Search results

  1. Ras Cutty

    Hivi CCM 2015 watakuwa na hoja gani mpya kwa wananchi

    Zipo kibao. Katiba mpya, gas kutoka mtwara, by 2015 umeme utakuwa stable sana. Barabara za lami mikoa yote itakuwa imeungana na wilaya zote pia zitakuwa na lami, kila kijiji kitakuwa na umeme na kwa hapo Dar itakuwa ni daraja la kigamboni. Yapo mengi tu wewe fungua macho ya ubongo utaona
  2. Ras Cutty

    Niko Njia Panda.... Ushauri wenu ni muhimu

    Habari dada? Pole kwa yanayokusibu dia, kiukweli huyo mwanaume hakufai ni vyema ukafanya maamuzi sasa ya kuachana naye kuliko baadaye mambo yatakapokuwa magumu zaidi! Mueleze ukweli vile umavyojisikia juu yake hasa hilo suala la kutokuwa mkweli na miwazi kwako na hilo la kupenda kulelewa...
  3. Ras Cutty

    Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

    Ndio maana wenzetu wa afrika mashariki hawatuelewi wameamua wajipange kivyao. Mambo ndio kama hivi wizar moja lugha gongana ndani ya siku tatu.
  4. Ras Cutty

    Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi!-Bado Nampenda!

    Natamani nimfufue Mushi wa Ufoo Saro akupe ushauri wa kudeal na huyo mkeo.
  5. Ras Cutty

    Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

    Asiyekuelewa hapo tena anahitaji maombi
  6. Ras Cutty

    Serikali yakimbia bungeni, yaogopa mapigo ya upinzani, spika ainusuru kwa kuahirisha Bunge

    Wataukimbia ukweli hadi lini? wenye akili tuliliona hili mapemaaaaaaa.
  7. Ras Cutty

    Mhe Werema ulikua unazungumzia Sheria au uliamua tu kujitoa ufahamu kumpinga Tundu Lissu?

    mzalendo kweli nakushukuru sana kwa darasa. nadhani na werema nae atakuwa ameelewa. Ukweli utasimama Daima, wewe waache waendelee na ushabiki.
  8. Ras Cutty

    Serikali isikilize na kujibu hoja zinazotolewa na mbowe sasa hivi bungeni.

    Serikali inatakiwa kusikiliza kwa makini maoni ya watu makini na wasio na woga na wawakilishi wa ukweli wa wawatanzania inayowasilishwa sasa hivi bungeni na kiongozi wa kambi ya upinzani Freeman A. Mbowe. kKwa kweli anaongelea mambo yote amabayo watanzania tunatamani serikali ya ccm iyazungumzie...
  9. Ras Cutty

    Siamini Kwamba Rais wangu can be this cheap

    Humjui JK kwa cheap popularity. hapo yeye anaangalia kupiga picha tu. UDHAIFU HUO.
  10. Ras Cutty

    Mbowe aanika madudu ya ofisi ya Pinda.

    Mwenyekiti wa CDM ameanika madudu yanayofanywa na mh waziri mkuu Pinda kwa kupitia ofisi zake za halmashauri za wilaya, Kumbe Pinda alitoa maagizo ya kusimamisha chaguzi za serikali za mitaa ili kupisha chaguzi za chama cha magamba. Kwa hili inaoyesha ni jinsi gani Magamba wanakiuka katiba na...
  11. Ras Cutty

    Mgomo wa Madaktari: KCMC kufungwa kesho

    my God. Mungu Tanzania tunasubiri kudra zako maana serikali tulioambiwa imetoka kwako sasa imeshindwa na hali unaiona . Tunakuomba uwapokee hao wanaokuja sasa kutokana na mgomo wa madaktari maana siku zao zilikuwa bbado ila serikali yao ndio imeamua wafe. Amen
  12. Ras Cutty

    Bungeni kumewaka moto-mgomo wa madaktari

    jamani hivi hili litakwepwa mpaka lini? japo nimeona spika ametoa hoja yenye mashiko kidogo kuwa wabunge wasubiri kamati itakuja na nini kutoka kwa madaktari. maana wana kikao leo. japo kwa mtazamo wangu kama serikali haitaki kutoa kauli rasmi basi bunge lijadili na kutoa msimamo, maana kauli ya...
  13. Ras Cutty

    Wana JF naomba msaada katika hili pleeeeeeeeeease!!!!!!!

    kaka soma majibu utayapata hapahapa jamvini kabla hata ya hicho kikao chao. kwani hao wanaomshauri nao ni member humu JF.
  14. Ras Cutty

    JK na wabunge wa CCM Dodoma kimenuka

    Du sasa hivi ndio anajua kuwa TISS wanaweza kumshauri eeh? maana nina imani amekuwa akipuuza sana ushauri wao siku nyingi. Pia JK aache kusikiliza wagaga jamani nao wanampoteza. Tunasubiri mapya kutoka dom leo.
  15. Ras Cutty

    Waraka wa kidini wasambazwa zanzibar kukichafua chadema

    Ukiona chama kinakimbizia hoja kwenye dini au ukabila ujue hakina hoja za msingi na hakiwezi kutekeleza kinachosema ndio maana hawatoi hoja zenye mashiko. oooohhhh poor magamba
  16. Ras Cutty

    Chama gani mbadala kwa CCM?

    Dr Bana tangu lini akweka bayana wakati yupo kwenye payroll ya magamba? Redet nayo tangu imeanzishwa ni kwa ajili ya kutoa matokeo ya yasiyo na tija kwa umma. Hawafiki huku kwetu Ihambingeto au ifiyo au itunundu wawaone wananchi wawaambie kama hakuna chama mmbadala. hizo tafiti za mezani hazina...
  17. Ras Cutty

    Askofu Kilaini: Tanzania inahitaji rais kama Kagame

    Yaani kama wadau mnakumbuka hata Mh Kagame aliwahi kuulizwa anahitaji nini ili kulikomboa bara la Africa, alisema Mungu angekuwa amemuweka kwenye nchi yenye rasilimali kama Tz na yeye akawa rais basi angekuwa super power wa africa na Dunia hii. Naunga mkono hoja ya Kilaini kwani ni kweli sasa hv...
  18. Ras Cutty

    Msafara wa CCM wapigwa Soko la Kilombero Arusha

    :yawn: aaa hhhhaaaa hhhhaaaa haaaaa......... Time is now. mdogo mdogo tutafika. viva wadai haki na ukombozi wa kifikra wa Arusha . tupo pamoja tunawaombea kwa Mungu wa kweli asiyependa uonevu wala unyonyaji.
  19. Ras Cutty

    Wabunge CCM wamlipua Kikwete, WADAI WANAKERWA JINSI RAIS ALIVYOMGEUKA PINDA, MAKINDA

    Ole wenu mnaodharau taarifa bila ya kuzifanyia kazi. na mara nyingi mmekuwa mkishangaa yanapotokea. mmesahau usemi wa wahenga MDHARAU MWIBA......................... Mie nipo dom hayo yaliyosemwa ndio yaliyojiri. subirini vyanzo vyenu vinavyochakachua taarifa. Poleni
Back
Top Bottom