe za mwenge akitoa ruzuku ccm itaanguka madarakani maana mkitegemea kuiba hela zetu za kodi za wanainchi tutawavunja viuno, wenzenu wakianza kuchangisha watu wanajitole wakati nyie mnatafuta hela kununua wanachama
  14. J

    Baada ya kujua mshahara wa Rais, Mtujuze sasa mshahara wa mwenyekiti wa CHADEMA

    Baada ya kujua mshahara wa rais magufuli unataka ujue mshahara wa raisi mh.Lowasa ee maana mbowe sio raisi gamba labda mtutajie mshahara wa mwenyekiti wa ccm jambazi sugu hafu tutawatajia mshahara wa kamanda mbowe
  15. J

    Tuhuma za Rushwa Kamati za Bunge: Zitto ajiuzulu ujumbe wa Kamati ya Huduma za Jamii

    mtoa Uzi kwanini umeweka pilipili mkunduni unajikuna unashindwa hata kuandika post vizuri!
  16. J

    Zitto, Bashe na Mapunda acheni usanii

    kazi ya kamati za bunge sio kuchunguza rushwa ni kusimami utekelezwaji wa miradi ya serikali kwa hiyo kujiuzulu kwa wajumbe ni halali maana uvujaji unafanyika serikali hachukia mkondo wake(takukuru) safi sana zitto,bashe na wajumbe wngine waliojiuzulu
Back
Top Bottom