Search results

  1. moshilo

    Kwa hali ilivyo sasa, ni wazi kabisa kuwa Paul Makonda atajiuzulu au atatenguliwa!

    Jirani yangu ni Mwalimu tangu 1999 ,qmetumbuliwa juzi alikua anatumia jina LA mtu ,na amerudi darasani upya kuoitia jina lake
  2. moshilo

    Uongozi wa kanisa KKKT utoe tamko haraka kuhusu yaliyojiri Jana Kimara

    Hahahaha kwanini asingeita waandishi wa habari kama kawaida yake ajielezee huko ingekua nzuri zaidi
  3. moshilo

    Rais wa Croatia ndani ya bikini ,oh lalaaaaaa

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  4. moshilo

    ARUSHA: Sheikh Ponda amtembelea mbunge Godbless Lema gerezani leo

    Mabomu ya machozi yataamia magereza
  5. moshilo

    Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma

    Tz ni nchi ambayo cjapata kuona mfano wake dunia nzima ,nataman ningezaliwa hata nchi ya jirani mambo yao yanaweza yakawa ya namna nyingine na c kama haya ya kuumiza wahanga
  6. moshilo

    Maelfu wajitokeza Tabora kuupokea mwili wa Marehemu Sitta

    Naona hapo uwanjani watu wamevaa sare pendwa ya chama
  7. moshilo

    T.B Joshua: Hillary Clinton kupata ushindi mwembamba sana uchaguzi wa Marekani

    Amesoma tena mwishoni akasema the woman will be win in a very narrow way but she will face a lot of challenges in bills ,
  8. moshilo

    Al-Jazeera: Tanzania govt relocates its capital from the port city of Dar es Salaam to Dodoma

    Namwona nape anatema ung'eng'e wa lugha pendwa
  9. moshilo

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Hii video inaonyesha imechukuliwa na huyu Dada anayesema ,Mwalimu mwacheni mtamuumiza
  10. moshilo

    Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

    Ukisoma kutoka yote ,mara nyingi walikua wanamuasi Mungu na hawakuwa wanamuamini Mtumishi wake Musa hivyo Mungu akawa anashikwa gadhabu hata kuwaacha kwenye kituo walichopumzika kwa miaka mingi ,,wakati mwingine akawaambia kizazi chao cha NNE ndo kitakachoiona nchi hiyo ya ahadi yenye maziwa na...
  11. moshilo

    Hivi Prof. Ndalichako ni waziri wa Vyuo Vikuu peke yake!!?

    Kila nikiona cheo cha uprofesa napata shida
  12. moshilo

    Maajabu ya bongo movie..

    Mahali pengine ,mhusika yuko kanisani anaongoza sifa ,wabaya wake wakaingia akaacha kuongoza sifa akapayuka "ni nani aliyewaleta hapa kanisani na mkome "yaan reality ya muvi inapotea
  13. moshilo

    Lipumba: Mimi bado ni Mwenyekiti wa CUF, sitambui kikao cha Zanzibar

    Hahahahaa amedhalilisha cheo cha uprofesa,,,ndo maana waswahili wanasema kusoma sana c kujua sana ama kua na akili
Back
Top Bottom