Search results

  1. KEBELO

    Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

    Kwanza Pole ila mmeo nae wa wapi hoja yake haina mashiko otherwise DNA ina husika hapo
  2. KEBELO

    Jerry Silaa azidi kuiponda CHADEMA, awaita wavuta bangi

    kilichompeleka ukonga ni maji taka au campeni za 2015?uzuzu mwingine bwana yapo maovu yake mengi akae kimya huyo
  3. KEBELO

    Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

    Akili yako fupi sana hujajijua tu umepimaje kura za 2015??kwa watoto kushinda njaa tu basi wangechanga hao wazazi hv inaingia akilini mwanao ashinde njaa we utulie tu eti kisa mbunge amekataza??hao watoto wanakula makwao na sioni km ni kweli wanashinda njaa NINA WASIWASI NA WW AKILI ZAKO FUPI...
  4. KEBELO

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    Rejao think big bana hata kama zinaenda KDI real ameonyesha mfano cause hata hiyo KDI Hafaidiki nayo yy its Non-profit org zaidi ni kwa ajili ya Wananchi wake upo?
  5. KEBELO

    Ujumbe kwa Watanzania katika gari la Mh.GODLESS LEMA

    Watanzania ni mda wa kuidai haki mwanzo mwisho LEMA ni shujaaa asiye ogopa aliye tayari kwa lolote mda wowote hivyo watanzania tuunge mkopo jitihada za kuleta mapinduzi ya kweli
  6. KEBELO

    Ujumbe kwa Watanzania katika gari la Mh.GODLESS LEMA

    Angalia na aina ya mtu unaesema LEMA amekuwa mstari wa mbele tangu aamue kuimgia CDM kuwa makini
  7. KEBELO

    Rostam, Bashe watangaza vita na JK, wamuita naye fisadi

    Watamalizana wenyewe safari hii
  8. KEBELO

    Sabodo aichangia CHADEMA milioni mia moja

    CCM Wanatapatapa why waciwe wazi wataje hicho nchi na balozi zake? bt cdhani akilini km inaingia eti kuna Ubalozi unakifadhili chama cha siasa maybe bt wawe wazi MEMBE Aache kukurupuka kujibu maswali Hata JK wakati chama chake kilipokataa midahalo bt cku wameweka mdahalo Mwandishi mmoja...
  9. KEBELO

    Nyalando aipepea CCM: Asifia upepo na jua la "Tanzania"..

    Jamaa km nimemwelewa ishu ni utangazaji wa sera nyingiiii ambazo hatuoni utekelezaji wake jamaa ni Kiazi kweli Katoka China juzi Anataka Watanzania wajue nae yumo Tatizo la Viongozi wetu hawa ni sera tuuuuuu Hata waliomchagua huko Singida ni Viazi tuuu Singida ni miongon mwa mikoa iliyonyuma...
Back
Top Bottom