Search results

  1. M

    Ukatili unaofanywa kwa wabunge wa upinzani Tanzania

    Hivi si nilisikia wabunge wana bima ya afya tena special kuliko sisi kina yahe, Je bima nao hawakutoa matibabu? Nadhani kuna jambo linatakiwa kuwekwa sawa hapa
  2. M

    Bifu ya Mwakyembe na Diamond haikuanza jana, Shonza anatumika tu

    Ngoja tuwasubiri watamalizia wapi
  3. M

    Tuwapongeze Wabunge hawa wa CCM wampa makavu Waziri wa Fedha. Ndassa asema Waziri huwa ana kiburi na si msikivu

    Nusu ya wabunge wangekuwa wako hivi tungekuwa mbali. Shida wabunge wengi wa CCM wanafiki
  4. M

    Mwili wa Ndesamburo kuzungushwa mitaani Moshi ni utesaji

    Sio ajabu na wala CHADEMA sio wakwanza kufanya hivyo. Ilifanyika kwa Mwl. Nyerere, N. Mandela, n.k. Sioni kama kuna sababu ya kushangaa jambo kama hilo, na kila watu wana namna yao ya kuratibu misiba yao
  5. M

    Tume ya Uchaguzi na CHADEMA hamjawatendea haki walemavu

    Hoja ya upotoshaji. Mchakato wa kumpata mbunge viti maalum unapitishwa na tume ya uchaguzi
  6. M

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Pamoja na maelezo mengi bado hujatuambia je mpango wa kwenda clouds na wenyewe ni mpango wa nani? Acha maneno weka vyeti mezani
  7. M

    Hivi Rais Magufuli anadhani kwa kujifichia kwenye madawa watanzania atamsamehe hata?

    Filamu imeishia pale........teh teh teh
  8. M

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Huu ni mchezo wa kuigiza tu. Kama kweli hawa ni wauzaji wa madawa ya kulevya na walikuwa na ushahidi wa kutosha je ile hukumu iliyotolewa ndio adhabu ya wauzaji wa madawa? Huku ni kuchezeana akili na kutafuta kiki zisizokuwa na manufaa
  9. M

    TANESCO inagawa units 700 za umeme kwa wafanyakazi

    Majungu tuu hayo. Hiyo ni incetive ambayo ofisi nyingi hutoa kwa wafanyakazi wake inategemea aina ya kazi. Kuna wengine wanatoa bei maalam kwa ajili ya wafanyakazi wao, wengine wanatoa bidhaa halisi. Viwanda vya sukari wanatoa kilo za sukari, taasisi za maji zinatoa units kadhaa za maji, Tanesco...
  10. M

    Chadema na media Tanzania wanamaliza mwaka 2016 kwa aibu ya upotoshaji

    Mtoa mada unaposema uchumi umekuwa unaangalia nini? Naomba unisaidie kunijibu maswali yfuatayo with data, Unemployment rate ya Tanzania kwasasa ni ngapi? Kipato cha Mtanzania kwasasa mi kiasi gani? Purchasing power ya Watanzania kwasasa ikoje? Huduma za kijamii zikoje kwasasa?
  11. M

    Polisi yatoa tamko juu ya miili saba ya Ruvu na kupotea kwa Ben Saanane

    Na je akisema serikali ndio waliomficha mtasemaje?
  12. M

    RC Makonda na Mrisho Gambo wajifunze kwa RC Shamshama na Dr Kleruu, uongozi wa visasi haulipi

    Mkuu umetoa ushauri mzuri sana japo sijui kama watakuelewa
  13. M

    Miili ya watu saba waliokufa mto Ruvu

    Kuna wakati huwa nawaza kwanini huwa tunapenda kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu? Je ni kwamba hatuna muda wa kufanya utafiti kidogo au huwa hatutaki kusumbua akili zetu
  14. M

    Magari 50 ya wagonjwa yote kupelekwa kanda ya ziwa, hii imekaaje?

    Kama ni kweli basi kuna tatizo sehemu
Back
Top Bottom