Search results

  1. T

    Natafuta Kazi

    Kipindi cha kutoa na kupokea rushwa kimefika!
  2. T

    Dawa ipi itafaa kukaushia kidonda cha Opresheni?

    Peace92 njoo uwaambie madaktari umbile lako na ujumuike kuwaeleza jinsi operation ilivyofanyika ili upate msaada mzuri na utakao kufaa.
  3. T

    Toyota passo inauzwa 7.9M

    Uko wapi mkuu, 4M unachukua
  4. T

    Need for Quick and Cheap Financial Help (LOAN)

    Jamani ukiwa na biashara tu Kama dhamana yako ni kampuni gani inaweza kukupa mkopo.
  5. T

    Mpharmacia anahitajika!

    Habari ndugu wana jf, Nimatumaini kuwa tumeamka salama kabisa tuombe Mungu pia atujalie afya njema na kutubariki tuweze kupata mkate wetu wa kila Siku. Ndugu wana jamvi Mimi natafuta mpharmacia ili tuweze kufanya nae biashara ya duka la dawa za binadamu maana tusio na taaluma tunapaswa...
  6. T

    Biashara ya pharmacy

    Nina shida pia na mphamasia ofisi itakuwa Mwanza mjini.
  7. T

    Jinsi ya kugundua simu feki za samsung

    Yangu inashindwa kukubali katika code hii *#12580369# zingine zote ziko poa hadi hii uliyotoa sasahivi je ni feki nayo?
  8. T

    Jinsi ya kugundua simu feki za samsung

    Zimekubali kasoro hii *#12580369# kwahiyo simu yangu ni feki?
  9. T

    Biashara ya pharmacy

    Habari za jioni wana JF Kwa heshima na taadhima nimeamua kuwa Mjasiliamali. Ni kwa kipindi cha miaka 4 sasa nikiwa kwenye ajira ya makampuni,nimekuwa mtumishi mwema kwa kipindi changu chote na wala sijawahi kuwa na kashfa yoyote kwenye ajira yangu. Kwakuwa napenda kujiajiri kuliko kuajiriwa...
  10. T

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Kweli aisee! Anabusara za kutosha naamini hata familia yake iko vizuri sana. Ninamaanisha huwezi ilnganisha na familia ya Ummy Mwalimu.
  11. T

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Dr Bernadeta umejaaliwa busara na wanawake wengine wangefuata mfano huo kweli tusingeweza kujutia kodi zetu.Lakini hadi sasa mnamaliza kodi zetu bure hasa wanawake wanaocheka cheka hovyo bila hata kuangalia kinachozungumzwa. Kweli mnatukera mnaotuwakilisha.
  12. T

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Nafurahi sana kuwa wasira anakubaliana na mambo mengi sana kwenye hoja za wachache hivyo naona anakubali kushaurika na kubadilika akishawishiwa. Hongera sana Steven Wasira.
  13. T

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Mi nadhani Jusa atakuja na suala la kusisitiza kuwa hati ya muungano kuwa haipo ndio maana ameamua kumziba kabla hajasema hayo! Mbinu zinasaidia pia katika kutafuta support kwa mawazo binafsi! Tunaona pia pelle alifunga goli kwa mkono na likakubaliwa.
  14. T

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Kwa mujibu wa wasira mi naona maoni yao yanalenga kuwa na serikali moja ili kutoa utanganyika na uzanzibar na kuwa na wazalendo watakao tetea Tanzania. Kwa ufinyu wa mawazo na kuangalia msimamo wa chama mawazo hayo wanayalazimisha kuwa serikali 2. Jamani hebu tutafakari hayo mawazo ya wengi...
  15. T

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Tusubiri tuione na tuone kama hati hiyo itajibu hayo maswali. Lakini pia watujuze nani aliyekuwa akiitunza kwa muda wote huo na kwanini akaifanya kuwa siri yake pamoja na migogoro yote ya muungano.Kwa nini haikutunza masjara husika na kwa nini haikupelekwa UN maana pia tumesikia kwa...
Back
Top Bottom