Search results

  1. il dire

    Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

    DaaaaH nimekuelewa sana Mdau. nilikua na stress zangu nimesoma ulichoandika apa na huyu mnyama LC300 nimefurahi mnoo. u made me a happy person kunitoa stress
  2. il dire

    Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

    These clowns are full of themselves. Hapa inabid wawe wapole ili gharama zao za exploration zirudi. hizi mambo za kuleta neocolonialism sio poa maana assets ata kama walidiscover wao wenye sovereignity ni sisi. hapa kama wananchi ni lazima kua wamoja regardless ya itikadi na tofauti zetu. hili...
  3. il dire

    Mlima Kilimanjaro kama ulivyoonekana leo asubuhi

    Unaeza ukawa sahihi in general BUT kwa case ya Kilimanjaro umekosea usipotoshe watu, Loss of ice according to Anderson (2005) na other papers na waliofanya extensive study imetokana na loss of alpine and montane forest ambazo wachaga walikata na kusababisha complex problems including loss of...
  4. il dire

    Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

    Really Mdau are u serius unaeza kufunga turbo kwny conventional engine iliotolewa na manufacturer. an jinsi unavyochanganya izi technical terms inaelekea elimu ulionayo ya magari ni ya mtaani sio technician. an kama suala langu la kwanza nilipokuask maana ya twin turbo. twin maana yake 2 so apo...
  5. il dire

    Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

    Mdau wa Jukwaa ni vizuri kudeeal na facts kulko mahaba yasio na justifiable facts. Sitatumia sana energy kupangua claim zako kua Land cruiser ni bora Kulko Range rover as it seems tayari una ur own conclusion huitaji facts au kukubali reality. By the way what is ur known definition kati ya...
  6. il dire

    Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

    Tofauti ziko nyingi ila izo pamoja na aluminium chasis keny range rover ndio ninazojua na ziko proved. Issue kubwa Range rover hawakurupuki kutoa toleo tofauti na Japanese wao wako kwny business model tofauti na kampuni kama toyota ambao wao goal yao kubwa ni kumaxmize sales. Range rover issue...
  7. il dire

    Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

    Nimevutiwa na hii hoja, shida watu hamjaelewa mwenye uzi anataka nn. Kwa elimu yangu ya autos BONGO gari ilioko practical ni VX hilo halina ubishi. Lakini the best SUV dunia nzima itaendelea kua na hakuna nyingine zaid ya Range rover. Izi story za mtaani sijui Nissan ama VX V8 kuzifananisha na...
  8. il dire

    Vurugu bungeni zasababisha Bunge kuahirishwa asubuhi hii

    Who are you to Judge her? He who is without sin should cast the first stone. Ivi unatoka Vunjo kweli? am ashamed unatoka Vunjo the same place ninapotoka and your full of prejudice. Ntasamehe kma hutoki kijiji kimoja na mm pale KV.
  9. il dire

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    at least kuna dalili ya mabadiliko ata kama hayatakuja Dec,2015. But jua limeanza kuchomoza Tanzania. its high time Democracy iamke maana Hawa Ukoo wa panya wameichakaza nchi vya kutosha.
  10. il dire

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    NI akili ya binadamu yupi huyo anapokea pesa ambayo hajaifanyia kazi, bila kujua imetokea wapi? na madhumuni haswa ya kupewa pesa, bila kujua future implications ya pesa ya bure. Duniani akuna kitu cha bure with xception kutoka kwa mzazi. Wote waliopewa mgao wa pesa wakamatwe na kufilisiwa thn...
  11. il dire

    Waingereza wamgeuzia kibao JK, CCM & serikali ya Tanzania

    Mkuu Pasco, nimekupata angle yako nakubaliana na facts kuwa watu waliopo karibu na izo nat resources ndio wana direct experience na matatizo yaliopo living with wildlife. Hii ni challenge moja kubwa ya wildlife conservation coz ilianza na top-down managemnt practice bila elements za bottom up...
  12. il dire

    Waingereza wamgeuzia kibao JK, CCM & serikali ya Tanzania

    Pasco, Mkuu siamini kama apa umetumia elimu yako kujibu kua Mbuzi ni muhimu kulko tigwa na Tembo. au naasume uelewa wako kuhusu neno ecosytems service ni mdogo. Wildlife ni moja wapo ya very highly valuable resources, umuhimu wake sio ka unaoona ww wa kunywa supu ya Mbuzi. ina kazi nyingi sina...
  13. il dire

    Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    Maendeleo ya nchi yoyote yanapatikana kwa kupitia watu na sio mali asili nimeobserve katika nchi za Ulaya na baadhi nilizopitia na conclusion niliyopata leo ni kuwa Tanzania hatuna mpango wa kuendelea wala Vision kwa vizazi vyetu vijavyo kwanza Kodi hatukusanyi, ufisadi (ubinafsi), uwajibikaji...
  14. il dire

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Hii iwe ni kumbukumbu unafiki katika kutetea masuala ya nchi uwekwe kando, Sio kila wakati mtu kuangalia maslahi binafsi kama Ndugu zetu CCM wanavyofanya mpaka wameua Nervous system ya nchi (Uzalendo). Huyu kijana aliendekeza maslah binafsi badala ya utaifa kwanza ata kama alikua ana malalamiko...
  15. il dire

    Msaada kuchagua gari please....

    Angalizo kwa unayependa kubuy gari, jambo la msingi angalia matumizi yako je ni mtu wa safari daily mkoa au ni mara1 kwa miezi, thn ukitoka apo inabidi uangalie apa mjini matembezi yako kwnye mihangaiko ni sehemu nyingi kwa siku au chache. kama ni nyingi thn gari yenye 3000cc na kuendelea...
  16. il dire

    Vita kati ya Kambi ya Lowassa na Membe sasa si Siri tena

    Kigangwala amepata Phd tayari au ndo kama ya nchimbi an alias.... as far as i know he is a medical doctor {MD} or may be alimumba JK ampe m1 wapo aliyonayo ya kupewa kama karanga
  17. il dire

    Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    As i walk through the path of darkness i fear no evil..... Hapa Mungu ndo anazidi kutuonyesha udini hauna maana katika maisha ye2, ingekua ivi bai inabid adi hospital ziwepo za waislam na wakristu tuone kama tutafika mahali na sio kua maskini kuliko southern sudan na Somalia. wakati sie...
  18. il dire

    Lissu, Wenje, Sugu, Msigwa, Kiwia kuunguruma Mwanza, Iringa na Mbeya (soma ratiba)

    Safi sana Magamba wakibana Bungeni majeshi yanaamia kwa wananchi kma ilvyokua enzi za ZZK na spika Sitta
  19. il dire

    Nicholas Ngowi: Bado nitalipigania taifa langu kupitia CHADEMA

    Pole sana kamanda wa ukweli Mwenyezi Mungu akujalie na akupe Nguvu na kukuponya
  20. il dire

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Hongera Lema na Wana Arusha kwa kuwashinda haya Magamba
Back
Top Bottom