Search results

  1. gongotamu

    Huwa naskia tu toka kwa majamaa zangu kuwaaaaaa......

    naikubali ya kwenye gari. kuwe na mziki mnene kidogo na ukute dem anajua kulia. wee utaipenda
  2. gongotamu

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    gongotamu ni mshikaji wangu. tunaishi naye home. ametoa avatar hiyo atatafuta nyingine. samahani sana. tumevunja maadili?
  3. gongotamu

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    kwa nini usome message ya mkeo? unaitafuta presha eeh
  4. gongotamu

    Pinda aapa bila Msaafu wala Biblia

    kaijage hakuisahau, ilikuwa ya kuburn ikagoma
  5. gongotamu

    Elections 2010 KIKWETE: Rais asiyeona aibu kutembea na uchafu

    ogopa mtu mpole na asiye ongea. siku akiamua kuongea hakuna wa kumnyamazisha
  6. gongotamu

    TRA: Hivi huu ndio utendaji bora? Bora mfutwe tu...

    nchi hii hakuna mkubwa. hakuna wa kumkemea mwenzake
  7. gongotamu

    kama kuoga ni usafi kwa nini taulo huchafuka?

    habari wana jf. naombeni msaada wa kitaalamu kuhusu usafi wa mwili. huwa najiuliza sana. kama kuoga ni usafi, taulo huchafuliwa na nini? watalaam wa afya watupe majibu ya kitalaam
  8. gongotamu

    Matani

    ndiyo maana kura yako NEC walishindwa kuichakachua
  9. gongotamu

    Matani

    lione, limetoa macho utadhani mjusi kabanwa na mlango
  10. gongotamu

    msaada kuhusu kutoa talaka

    jamani ninyi mliobahatika kupata wenza wema mshukuruni mungu badala ya kubeza. jamani kuna ndoa zina mateso acha. mimi mwenyewe tumetengana na mke wangu. niulikuwa silali, mara aanze kuimba, mara muziki kwenye cm, akianza kutukana. imagine masaa 12 ucku hupati muda wa kulala, yeye mchana...
  11. gongotamu

    Brazil vs Argentina

    saa 5 ucku
  12. gongotamu

    Dr.slaa live east africa tv leo saa moja jioni

    Ameongea nini. Nina hamu ya kusikia anasemaje kuhusu uchakachuaji. Slaa ana nguvu ya watu, Kikwete ana nguvu ya dola good.dola yote ni watu lakini siyo watu wote ni dola
  13. gongotamu

    Inakuwaje Rostam hawi waziri?

    sina comment kuhusu RA kuendesha nchi. kuhusu kuwanyonya wapiga kura waa igunga, najiweka tofauti na wachangiaji waliopita nikiwa mwana igunga. hakuna kitu ambacho RA anavuna igunga kama jimbo. igunga hakuna madini wala raslimali yoyote anayonyonya. wana igunga wamempa kura kuwa mwakilishi kama...
  14. gongotamu

    Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

    nimekuelewa mkuu. maneno ya wana jf yamenipa ujasiri. come what comes, niliingia kwa usaili siyo mbeleko. nitamwambia SIWEZI/SITAKI bila kuumauma maneno.
  15. gongotamu

    Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

    unapokuwa njiapanda unatafuta mawazo ya wenzio. nashukuru nimepata kuna watu wako very serious na issues. maana leo kwangu kesho kwako
  16. gongotamu

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    chadema ni chama makini sana. basi kuna mivilaza, mingine inajipenyeza humu humu kutaka kuchafua chama.
  17. gongotamu

    Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

    of couse amekamilika kila idara. anakata kilaji mno. naogopa kuwa mtumwa maana kila atakachokuwa anataka nikubali!
  18. gongotamu

    Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

    Wana jf Niko katika wakati mgumu. bosi wangu ananitaka kimapenzi, nimejaribu kumpotezea naona nakwama. sasa ameandaa safari ya kikazi mimi na yeye tu, halafu hataki twende na gari, anataka tukwee pipa ili dereva asiende. mimi naogopa maana ni hatari katika kibarua changu, nifanyeje jamani?
Back
Top Bottom