Search results

  1. N

    Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    Aiseee! wamechokoza mzinga wa nyuki, wakae mkao wa kupokea shoo.. Soma hii Mwanzo 49, ujielimishe kuhusu hii kitu inaitwa Israel...nimekuwekea mstari wa 9 utambue nguvu waliyowekewa. MWANZO 49: 9 Yuda ni mwana-simba, Kutoka katika mawindo, mwanangu, umepanda; Aliinama akajilaza kama simba, Na...
  2. N

    Wataalamu wengi wa manunuzi na ugavi ni wezi na wapigaji. Nipingeni kwa hoja

    Aliyeanzisha hiki kitengo ndo wa kulaumiwa, ilikuwa inatosha kila idara kujinunulia mahitaji yake......na unaweza kuwapelekea mahitaji wakakununulia vifaa vyenye ubora wa chini au ambavyo huvihitaji, ili hali mngeruhisiwa wenyewe kwenye idara kufanya manunuzi mngetafuta vifaa bora zaidi kwa bei...
  3. N

    Je, mizimu ya mababu/mabibi zetu ipo kweli au ni shetani anatushawishi akijitengeneza kwa muunda huo?

    Hao waabudu mizimu, wafanya matambiko, wapiga ramli nk. wanafanya ibada kwa mapepo yanayovaa uhusika wa wazee waliotangulia na kujitokeza kana kwamba wako wanaishi katika roho. Watu waliokufa hawajui kinachoendelea katika nchi ya walio hai. AYUBU: MLANGO 14. 10 Lakini mwanadamu hufa...
  4. N

    Nini kitatokea ikiwa marehemu aliombwa akifa azikwe sehemu fulani lakini akazikiwa sehemu nyingine?

    Ni imani tu, ila mwanadamu akishakufa kumbukumbu lake linatoweka hawezi jua kinachoendelea duniani....soma Ayubu hapa chini. AYUBU: MLANGO 14. 10 Lakini mwanadamu hufa, huifariki dunia; Naam, mwanadamu hutoa roho, naye yupo wapi? 11 Kama vile maji kupwa katika bahari, Na mto kupunguka na...
  5. N

    NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

    Kwani wanapoingia mkataba na NHIF huwa wanaingia kama kundi, au ni kila hospitali husika.....utaona mbali na kuvunja masharti ya mkataba pia wamevunja sheria za nchi, nchi inachezewa sana hii...
  6. N

    Bei ya kitunguu ikoje mtaani kwako?

    Mpemba janja sana, yeye sokoni anenda mwenyewe ila gengeni kwake anamsubiri mke wa mdau kama huyu🤣
  7. N

    Serengeti: Mhasibu wa Halmashauri apiga milioni 213

    Kumbe dili inavyochezwa inakuwa kama ni malipo kwa mzabuni na lazima watumie akaunti ya mfanyabiashara ili benki wasishtukie hiyo flow ya pesa, hadi wenye kamba watakapomaliza kujipimia hii nchi itakuwa imebaki mifupa......
  8. N

    Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Embu tuipe muda hiyo treni ifanye kazi kwa muda kabla ya kupima ufanisi wake, hii kosoa kosoa nayo inavunja moyo watendaji.......wabongo tupunguze ujuaji mwingi usio na maana.
  9. N

    Je, na wewe uliziona ndege 12 zikitembea kwa mstari jana usiku?

    Wanadai ni satellite za starlink za bwana Elon Musk kwa ajili ya maswala ya kimtandao zaidi.
  10. N

    Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

    Lugha ya mawasilino ya kidaktari siyo sawa na hii inayotumiwa kwenye mazungumzo ya kawaida mitaani, yenyewe inakuwa imejikita zaidi kwenye mambo ya kiganga na hivyo ni rahisi madaktari wenyewe kwa wenyewe kuwasiliana. Miaka mitano usome udaktari kwa kiingereza ushindwe kuwasiliana na daktari...
  11. N

    Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

    Mkuu kwamba MD walioko vituoni wanashindwa kuwasiliana na hao wanafunzi kwa kigezo cha lugha ya kiingereza? hii haiwezi kuwa kweli maana masomo na hata mawasiliano ya kidaktari ni kwa lugha ya kiingereza, labda utuambie muhimbili wameanza kufundisha degree ya udaktari kwa lugha ya kiswahili.
  12. N

    Je, vijana mmesahau hukumu ya kuchoma mali ni miaka thelathini au kifungo cha maisha jela?

    Nafikri madereva wa mabasi hawajali sana watumiaji wengine wa barabara ikiwemo baiskeli na bodaboda, nadhani visa vya kugongwa waenda kwa miguu, waendesha baiskeli na bodaboda vichunguzwe kwa umakini ili kuwawajibisha madereva hasa wa mabasi wasiojali maisha ya watumiaji wengine wa barabara.
  13. N

    Tuseme ukweli! Jaribio la treni ya SGR lilishindwa kufikia lengo

    Nyang'au wao hawana treni ya umeme, ya kwao inatumia dizeli........hii ya kwetu ndo ya kwanza East Africa, jambo hili litakuwa linawauma sana nyang'au kwa jinsi wanavyopenda kujilinganisha na Tanzania.
  14. N

    Tuseme ukweli! Jaribio la treni ya SGR lilishindwa kufikia lengo

    Sidhani kama kuna haja ya kuhangaika na vichwa vya treni za kisasa zaidi ambavyo vinaendana na model ya mabehewa, na labda bei, gharama za uendeshaji na maintainance ni kubwa sana. Muhimu kuzingatia ni ubora wa vichwa na mabehewa kutimiza malengo ya hizo safari hata kwa huo muda wa saa moja na...
  15. N

    TAMISEMI mmeamua kunifilisi kwa kuninyima uhamisho!

    Shida gani hizo mama na unataka kuhama kutoka wapi kwenda wapi ili tukusaidie
  16. N

    Pesa na kazi havitoshi kumpa furaha mwanamke. Binti wa Ruto ajitokeza kuombewa ili apate mume

    Mkuu hana mvuto kwako, wanaume tupo tofauti linapokuja swala la kuvutiwa na manzi....
  17. N

    Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

    Nchi za waarabu zina eneo kubwa la jangwa na bado maisha yanaendelea, itakuwa miti kukatwa kwenye eneo ambalo halifiki hata asilimia 0.1 ya eneo lote la nchi, mtu kama huyu unaona kabisa hayuko informed ila anaamua kupayuka tu ili mradi aonekane anaongea au anasukumwa na maslahi fulani. Kwa...
  18. N

    Nimelia sana nilipofika bwawa la Mwalimu Nyerere, kwaheri mgawo wa umeme

    Ni jambo gani ulitarajia afanye sasa kama rahisi, chawa mmezidi sasa.
  19. N

    Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro

    Atuwekee hapa mita iliyosoma hayo matumizi ya umeme, vinginevyo itakuwa chai kama chai nyingine tu...
Back
Top Bottom