Kutokana na website ya NECTA kuelemewa pata matokeo ya kidato cha sita na ualimu kupitia tovuti ya TAMISEMI
Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017 | PORALG - Tanzania
Nakuheshimu MMM na naamini haya ni mawazo yako lakini mbona unaonekana uko biased kabisa? Analysis yako inaonekana ina lengo la kumtetea Dr. Slaa na kumdidimiza Mbowe. Kuna watu wengi walikuwa wanakuangalia kama "role model" katika kuchanganua mambo lakini namna hii inaonekana kama uhuru wako wa...
hii habari mbona ni ya jana usiku hapa JF
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/930604-tanzia-mwanachama-wa-jamiiforums-na-mgombea-ubunge-lushoto-chadema-mohamed-mtoi-afariki-ktk-ajali.html
http://41.188.153.12:8080/BRN/CSEE_2012_QPC/012_HISTORY_CSEE_2012.PDF
Zinapatikana hapa NECTA | Big Results Now
Zipo za 2012 na 2013 tuu maybe ndio utaratibu wa softcopy ulivyo anza otherwise andika email kwa katibu mtendaji baraza la mitihani (esnecta at necta dot go dot tz) unaweza kusaidiwa...
Hii ripoti badala ya kuanika matatizo ya ufisadi wa Lowasa inaanika udhaifu mkubwa wa mfumo wetu wa uongozi kama nchi. Inaonesha kwamba ukiwa kiongozi wa nchi hii hata ufanye dhambi kubwa kiasi gani huwezi kuchukuliwa hatua.
Kama kweli alifanya yote hayo miaka yote hiyo kwenye awamu zote za...
Kazia ujumbe wako kwa kutoa mfano wa kitu gani chetu (Tanzania) kiko serious!!!!
Mimi naamini hatujawa serious kwenye issues karibu zote sio Bongo movies peke yake. Kama hatutaki kukubali hili basi bado tuna safari ndefu sana kufikia maendeleo. Kwani hatua ya kwanza ya kusolve tatizo ni...
Nimeisoma na ndio maana nimeandika hivyo....kwa sababu nilitegemea kwenye CV yake nione hizo keywords na sikuziona!!!!!!! Accomplishment yake ni machapisho ya tafiti, hivyo huyu ni mtafiti na cv yake ndio inavyoonyesha. Labda utuwekee accomplishments zake zingine ku-justify hiyo position.
Hii CV sidhani kama inatosha kumfanya awe mkurugenzi mkuu.....mkurugenzi mkuu anatakiwa awe na knowledge pana na sio nyembamba kwenye area flani, kama ni nyembamba(specialization) basi ingekuwa ya management kwenye masuala ya mawasiliano. Watanzania tumelogwa na PHD na Uprofesa. CV ya mkurugenzi...
Kwa madada zangu, forget about the heading singling Nigerian Men, I think there is a lesson to learn from this article!!!
"Stay Away From Nigerian Men......"
Nafikiri tukiwalaumu polisi tunakosea ni mfumo wa nchi yetu kwamba siasa iko juu ya kila kitu, ni wapi ambako siasa hazijaingia nchini mwetu? Na tatizo kubwa ni kwamba kwenye siasa hata mambumbu wanapanda ngazi mpaka juu, sasa siasa inapokuwa juu ya kila kitu manake uwezekano mkubwa ni wajinga...
Kilimanjaro School of Pharmacy
Kilimanjaro School of Pharmacy - Saint Luke Foundation
St. Peter's College of Health Sciences
http://www.stpeterscollege.ac.tz/index.php/accademic/certificates
Chama Cha Mapinduzi ‏@ccm_tanzania 1h1 hour agoView translation
Kikao cha Halmashauri Kuu bado kinaendelea. Mkutano mkuu utafanyika baadae mchana wa leo.#KaribuDodoma UMOJA NI USHINDI.
41 retweets43 favoritesReply
Retweet41
Favorite43
Follow
More
Angalia hizi videos mbili na ujifunze kitu. Kuna namna nyingi ya kufikiri(kutegemeana na asili, elimu, ujuzi, uzoefu, kazi, mazingira uliyokulia, dini, nk) kwa hiyo nategemea majibu tofauti tofauti.
Video namba moja: https://www.youtube.com/watch?v=lj3iNxZ8Dww
Video namba mbili...
Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura - mwaka 2015
"Ofisi ya Taifa ya Takwimu ikishirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Zanzibar wameandaa taarifa kuhusiana na makadirio ya idadi ya watu na wapiga kura kwa mwaka 2015.
Idadi hiyo imetolewa katika ngazi ya Taifa, Mkoa, Wilaya, Jimbo na...
Muulize "consequences " za statement yake....amefilisika mpaka anauza "Nobel prize"japo ni mtu muhimu sana katika Dunia ya leo kwani mmoja wa wavumbuzi wa muundo wa DNA!
"Watson has said that he is "not a racist in a conventional way". But he told the Sunday Times in 2007 that while people may...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.