Search results

  1. makandokando

    PCCB appeals for foreign assistance in ESCROW probe

    Jamani imeandikwa "This includes...": Maana yake ni wamepewa msaada wenye thamani ya 3bn. Katika msaada huo baadhi ya vitu vipo...ambazo ndio hizo computers na printers.
  2. makandokando

    Sakata la Escrow: Kigogo wa Ikulu (Shaaban Gurumo) ahojiwa na Baraza la Maadili

    Majukumu yake kama Mnikulu na maelezo ya Utangulizi Kazi yake kubwa ni kusimamia majengo yote ya ikulu kwa maana ya shughuli za utawala. Yeye ndiye anahusika na usafi na decorations zote zinazohusu ikulu. Ni mtu anayeweza kuamua muonekano wa ikulu ukoje na hata kupanga na kuamua aina ya nguo...
  3. makandokando

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Ukienda voda, utapata details zote kuhusu hiyo namba. Utaona kama hizo sms zilitoka kwenye namba hiyo, na kama kweli sms zilienda kwa namba ya msichana. Kwa hiyo tuache uzushi, ni rahisi sana kupata ushahidi. Msituletee stori za ajabu ajabu hapa. Tuletee facts.
  4. makandokando

    KUBAKWA: Nani kabakwa?

    Wanajamvi naombeni msaada. Zamani nilikua nikisikia msichana kabakwa, basi kulikua na mambo yafuatayo: 1. Huyo msichana kafanyiwa kitendo ambacho hajakipenda 2. Hatapenda kirudiwe tena 3. Sehemu aliyobakwa ni sehemu ambayo anatakiwa kuwepo, na hata asingebakwa, hakuna ambaye angeshangaa...
  5. makandokando

    Kama hata IGP Mwema ni mbumbumbu wa sheria za nchi, basi nchi hii kwisha kazi yake!

    Mi naona swala hili jibu lake ni kusoma vipengele vya sheria tu....comments nyingine zooote ni longolongo tu. Haya, kwenye katiba, hizi ndizo sehemu ambapo nimeona "polisi" wametajwa: 1. Sura ya tisa - Majeshi ya Ulizi - section 147 (4)...kipengele hiki kinasema polisi pia ni wanajeshi (watu...
  6. makandokando

    Ufisadi wa kutisha ujio marais/Obama: Zaidi ya Bilioni 8 zatumika!

    Hii Story kweli inaudhi. Ila tungepata video clips zinazoonyesha hao wanaoojiwa, na hizo scanned copies za hayo maandishi unayosema Balozi aliandika, ingesaidia kweli. Maana si tunaweza kuanza kupandisha na jazba na hasira kwa serikali....wakati story nzima ni wewe umekaa chumbani kwako...
  7. makandokando

    Ngeleja ameamua kutuoenyesha akiamua watu mlale giza, mtalala giza

    Hakuna wizara yenye nguvu kama Wizara ya Nishati na Madini, sana sana kwenye masuala ya kuwaweka watu kwenye giza. Kaanza kwa kukata umeme. Wabongo mkajifanya wabishi mkanunua majenereta. Mnajifanya mnashindana nae, sasa kasitisha na mafuta.....kuna baadhi ya wabongo wameanza kutumia solar...
  8. makandokando

    Obama bar & guest house - esso ndani ya A- town

    hahahaha...... kaazi kwer kwer
  9. makandokando

    Warioba - Viongozi waoga kutoa maamuzi magumu

    hao viongozi waoga ni akina nani?......kila mtu viongozi waoga viongozi waoga....tumechoka.....kama nyie sio waoga tajeni majina kudadadeki
  10. makandokando

    CCM kuiba kura Igunga?

    kwani hamkuona wale jamaa walivyokua wakimlilia Rostam?.....jamaa kawaambia amejivua gamba, watu wanaimba "hatutakiii, hatutakii"....we unafikiri CCM wanahitaji kuiba kura hapo?.....mbona its obvious.....mnazijua akili za watanzania au mnazisikia tu?
  11. makandokando

    Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

    kimantiki haileti maana, kama anayeua inabidi auwawe...basi hata yule anayemuua aliyeua inabidi auwawe pia...maana na yeye kaua pia.
  12. makandokando

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Rostam yeye mwenyewe ndio gamba, CCM ndio joka lililojivua gamba Rostam. Au kwa sababu amejiuzuru na sio kufukuzwa, basi tuseme Gamba Rostam limejivusha!
  13. makandokando

    PICHA: Wema na Diamond live bila chenga

    WEDA ndio nani?
  14. makandokando

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    mwambie ajiunge na usalama wa taifa
  15. makandokando

    Tangu lini neno Mbunge wa CCM ni Tusi!

    Na huyu nae upeo wake kama wabunge wa CCM!
  16. makandokando

    Kitabu: Safari za jakaya kikwete nje ya nchi 2005-2015

    acheni chuzi binafsi.....mnajuaje, labda ilikuwa ni nyu yia RESOLUTION yake ya mwaka 2000....kuwa kabla hajamaliza miaka 10 yake awe ameshatembelea nchi zote duniani. I mean, hiyo ni resolution nzuri sana.....na mi nikiwa rais mpaka mwezini nitaenda kudadadeki.
  17. makandokando

    Mulika Mwizi

    hahahah...poa, nimeisikiliza, sasa nimeelewa.....asante mkuu
Back
Top Bottom