Search results

  1. Smartboy

    Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

    Naomba kujua mmiliki na ni yeye anamilikia pia tips na juliana Majina yake?
  2. Smartboy

    Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

    hivi sumry aliweza kuuza yale yake.. kama bado hio itakuwa hasara ya mwaka tena.
  3. Smartboy

    Mtaji wa tsh 1,000.000 (1million) nitafanya biashara gani?

    Wakuu, Nina 1m hapa naweza kuwekeza kwenye biashara gani ndogo inayolipa?
  4. Smartboy

    Natafuta chumba ferry Kigamboni.

    Bei kuanzia 50-60elfu kiwe na condition nzuri...
  5. Smartboy

    Natafuta chumba ferry Kigamboni.

    Ndugu zangu natafuta chumba ferry kigamboni, kiwe karibu na eneo la ferry. Mwenye kujua anitumie text 0768454139. Natanguliza shukrani,,
  6. Smartboy

    Weka tukio la kutapeliwa lililokuta wewe/rafiki ili tusaidie jamii

    wakati na soma chuo kuna jamaa alitudanganya yeye ni usalama wa taifa akatuahidi kutupatia kazi mimi na jamaa yangu aliniomba 50000. nikampa akanirusha hadi wa leo
  7. Smartboy

    Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

    heheheheeh
  8. Smartboy

    Shule Binafsi zinazotoa elimu bora ni zipi?

    st mathew mbagala iko vizuri pia
  9. Smartboy

    Msamaha wa dhati kutoka kwa Heaven On Desert

    mi nimekusamehe ila naona kale katabia ka kujipaisha bado unako jitahidi kuwa karibu na watu na usijiandike kwamba wewe ni smart sana jaribu kuangalia bloggers wengine wanavyopendwa na kila mtu. mfano kina millard.majid.djchoka to mention a few wewe umekalia kujisifu hapa jf badala ya kufanya...
  10. Smartboy

    Mwamba wa ajabu jamani

    huyo mtoto amechongwa
  11. Smartboy

    Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

    inasikitisha sana af, haki itendeke
  12. Smartboy

    Hii ngozi ina makosa gani jamani?

    hapa faiza foxy umeonyesha tu chuki zako juu ya ukristu na kwa sababu,tu wewe ni mwislam hayo maneno ya kwenye biblia hiyo sio tafsiri yake umekurupuka Yesu alikuja kwq binadamu wote
  13. Smartboy

    Jimboni Kalenga: CCM wamsimamisha Geodfrey Mgimwa kugombea ubunge

    kUmbe ndo maana watoto wa viongozi ccm wanaipendq ccm, wanajua baba akifariki ana take over
  14. Smartboy

    Jamani kuna ukweli hapa

    hehehe tz noma
  15. Smartboy

    Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

    streght of the material, pugu,boys forever
  16. Smartboy

    Wapi nitapata mafunzo ya kuogelea kwa bei rahisi ?

    iko kigamboni barabara ya kwenda mji mwema.
  17. Smartboy

    Wapi nitapata mafunzo ya kuogelea kwa bei rahisi ?

    mikadi cheap sana, watakufundisha hadi ujue, af unajiafunza baharini.
  18. Smartboy

    Naombeni ushauri juu ya kuongezeka kwa tumbo

    lipia gym uwe una fanya mazoezi, af kama utaweza nunua ule mkanda wa kuzungusha tumboni una punguza sana, iko maduka yaliko usawa wa benjamn mkapa parking tower, hii ndo njia rahisi
  19. Smartboy

    Galaxy S2 inahitajika haraka

    s4 nyeupe good condition hapa 0767003220
Back
Top Bottom