Search results

  1. M

    Msaada: Namna yakutengeneza yogurt

    Sukari ni vizuri ukaiweka kwenye maziwa mabichi ukachemsha kwa pamoja hii husaidia kupunguza contamination, na vanilla flavor utaiweka baada ya kupoza maziwa na kabla ya kuweka culture.
  2. M

    Msaada: Namna yakutengeneza yogurt

    Labda sijakwambia aina za yoghurt, kuna yoghurt mgando(set), mkorogo(stirred) na ya tayar kwa kunywa(drink yoghurt)
  3. M

    Msaada: Namna yakutengeneza yogurt

    Labda ueleze wapi nimekosea. kusudi nikushushia zaidi nondo.
  4. M

    Msaada: Namna yakutengeneza yogurt

    Yoghurt ni tofauti na mtindi, hasa wakati wa kuwawezesha bacteria kufanya uwe mtindi au iwe yoghurt, Bacteria wa mtindi wanaweza kuufanya mtindi ukawa mtindi kwa masaa kuanzia 16 katika room temperature, ukichukulia hata kwetu tz room temp ndio hio kuanzia 25c kuendelea. wakati kwa yoghurt...
  5. M

    Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

    Mimi sioni tofauti, labda hizo Tv, Halafu vitu kama hivyo huwa muhimu kwa safari ndefu, sasa wewe lisaa limoja unataka uwekewe na tv. Ukitaka kizuri labda utengeneze kwako. Big up Panga boi.
  6. M

    Msaada: NIlianza kuumwa malaria, ikaja Typhoid, na sasa ni bacteria kwenye njia ya mkojo

    Hivi majuzi nimepima, nikaambiwa nina bacteria kwenye njia ya mkojo..nimepewa dozi ya Azuma..nimemaliza dozi ila hakuna nafuu yoyote, hapa tupo linasumbua..na muda wote najisikia kulala tu! Hiyo Azuma itakuwa vizuri kama utakunywa kwa siku sita.
  7. M

    Kwa yeyote anayemjua LUSHINGE MATHIAS,

    Data zake kwenye facebook (Went to musoma technical high school Lives in Karatu From Musoma) Nimempa number yako bro.
  8. M

    Tanga fresh mko serious kweli?

    Juzi nilinunua maziwa ya Tanga fresh ya pakti.., nilipoyaonja nilishtuka mno..!! Yaani ladha yake ni kama maji ya kisima.., hayana taste kabisaaaa!! Na hakika kwa waliowahi kununua najua mnaelewa ninachosema. Hivi huko kiwandani hakuna watu wanao yaonja kabla ya kuingiza sokoni??! Matokeo...
  9. M

    Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

    Mtoa hoja Mr blessings nafikiri ameelewa kwa maana alikurupuka. Utafiti muhim
  10. M

    Tanga Fresh...Mtindi

    Yale ni maziwa halisi ya ng'ombe na hamna chochote kinachoongezwa zaidi ya vigezo na masharti ya utengenezaji wa mtindi, Piga mtindi wa tanga fresh kwa afya yako.
  11. M

    Mabinti wa kitanga mhiiiiiiiiiiiiii

    Pale karibu na uwanja wa mpira alikuwepo babu mmoja mtaalam wa mihogo jina limenipita kidogo, kweli tanga kunani
  12. M

    NAOMBA SABABU ZA VIWANDA KUFUNGWA. Mwatex. ZZK, UFI, Tanganyika packers ngozi morogoro etc

    mi nina mtizamo tofauti kidogo, siyo kweli kuwa viwanda haviwezi kubadilika kutoka bidhaa hii hadi nyingine mfano tulikuwa tunatumia soda kwa chupa ya glass sasa mambo yamebadilika tunatumia chupa za plastic lakini viwanda ni vile vile, hata hivyo viwanda vya nguo vinaweza kufanyiwa marekebisho...
  13. M

    Nji hii..umasikini wa kujitakia?

    masopakyindi, kwa hapa kwetu bongo, ilula siyo kamji kadogo nafikiri wewe unapita barabarani na kucomment sivyo.
  14. M

    Maziwa ya pakti

    FUNGO jr, habari hiyo siyo kweli, maziwa ya tanga fresh hayachanganywi na chochote ni maziwa halisi kutoka kwa mama ngombe hayaongezwi chochote iwe kemikali, huchemshwa kuuwa wadudu wenye athari kwa afya yetu, halafu hupatikiwa kwenye pakiti.
  15. M

    Hotel gani bora zaidi Mjini Tanga?

    Jaribu Nyumbani hotel...............
  16. M

    Laptops and Mobile phones for sale

    Siumpigie cm kama unahitaji?
  17. M

    Haya mabasi yatatuua yatumalize

    mambo ya kitonga hayo kama sikose mkuu
  18. M

    Top ten wonderful names from Tanzania

    SIMON MALIFIMBO Njombe secondary 1990-1993
Back
Top Bottom