Search results

  1. Petiro

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    hiyo kamati iko tayari kuwafungia wanaosadikiwa kufanya vurugu bali kwa wale waliotajwa kwny ufisadi hawasubutu hata kuwajadili kwny vikao zao.
  2. Petiro

    Hii ina Maana Gani: Zaidi ya 80% ya Wajumbe wa Bunge la Katiba ni Wanasiasa!

    GIGO - Garbage In Garbage Out. Sisimu ndio walikua viziwi tangu mwanzo wa hiyo sheria ya mabadiliko ya katiba daima waliweka maslahi na ushabiki wao mbele ndio maana nimesema GIGO
  3. Petiro

    Video: ITV News ya UK yapeleleza biashara ya NDOVU nchini, yawarekodi wauzaji bila ya wao kujua...

    Si hayo tu mkuu kuna waajiriwa wa serikali waliopaswa kuzuia,kupambana na kukamata hao majangili na mtandao wao. Ufanisi na dhamira ya serikali na vyombo vyake vya usalama kudhibiti uwindaji haramu ni wakutilia shaka
  4. Petiro

    Kardinali Polycarp Pengo ahofu Serikali Tatu zitavunja muungano!

    Hawa wazenji tunawasaidia sn lakin hawachoki kulalama huku wakisahau wema wote wa Watanganyika. Siku zote wanafaidi matunda yasiyokua ya muungano km nishati,ardhi n.k lakini pale wanaponusa harufu ya kugunduliwa kwa nishati ya gesi/mafuta wanasema "chako ni chetu ila changu ni changu mwenyewe"...
  5. Petiro

    Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Demokrasia ipi hiyo chalii yangu. Uchaguzi ulifanyika na mbowe akashinda na atakua madarakani kwa miaka 5 saa shida hapa iko wapi. Pia katiba inamruhusu mwanachama kugombea bila kikomo hata kama ndio mwkt sasa mnatoka povu la nn. Bila shaka mkakati wa kukidhoofisha CDM umekita kwny uchaguzi wa...
  6. Petiro

    CHADEMA ni madikteta, Zitto sio mkaguzi wa mahesabu ya serikali, mmemvua uongozi!

    CDM ni chama makini na kinachothubutu kutoa maamuzi sahihi na kwa wakati mujarabu na kama Zitto kaonewa asiwe na shaka kuna vyombo vya rufaa na mahakama pia. Je yanini kuendleza mjadala huu wakati mpira uko kati ya CDM na Zitto lets wait and see the final results then everyone will judge. Kuna...
  7. Petiro

    Mbunge, kiongozi,kada yeyote atakayemtetea Zitto, atafukuzwa chadema on the spot.

    umeshaambiwa ni huyo unknown ni wa HQ ss inakuaje ww useme yeyote akitokea kuwatete ataambiwa ni yy.
  8. Petiro

    Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    Je Mbowe hayuko madarakani kihalali? ni upi ushahidi wa kungangania madaraka wakati kipindi chake bado? kuahidiwa tu, mbona JK aliahidi maisha bora na ahadi lukuki na hajatimiza. Hongera CDM kwa kuchukua maamuzi sahihi na magumu na ndicho kinachowatofautisha na wale wafanyao madudu magamba...
  9. Petiro

    Prof. Baregu nae ajiuzulu chadema.

    bila shaka huu ndio mpango uliosukwa na kuzungumziwa na wassira cdm kitakufa v.soon bila shaka wamebugi step meeeen
  10. Petiro

    Tanzia: Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Ni msiba wa taifa zima, poleni nyote mlioguswa na msiba huu.Bwana alitoa na Bwana ametoa jina la bwana libarikiwe. Amina
  11. Petiro

    Mwigulu Nchemba ni tatizo-Balile

    savimbi bana bado anaha**sha pumba point, pole yake
  12. Petiro

    Uwekezaji Kwenye Mafuta na Gesi - Gharama Ziko Ndani ya Uwezo Wetu...

    Zinjathropus tupo karne ya 21 na si enzi zako za zama za mawe. OPEC ndio wanaregulate kiwango cha uzalishaji mafuta kwa wanachama wake tu na KSA hawezi kukidhi mahitaji ya mafuta duniani. Russia ndio mzalishaji mkubwa zaidi wa mafuta na kiasi cha uzalishaji na bei hapangiwi na OPEC Kwanini...
  13. Petiro

    Ilemela: Vurugu zaibuka baina ya Meya wa Serikali na Madiwani wa CHADEMA

    hakuna jinsi nyingine ni ku*piga tu na mm nasema m**geni
  14. Petiro

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    kwakuwa tunafahamu kutabiri siyo lazma yatokea kwahiyo haishangazi ikiwa majibu yatakua hasi ama chanya. Hata hayati sheikh Yahya alikua mtabiri pia na mengi tu hayatokei na hata wakati wa Yesu walikua watabiri wengi ambao walikuwapo pia wataalamu wa nyota. Pia ni vizuri tukumbuke probability...
  15. Petiro

    Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

    Suluhisho la kudumu siyo kuongeza faini bali ni kuboresha huduma za usafiri wa reli kwani ndio njia mujarabu wa usafirishaji wa mizigo mizito na kwa gharama nafuu kwa nchi kavu. Pia mfahamu kile kinachoitwa "kuzidisha uzito" siyo kwamba ni lazma uwe umezidisha mzigo ila yaweza kusababishwa na...
  16. Petiro

    Kufungiwa kwa Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania: tujifunze nini?

    nikweli kabisa sheria hii na nyinginezo zenye kufanana zifutwe na kutungwa mpya. pia usipotoshe umma eti Mnyika alimtukana Kikwete bali alimkosoa na kumnanga na hiyo ni ruksa. Naunga mkono wale wote wanao ikosoa kwa ukali na bila kutafuna maneno serikali na yeyote yule anayepotosha umma bila...
  17. Petiro

    Hali bado ni tete Mbeya: Magari ya kuwasha yananyunyizwa Mwanjelwa

    maCCM wamwite sugu aje aongee na raia
  18. Petiro

    CHADEMA: Serikali imeamua kuwa tishio kwa uhuru wa habari, vyombo vya habari na maoni

    Lazma upate kizunguzungu maana una akili ndogo na hili tamko limetolewa na akili kubwa therefore memory cant handle paging so system will hang and crush. Reboot ur system and run under safemode
  19. Petiro

    TRA wanafanya wizi mkubwa kwa Watanzania

    Mkuu mm binafsi niliagiza gari mwezi julai mwaka huu na nikawaida ya TRA kutoikubali bei ya gari uliyonunulia eti wao wanayo bei elekezi ya kiwango cha chini. hivyo basi wao watakadiria kutokana na hizo bei zao na siyo hiyo yako. kingine kibaya ni kucheleweshwa kwa makusudi kupata release ili...
  20. Petiro

    Tanzania: Urgent action needed to tackle poverty in old age!

    wanapelekwa kulishwa sumu na maCCM na kusikiliza porojo na mwishowe wanakipigia kura then baada wanatelekezwa ila kwa sasa hili vuguvugu la mabadiliko bila shaka wataelewa somo
Back
Top Bottom