Salaam wanajamii,
Nina viwanja vilivyo pimwa vimebaki vinne, vipo Dar es Salaam mpiji kilomita za makadirio
kama 8 hivi kutoka mbezi luise.
Bei ya kiwanja ni kuanzi Tsh 18M cha ukubwa wa 1049 sqm kiwanja no. 5
Wasifa wa eneo:
Kuna umeme/ nguzo pembezoni mwa viwanja,
Viwanja vipo bara bara...
Viwanja bado vipo,
Wekeza kwenye ardhi.
Idadi ya watu inazidi kuongezeka kila kukicha
Na ardhi nayo haiongezeka ila inapanda thamani.
Nunua kiwanja kilicho pimwa kabla havijapanda thamani.
Karibu
We are the most powerful creatures because of the one and only reason, and that is
"we are the master mind of our own lives"
You can do, be or have anything through thought and feeling.
There is the Saying of the wise "YOU ARE WHAT YOU THINKING"
What is happening in our daily lives is the...
Halo Wanajamii
Nina kiwanja kipo mpigii/msakuzi karibu na shule ya bethaida/karibu na kituo kinachoitwa Mahakama
Mtaa wa mpigi, kata ya mbezi
Sifa za kiwanja ni:
Kimepimwa na kina ofa
Ukubwa ni sqm 1049
Ni kiwanja cha 4 kutoka bara bara kuu ya mpigi magoe (mita 80 kutoka high way)
Kuna...
Du aise, tunashukuru
Hiyo ni changamoto ya maendeleo, mtwara watu wanajenga kwa kasi na miundombinu iliyopo haikidhi kulingana na ukuaji wa mji. Hili suala litatatuliwa kwa sehemu ya mitaa, ila maeneo mengine ni issue, viwanja vya mjimwema pia ni sehemu ya suluhisho
Karibu sana
Ndugu Chaza
Nashukuru kwa unayoyasema na ni kweli.
Kuhusu kilimahewa, binafsi sina plot maeneo yale, ila wapo watu wanaouza kutokana na sababu zao binafsi.
Kwa ujumla plots zipo, ila bei ndio ipo juu.
Karibu mdau
Ninaweza kupokea pesa kwa installments katika mazingira ya kukubaliana,
kwa sababu, mtu akinunua kiwanja leo inabidi kesho nikafuatiliie hati ambayo itakua kwa jina lake kulingana na mkataba tuliosaini, na mchakato wa hati una gharama zake.
Changamoto inakuja pale ambapo hati imeshatoka na...
Kwa ujumla naweza kusema kwamba kutoka center ya mtwara ambayo nafikiri ni maeneo ya bima mpaka mjimwema kadirio la chini ni km 15, kadirio la juu ni km 17/18, ninasema hivyo kutokana na bara bara utakayopita kutokea mikindani, na eneo la mjimwema ni kubwa sana na tambalale lote.
Kuna njia...
Sawa
Tukianzia round about ya mnarani kabla ujaingia hiyo bara bara ya tanu unayoisema ambayo inaelekea bima hadi parishkanisani. Kuanzia hapo round about unaelekea mikindani (mji mkongwe) njia yakwenda lindi,. kutoka round about mpaka mikindani ni kilometa 10, kutoka .mikindani unaancha bara...
Ndugu
Mimi sina eneo pale msangamkuu,
ila kuna watu wanamaeneo yao, wengine wanauza vipande visivyo pima.
Mimi nina viwanja eneo la mjimwema tu na ni viwanja vilivyo pimwa
Karibu
Viwanja bado vipo
Kwa wale ambao hawapajui vizuri mjimwema
ni eneo jipya na ndio linaanza kuendelezwa, kuna eneo la chuo cha TIA ambapo awamu ya kwanza wameshajenga lecture hall, kuna eneo la chuo cha SAUTI (Kwa sasa jina limebadilishwa kwa huku mtwara) halijaendelezwa, kuna eneo la AICC...
Salaam wana JF
Ninauza viwanja vya makazi, vipo eneo la mjimwema mtwara mjini
Eneo ni zuri sana na ni tambarare. Bara bara zimeshachongwa, hakuna umeme, hakuna maji
Viwanja ni sqm 450 (15 kwa 30) TSh 3,700,000 na sqm 600 (20 kwa 30) Tsh 4,800,000
Gharama hii inajumuisha upatikanaji wa hati...
Salam wana jamii
Ninauza kiwanja chenye hati, ukubwa wake ni 520 square meter, bei ni Tsh 12mil.
Kipo mtwara mjini, eneo la mangamba njia ya kwenda airport zilipojengwa nyumba 50 za PSPF.
Kwa wanao hitaji kununua wasiliana nami kwa no. 0784 707789.
Karibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.