Search results

  1. D

    Martina Chambiri Mwimbaji wa Tanzania ee nchi, yangu ee!

    New gen hawamjui huyu. Na watanzania kwa kutothamini vya kwetu mpaka huyu binti kaanza kufutika kwenye historia amefanya makubwa kuipaisha Tanzania kimataifa kwa umri alioukuwa nao. She deserve to be recognized once again as hall of famer
  2. D

    Martina Chambiri Mwimbaji wa Tanzania ee nchi, yangu ee!

    Varda arts wamerudi ndugu kuna hotel wanapiga ngoja nifatilie na ratiba zao
  3. D

    Kitabu cha hadithi ya Kiswahili ya Willi Gamba kinahitajika haraka

    Ni.kikomo.sio njama..njama kuna.veronica amadu na zabibu hakuna tausi Hivyo vitabu ni ngumu sana kuvipata madukani hususan dar kwani vilipigwa marufuku wakati wa nyerere kuwa vinafundisha mbinu za kijasusi. Arusha niliwahi kukiona njama na hujuma. Dar nimezunguka sijaviona
  4. D

    Kitabu cha hadithi ya Kiswahili ya Willi Gamba kinahitajika haraka

    Ni.kikomo.sio njama..njama kuna.veronica amadu na zabibu hakuna tausi
  5. D

    Kitabu cha hadithi ya Kiswahili ya Willi Gamba kinahitajika haraka

    Hicho.ni kikomo kuna willy na tausi Njama kuna willy na.veronica amadu Hofu kuna willy na nyaso kikosi.cha kisasi kuna willy na tete
  6. D

    Kitabu cha hadithi ya Kiswahili ya Willi Gamba kinahitajika haraka

    Hicho kinaitwa kikomo kuna willy na mdada tausi
  7. D

    Tukumbushane riwaya za kusisimua

    Hicho cha kabwe makanika kinaitwa unyama wa mafia viko part 1 mpaka 3
  8. D

    Tukumbushane riwaya za kusisimua

    Na riwaya za kiarabu kama kisa cha hassan li-bassir
  9. D

    Tukumbushane riwaya za kusisimua

    Nani anakumbuka sanda ya jambazi simkumbuki mwandishi
  10. D

    Tukumbushane riwaya za kusisimua

    Waandishi wa siku hizi hamna kitu hao ndiyo walikuwa waandishi bwana wa riwaya ujinga mtupu siku hizi
  11. D

    Natafuta wimbo wa Tanzania ulioimbwa na Watanzania wenye asili ya kihindi

    huo wa sio tumbo unaitwa BWANA KUTOKA AMERICA
  12. D

    Natafuta wimbo wa Tanzania ulioimbwa na Watanzania wenye asili ya kihindi

    wimbo unaitwa salama tanzania. ingia youtube utaupata
  13. D

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    ndugu hizo nafasi ni ngumu tu kupewa bila kuwa na channel hawawezi kumkubali mtu random wasiyemjua background yake kama una mtu yupo wizara ya mambo ya ndani inaweza kusaidia anzia hapo ukienda oysterbay zilipo ofisi zao umenoa watakwambia nani kakwambia tunahitaji watu na umeona wapi kwani huwa...
Back
Top Bottom