Search results

  1. M

    Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA

    Inabidi wakati mwingine kujiuliza, kwa mfano kwa mtu kama Jerry Silaa, je Lowassa anapiga kura Gongolamboto! Lowasa anapiga kura ilala,lowasa alifanya mitihani ya Electronics&communication,1st doubled na Atec II ,3rd year doubled with certificate in Law. Mdau hapo juu, nenda hata ESAMI kahesabu...
  2. M

    Benki Kubwa kupunguza riba na kutoa masharti nafuu kwa ujenzi wa nyumba

    Tatizo nikuwa watu wengi wanadanganyika sana na neno profit, ambalo lina vitu vingi ndani yake, we nenda kaangalie Cash waliyokuwa nayo hao CRDB na sio profit sijui nini, sisi watu wa finance hiyo huwa sio ishu sana, tunataka kujua cashfloe yso ikoje......kwa mdanganyika usije ingizwa mjini...
  3. M

    Benki Kubwa kupunguza riba na kutoa masharti nafuu kwa ujenzi wa nyumba

    Afadhali Realtor umeelewa kwanza tatizo la kimahesabu kwamba 40,000 x 12 x15 =7,200,000, ivo kama ni kulipa hilo deni na faida kiduchu, basi itakuwa at least 400,000 x 12 x 15 =72,000,000 kwa mkopo wa mill. 60. Watanzania walio wengi hawawezi kukopeshwa pesa ya kujenga nyumba kwa hapa...
  4. M

    Hili kutoka kwa houseboy nalo ni neno hasaa!!

    Wewe ndio umeandika, hapa si udini ishu ni kuwa kila kiongozi ukiwa madarakani tegemea watakusema tu, ni mambo ya kawaida...hongera sana kwakuwa mwana JF unayejadili issues kama thinktank
  5. M

    Jerry silaa ashinda umeya

    Kamwene ndugu yangu, ki ukweli sijui kama ni mwanamtandao au vipi, hoja yangu nikuwa nimekuwa nikijiuliza sana what does mtandao stand for??? ni wale ambao wapo kwenye kundi la RA, EL au SS mwenyewe, akiiibuka mwingine akawa upande Bakharesa,Mengi, Manji,Mlimilavangi, Superstaa na wengine wengi...
  6. M

    Jerry silaa ashinda umeya

    Kaka usijali sana kuwa na mtandao, ukweli ni kuwa labda uingie kwa kupindua kama Kagame, hapo hutakuwa na mtandao, ingawaje hata huko nachelea kusema hakutakuwa na mtandao, .......hili swala ni gumu sana, huna najiuliza tufanyeje bila hivo??mwisho wa siku unagundua huwezi kufanya jambo pekeako...
  7. M

    Jerry silaa ashinda umeya

    Paulo mi naonekana junia kwa jina tu, lakini nimeingia JF tangu 2007, wewe je??sema nimembadili jina, nikaamua kutumia jina la nyumbani kabisa, usijali hata hivo ni vijimambo tu hivi, habari hii ni yakweli kabisa.
  8. M

    Jerry silaa ashinda umeya

    Hatimaye manispaa ya ilala imepata meya mpya ambaye ni ndugu Jerry Silaa, amewashinda Abuu Juma, aliyekuwa meya na Bisalala Salum, taarifa zaidi baadae
Back
Top Bottom