Search results

  1. A

    Fibre optic - mkongo wa mawasiliano

    jamani kuna mtu ana habari kuhusu hii(fibre optic cable), tulisikia ikianza tutafaidi kupata punguzo la bei kwa watumiaji wa internet. Tukatazamia kuona mwaka huu kuwa namabadiliko makumbwa kwenye mambo ya habari. lakini naona mwaka unaisha na hali ni ileile
  2. A

    Ccm yamtosa 6

    Sitta, Chenge watupwa Send to a friend Thursday, 11 November 2010 00:16 0diggsdigg Mr Samwel Sitta akiwa ameshika kichwa Habel Chidawali, DodomaKAMATI Kuu ya CCM imewapitisha Anna Abdallah, Anna Makinda na Kate Kamba kuingia katika kinyanganyiro...
  3. A

    Kumekucha Bungeni - PICHA za wabunge wapya wakiwa Dodoma

    hongera vijana. ama kweli bunge hili vijana wameongezeka!!!!!!!!!
  4. A

    Dada wa Tundu Lissu kuchaguliwa viti maalum hii CHADEMA ni ya familia?

    unafahamu namna ya kugombea viti maalum ndani ya chadema???
  5. A

    Kunya ruksa chadema, akinya ccm kaharisha

    hivi Vikuku vinatoa message fulani? Inawezekana kunaujumbe mzito
  6. A

    Elections 2010 Siri za kushinda ubunge Tanzania

    Nimesoma Namba 1 na 2 tu 1. Kuwa karibu na wanachi hadi wakuzoee na kukuamini. 2. Ujichanganye na wananchi hadi wakuone ni mwenzao. Namba moja inaonyesha sikuzote haupo karibu na watu ila unajifanyisha kumbe kunakitu unataka(ubunge), kama kuwalia timing hivi Namba 2 kumbe kama sio ubunge...
  7. A

    Hivi kipi kigumu, kuendesha gari au Bunge Tanzania?

    Kama gari ameshindwa bunge lenye watu kibao hataweza kabisa. isitoshe bado anakesi nyingi zinamwandama hivyo muda mwingi atakuwa hayupo mjengoni
  8. A

    Sweden yaipa Tanzania Sh. bilioni 44 kusambazia umeme vijijini

    Tatizo sio fedha. Tatizo ni TANESCO inahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo na ya kiutendaji. umeme haugawanjwi bure, tunalipia wanashindwa nini kusambaza umeme. Tanesco imefikia ilipo kutokana na ufisadi, mawazo mgando ya uongozi wake.Hizo fedha watazichakachua hazitafanya...
  9. A

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    hivi ikitokea kwa kutumia ufisadi na kambi za kisisiem huyu jamaa akapita. wananchi tutakaa kimya hadi uchaguzi ujao???????????????????????
  10. A

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    pole!!! ukiipata unifahamishe, kuna ndugu yangu mmoja ana tatizo kama lako
  11. A

    Chadema can do this - they sould do it now!

    wange hakikisha wanakuwa na ofisi za willaya zenye viongozi makini watakao weza kuhamasisha wananchi kwenye kata na vijiji kujiunga na chama
  12. A

    Chadema can do this - they sould do it now!

    Naunga mkono ni wazo zuri. ila labda mtoa hoja asingewawekea kiwango. je kama wao watakuwa tayari kutoa 1milion. au je kama kuna wanaojitoa zaidi ya kiasi hiki. nakubali ni wakati muafaka wa chama kuweka mizizi sasa na kuendelea kupata wanachama zaidi
Back
Top Bottom