Search results

  1. R

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Madaktari wake walikuwepo, including daktari wake binafsi Prof Mchembe. Lakini huyu Prof Mchembe ni surgeon, wakati tatizo kubwa lilikuwa la moyo kwahiyo akaomba consultation kwa bingwa wa moyo Prof Janabi. Matibabu ni teamwork, ndiyo maana madaktari huitana mambo yanapokuwa tete, au wanaandika...
  2. R

    Ukitaka kujua ukubwa wa uke au uume wa mpenzi wako kabla ya kuingia kwenye mahusiano

    Ngoja niwasaidie elimu ya bure, ambayo tafiti nyingi zinaafiki: Viashiria vya uume mkubwa (jinsi mtu anavyokuwa na vingi katika viashiria hivi, ndivyo uwezekano wa kuwa na kubwa unavyoongezeka, siyo lazima awe navyo vyote): Upara kichwani Ndevu nyingi Box chin (kidevu yenye shape ya box) Square...
  3. R

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Kwa kumbukumbu tu, huyo daktari binafsi wa JPM alikanusha kuwa Tanzania hakuna UVIKO-19. Hii aliisema mwanzoni mwa February 2021, bila kujua mwezi unaofuata mambo yangekuwa siyo. Soma hii: Tupuuze uzushi wa Mitandaoni, Tanzania hatuna Corona - Prof. Mchembe
  4. R

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Sababu ya mke wa JPM kushindwa kumuuguza mumewe imeandikwa hapa: Mke wa Rais Magufuli naye mgonjwa? Azuiwa kumwona mumewe hospitalini - Sauti Kubwa
  5. R

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Tiba ya JPM ilihitaji maarifa zaidi ya yale aliyonayo daktari wake (Prof Mchembe) ambaye ni surgeon. Na kwenye mahojiano retired CDF amesema Mchembe alikuwepo. Kiitifaki, kama umewahi kutibiwa hospitali utaelewa kuwa daktari wako anayekutibu ndiye anayefanya consultation kwa wenzake au kuandika...
  6. R

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Kiongozi jibu lako liko hapa: Mke wa Rais Magufuli naye mgonjwa? Azuiwa kumwona mumewe hospitalini - Sauti Kubwa
  7. R

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Nimemshangaa sana anavyohoji uwepo wa Prof Janabi kwenye matibabu ya JPM ambaye tuliambiwa alikufa kwa ugonjwa wa moyo. Alitaka nani awepo? Angejiongeza kifdogo tu hata kwenye google asome cv za huyo tuliyeambiwa ndiye alikuwa daktari binafsi wa JPM akijulikana kama Prof Mabula Mchembe. Kwenye...
  8. R

    SoC03 Elimu ya Kidato cha Tano na Sita iondolewe

    Nakujibu kwa kifupi, na kama una maswali zaidi nakukaribisha uulize. Ni hivi; career options za mtu aliyeishia form four ni chache kuliko za yule aliyeishia form six na kufaulu.
  9. R

    Mapitio ya Kitabu "I'm the State": Kazi ya Museveni, kauli ya Mkapa kuhusu Chato

    Kwani upareni kuna nini? Nimepajua Upareni kabla, wakati na baada ya Msuya kuwa Waziri Mkuu na kustaafu. Hakuna cha ajabu chochote alichoongeza Msuya, kunafanana tu na maeneo mengine. Barabara ni za vumbi, zahanati ndio zilezile zilizoko hata vijiji vingine vya mikoa mingine, hakujenga airport...
  10. R

    Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

    Mbona wanaweza kuwa hata wanangu au wakwe zangu!
  11. R

    Sakata la Kupotea Rajab Omari Mtana na Hukumu ya Kunyongwa kwa Masheikh 10 Tanga

    Mzee Mohamed Said ni miongoni mwa watu wanaotumia vibaya vipaji vyao kueneza chuki. Ni mjuzi sana wa kusimulia jambo kwa ufasaha, tatizo lake kubwa ni kuongeza chumvi, uongo na uchonganishi. Hapa katika suala analosimulia hapa anataja kuwa ni waislamu wameonewa! Tundu Lisu alipigwa risasi...
  12. R

    Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

    Mwambie asipaniki bure akavuruga ndoa kwa shida ndogo kama hiyo. Huyo binti hakutaka kusababisha maswali yasiyo ya lazima ndio maana akadanganya kuwa alienda na bodaboda, na hakutaka kuvuruga amani ndio sababu hakumtaja huyo bestie. Na kwa asilimia kubwa naamini alienda salama na kurudi salama...
  13. R

    Vijana Warusi wameapa kujijeruhi ili kuepuka kuburuzwa kwenda vitani

    Utapita wapi? Wapiganaji watakaba chocho zote!
  14. R

    Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

    1980's na 1990's tulipagawa sana na makalio makubwa. Tuliyaita "wowowo", "tukunyema" na majina mengine ya namna hiyo.
  15. R

    Vijana Warusi wameapa kujijeruhi ili kuepuka kuburuzwa kwenda vitani

    Mtaswagwa kinguvu tu! Omba Mungu apishe mbali!
  16. R

    Vijana Warusi wameapa kujijeruhi ili kuepuka kuburuzwa kwenda vitani

    Hali ni tofauti sana katika nchi mbili ulizotaja za Urusi na Tanzania. Kuwa mwanajeshi Urusi siyo fursa wala ajira, ni msala! Kwa hapa Tanzania, jeshi ni ajira moja ya uhakika sana, ukiingia unajihakikishia ajira salama, kwa kazi ambayo katika maisha yako yote ya kupanda vyeo na kulipwa vizuri...
  17. R

    Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

    Simon Mkirene (Simon of Cyrene) alitokea Libya, siyo Ethiopia. Wakati wa kusulubiwa kwa Yesu Kristo, Uyahudi ilikuwa koloni la Rome. Libya pia iliwahi kuwa koloni la Rome, na ndio ilivyokuwa uhusiano wa kuwepo movements za watu wa Cyrene, Uyahudi na Rome katika maeneo hayo, hata ikapata kutokea...
  18. R

    Ni wapi naweza kupata mkopo usio na RIBA ndani ya Tanzania hii?

    Hilo sina uhakika nalo, huwa naona tu matangazo yao kwenye mabango mitaani kuwa wanatoa mikopo bila riba
  19. R

    Ni wapi naweza kupata mkopo usio na RIBA ndani ya Tanzania hii?

    Nenda Peoples Bank of Zanzibar wanayo huduma ya Islamic Banking
  20. R

    Kwanini Historia ya Wachagga inafichwa Sana?

    Peleka balaa huko kwendraaaaa! Mbaguzi mkubwa uliolaaniwa. Na bado utasugua sana kalio. Sawa aliyefuga nguruwe watatu na robo eka anajiita milionea, wewe uliyefuga chawa makwapani na kunguni kwenye banda la nyasi unajiita nani vile. Utakufa na wivu wako, wenzio wanaendelea na ujasiriamali...
Back
Top Bottom