Search results

  1. D

    Nina tatizo la sikio kuunguruma au kama kuna maji sikioni

    Anayejua dawa asili au tiba asili ya tatizo hili natanguliza shukrani zangu.
  2. D

    Kusoma sio kazi, kazi kuigeuza elimu kuwa pesa

    tatzo sio kubadilisha elimu kuwa pesa tatzo ni shule azifundishi elimu na hazijui maana ya elimu. elimu sio cheti, elimu ni kile unacho jifunza kila siku ndo maana wanafunzi weng elimu zao ziko kwenye vyeti unakuta mtu ukimuuliza unaelimu gan et nina degree, nina masters afu yuko ana landa landa...
  3. D

    Shule ni kwa ajili ya nini kama hatufundishwi kufanikiwa?

    education has nothing to do with schools nenda kaangalie maana ya education kwenye oxford dictionary afu uje kwenye vitu vinavyo fundishwa shuleni kwaiyo shule tunafundishwa ili tupate chet kwa namna nyingine elimu inabidi ww binafsi huweze kumrithisha mtu mwengine eiza mtoto n.k unakuwa na...
  4. D

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    the best way to help poor people is not to be like them
  5. D

    Reasons Why most Edudated people ends up being Poor

    hakuna mtu aliye ajiliwa nitajili dunian kama wapo ni %1 mtu mwenye phd ni poor tu ata asome hadi kuwa profesor ukisoma kitabu cha poor dad rich dad utagundua siri hio ambao ata moo akikwambia hutaamin ndo maana hutaaendelea kua maskini according to robert kiyosaki if you want to succesed you...
  6. D

    Reasons Why most Edudated people ends up being Poor

    elimu ya shuleni nitofauti na elim ya maisha ata kama ningekuwa nahitaji kushauliwa kuhusu maisha naenda kwa mtu ambaye ajasoma huyo ndio anajua maisha ili mladi tu awe amefanikiwa ndo maana walimu wengi wa biashara hawana vigezo vya kufundisha biashara kwasababu nae alijifunza mambo ya...
  7. D

    Tujadili kuhusu maisha baada ya Chuo

    huwezi kufanya biashara hata ivyo kama huelewi unacho kifanya labda umesikiliza ushauri kwa mtu ambae hajawai fanya siku zote unaweza kuendesha gari kwa mwalimu ambae aliyekufundisha gari nae awe anajua kuendesha gari kwaiyo wengi wanaofanya biashara kwa hela ya boom weng wanajiweza kwao pili...
  8. D

    Reasons Why most Edudated people ends up being Poor

    jibu ni rahis kabisa kwasababu anakua hakufundishwa elim ya fedha shuleni na kama ukitaka kua tajili kamwe huwezi kufanikiwa kama ni muajiliwa ni biashara pekee inayoweza kukufanya kuwa tajili na siri hii wanajua ni wachache sana ok any way mtu anaweza akasema basi vipi kwa yule muajiliwa anae...
  9. D

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    huitaji mtaji kuanzisha biashara unaitaji kwanza elim ya biashara ujue tofauti kati ya asset na liability unaeza na mtaji mdogo sana
  10. D

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    no ni yet finalized ila yet ni bado na finalized ni imekamilika sasa yet finalized sijui itakua ni nn coz ndo habari inayo trend sasa
  11. D

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    hawa 5168 wako wapi watuambie kinacho endelea kwasababu wengine wa not yet finalised sijui tuko kwenye hio hesabu au tusubil batch yetu
  12. D

    BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya pili waliopangiwa mikopo

    haijulikani kwasababu kila mtu na akaunt yake wangetoa list ingekua unajua kwaiyo wamebak kama wanafunzi minimum 2000 iv sijui ndo wale walio kosea au nakwa wale ambao not yet finalised
  13. D

    Forex: Milionea Sandile Shezi kutua Dar es Salaam Jumamosi

    Lazma ule shule ya maana inaonekana ulikulupuka
  14. D

    Forex: Milionea Sandile Shezi kutua Dar es Salaam Jumamosi

    Not again for your side i think is again
Back
Top Bottom