Search results

  1. GREENER

    Komwe (frontal bossing): Sababu ni zipi? Ni njia zipi za kuzuia ili mtoto asiwe na komwe?

    Kwani komwe ni ulemavu? Mbona mnapenda ku make big deal out of nothing? Ni sawa uje kuuliza nini kimafanya mtu awe na kanyagio kubwa au pua kubwa au meno makubwa etc. Kwan komwe lako linakupa changamoto gani on your daily activities hadi uje kufungulia uzi JF?? Hebu tufocus kwenye tangible issues.
  2. GREENER

    Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    Mtafute mtu anaitwa nyawilitips Instagram. Ana skin clinic, atakusaidia
  3. GREENER

    Misemo iliyotrendi 2023: Ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakufurahisha au kukukasirisha?

    Hii imeenda Umepigaje hapo? Hapa ni wap? Utajua hujui
  4. GREENER

    Sasa nimegundua, tatizo sio uwekezaji wala Mkataba bali ni Waarabu kuwekeza

    Ukweli mchungu ni kwamba mapendekezo yote ya TEC yamefanyiwa kazi, wewe bibi na waislam wenzio mliousifia na kusema hauna kasoro yoyote kisa wawekezaji ni waislam jana mmevuliwa nguo na mwislam mwenzenu mama Samia. Polen sana, TEC 3- Faiza 0. Hii imeenda, kula chuma hiko bibi
  5. GREENER

    Wanawake, ni zipi changamoto za kuishi na mwanaume aliyesimamishwa kazi?

    Kisiraniii....nyie nyie....au basi. Mana mtu ananuna bila sababu, self esteem inashuka to zero. Yani hata ukimwambia naomba glass ya maji anakwambia kwahiyo umeanza kunidharau kwakua sina kazi, wakati mwanzo alikua hadi kupika na kufua anafanya. Asikwambie mtu, mwanaume akikosa hela...
  6. GREENER

    FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

    Sasa we ulitaka tuwafunge 5 wafiwa?? Unadhan yanga tuna roho mbaya kama yako. Yani hayo manne tuliowaachia ndo rambirambi, bado hamjasema....mpaka mseme
  7. GREENER

    Mwanangu ana Sickle Cell, tiba yake nini?

    Huo ndo ukweli, ugonjwa wowote wa kijenetiki lazima wazazi wa pande zote mbili wawe carriers japo wazazi huwa hawapimwi but ndo iko ivo. So relax. Japo ukitaka kupima inawezekana ila kibongobongo am not so sure
  8. GREENER

    Mwanangu ana Sickle Cell, tiba yake nini?

    Pole sana, sickle cell ni ugonjwa wa kijenetiki kama albinism au down syndrome hivyo hauna dawa, hatima yake ni kutafuta means za kuishi na huo ugonjwa, so kwanza muipokee hyo hali in a positive way kwani sio mwisho wa maisha kwani wapo wengi wanaougua na maisha yanaenda Jitahd awe anapata...
  9. GREENER

    Askofu Munga: Moyo wangu umeugua kwa dhuluma KKKT waliyomfanyia Askofu Bagonza

    Tatizo unachojua wewe kanisa ni jengo, shida ndo iko hapo. Tafuta bible jombaa
  10. GREENER

    Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

    Naomba kujua ukomo wa huu mkataba
  11. GREENER

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Bibi unazeeka vibaya, tangu lini Dubai ikawa nchi? Sema mkataba kati ya nchi na jimbo. Yani wewe ukiingia mkataba wa kuzoa taka na jiji la Newyork utasema umeingia mkataba na USA?. Dubai iko chini ya UAE, ili uwe wa nchi na nchi ilibidi thingies na UAE sio Dubai Acheni kujitoa ufahamu, huu...
  12. GREENER

    ATCL, Airline in Total Confusion!

    Mlete mada umenigusa kabla sijasahau machungu ya juzi kupangiwa ndege sa 11 jioni halafu tukaja kuondoka sa 9 usiku, nafika home asubuh watu wanaenda kanisani misa ya kwanza
  13. GREENER

    Watu aina ya Robert Heriel wanahitaji wanawake wa kipekee mno

    Yani mwanamke lazima awe na atleast diploma halafu ni bikra......labda uende jupita broo, hivyo vitu huwezi kuvikuta kwa mtu mmoja bongo hii, nimekaa pale
  14. GREENER

    Hakuna mwanaume Mgane. Wanaume tujipange

    We kijana unaonekana una low self esteem before women, yani huna confidence mbele ya jinsia ke, so unajaribu kujipa moyo na kujimwambafai nyuma ya keyboard ili kuficha madhaifu yako, haiwezekani kila mara uwe unakuja na nyuzi za kueleza wanaume wenzako how to be a man, naamini jf kuna wanaume...
  15. GREENER

    Huko Songea kuna maajabu gani mpaka Wasomali wakimbilie huko?

    Ushasema walikua wanaenda kwenye makaa ya mawe, sasa unataka uambiwe nini tena?
  16. GREENER

    Kama CRDB wana Makato Kwa mwezi huwa ni kiasi gani?

    Mimi nilisha achanaga nao hao, ni wezi, wana makato ya ajabu ajabu kibao, wanakera sana.
  17. GREENER

    Lissu: Nitarejea Tanzania endapo yafuatayo yatafanyika

    Kwani huyo lisu anajiona nani hasa hadi ampangie vya kufanyiwa ndo arudi? kwani kuna mtu kamuita au alivokaa huko miaka yote jua halikuwaka TZ au mvua haikunyesha? Ikiwezekana kae huko na afie huko hakuna amtakae. Waswahili wanakwambia ukitaka kudeka hakikisha yupo wa kukudekeza, sasa...
  18. GREENER

    Rais Samia Suluhu, andaa chakula cha jioni waite wapinzani ikulu mle pamoja tujenge nchi

    Yani bavicha mnapenda kulakula vya bure, mtakuja kutiliwa sumu. Kwani hamna njia nyingine ya kupatana na wapinzani hadi mlilie kwenda kula ikulu? Kweli njaa mbaya
Back
Top Bottom